Sprouts pre School
Member
- Jul 15, 2026
- 64
- 187
Mahakama ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara imemhukumu kijana mwenye umri wa miaka 16 adhabu ya viboko sita baada ya kupatikana na hatia ya kosa la ulawiti, huku hukumu hiyo ikizua mitazamo tofauti kutoka kwa wadau wa sheria na ustawi wa jamii kuhusu uhalali wa adhabu hiyo kwa mtoto.
View: https://www.facebook.com/share/v/1fsNCAzDjn/
View: https://www.facebook.com/share/v/1fsNCAzDjn/