Mtuhumiwa wa uhujumu uchumi Lugola bado yupo nje, wengine wapo ndani, Sheria ipo vipande vipande?

Hivi kwenye hili sakata lugola nae alihongwa laptop? Alienda Romania na kulipoliwa posho? Mbona halijawekwa wazi?
 
Kweli ofisi ambayo haina ndugu yako huwa imefungwa! Huyu kwa mwendo wetu ilibidi awe ndani!

Kama wenzake wanavyowekwa ndani. Halafu watu wa CCM waonevu kama hawa hawawaoni.

Halafu watu wanadai eti kuna amani! Ni kuwa watu wanasikilizia walipuke muda ukifika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…