Mtuhumiwa wa ulawiti ni sahihi kupewa adhabu ya viboko 7?

Amelawiti, adhabu ni viboko alafu arudi uraiani sio? Basi naomba hivyo viboko nimchape mimi.
 
Hiyonadahbu ni sahihi tuu utolewaji wa viboko n mgumu itaisha miezi SITA hujavimaliza utaitwa mara waahirishe kukuchapa huenda ukala kimoja kila baada ya miezi mitatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…