Ngoja nisubiri!Wanakuja
Kumbe huwa yanafunguliwa na kufungwa tena hapa bongo?Huwezi kupata zote nzuri, maronyaronya lazima yawepo; ukichanganya na yale yanayochambuliwa na wabongo na kufungwa tena, ndipo tatizo linapoanza. Kuna dada mmoja wa kiarabu huwa nanunua mashati kwake, anashauri kama una hela bora ununue beli la zero, halina gredi, we waambie unataka beli la zero, ingawa inaweza enda mpaka milion 3
Tunamizigo mikubwa sana ya dhambi. Uchakachuaji umekuwa mkubwa sanaa yaani kwenye kila sehemu matapeli wapoKumbe huwa yanafunguliwa na kufungwa tena hapa bongo?
hii mbona kawaida ukiingia kichwakichwa unapewa lonya lile ambalo huwezi uza hata jero,nguo imeoza ukiishika inachanika yenyeweKumbe huwa yanafunguliwa na kufungwa tena hapa bongo?
Labda utengeneze urafiki pale unapochukulia, wanaweza kukusaidia kwa mawazo zaidiKumbe huwa yanafunguliwa na kufungwa tena hapa bongo?
Sikuwahi kulijua hili!!hii mbona kawaida ukiingia kichwakichwa unapewa lonya lile ambalo huwezi uza hata jero,nguo imeoza ukiishika inachanika yenyewe
Kuna mitumba iko vizuri, hasa upande wa mashati; ukipata shati zuri, linakuwa ni la peke yako, na si sare sare kama ya dukaniHivi bado tunavaa mitumba?! Maana last time i checked maduka ya nguo brand new kwasasa ni 90% kuzidi ya mtumba plus za dukani ni cheap zaidi.
kuna siku nilikuwaga nipo Dar,kuna maeneo nilielekezwa niende wanauza nguo za minada pale Ilala sokoni,nilieenjoi sana na bei zao zipo chini sana,nilikuwa kwenye upande wa mashati bei zao ni chini sana kuuliza uliza nikaambiwa kuna hadi wale majamaa wa boutique/shop zile kubwa wananunua pale kisha wanapeleka kwenye dry cleaner wanazipiga parfume kisha wanazitundika dukani kwao huwezi jua kama ni mtumba umetoka kugombaniwa pale ilala sokoniKuna siku nilikuwa nafanya matembezi ya mkoa kwa mkoa, kwa ajili ya kujifunza vitu mbali mbali.
Nilipokuwa kwenye stendi moja ya mabasi; nilimuona kijana mmoja anabegi kubwa mgongoni, huku mikononi ameshika suruale nzuri sana za mtumba jamii ya kadeti.
Akawa anazinyoosha nyoosha ili watu wazione; haikuchukua muda, wale madereva wa mabasi, makonda, na baadhi ya abiria wakamfuata kwa wingi kwa ajili ya kununua. Mbaya zaidi walikuwa wanazigombania, kwa sababu mwingine anapenda achukue rangi fulani, ambayo mwingine alishaipenda.
Na kweli, siku hiyo aliuza.
Nashauri , kama unaweza kwenda kwenye mitumba na kuchagua zile nguo ambazo ziko ‘classic’, na ukazipeleka sehemu zenye mikusanyiko ya watu; utauza.
Kwahiyo unashauri nisichukue balo lilofungwa ambalo hujui kilichomo si ndivyo? Badala yake nikachague toka kwa wafungua mabalo!!?Kuna mitumba iko vizuri, hasa upande wa mashati; ukipata shati zuri, linakuwa ni la peke yako, na si sare sare kama ya dukani
Ni kweli kabisa! Miongoni mwa vitu napenda kuhusu mtumba ni u - uniqueness wake!!Kuna mitumba iko vizuri, hasa upande wa mashati; ukipata shati zuri, linakuwa ni la peke yako, na si sare sare kama ya dukani
Umenipa kitu kipya!!kuna siku nilikuwaga nipo Dar,kuna maeneo nilielekezwa niende wanauza nguo za minada pale Ilala sokoni,nilieenjoi sana na bei zao zipo chini sana,nilikuwa kwenye upande wa mashati bei zao ni chini sana kuuliza uliza nikaambiwa kuna hadi wale majamaa wa boutique/shop zile kubwa wananunua pale kisha wanapeleka kwenye dry cleaner wanazipiga parfume kisha wanazitundika dukani kwao huwezi jua kama ni mtumba umetoka kugombaniwa pale ilala sokoni
Unaweza kuanza hivyoKwahiyo unashauri nisichukue balo lilofungwa ambalo hujui kilichomo si ndivyo? Badala yake nikachague toka kwa wafungua mabalo!!?
Hyo ni wengi sana ata jamaa yang ana duka mwenge na sinza anachukuaga sana mashati ilala alaf anazipeleka shop kwake hapo bei usije ukagusa.kuna siku nilikuwaga nipo Dar,kuna maeneo nilielekezwa niende wanauza nguo za minada pale Ilala sokoni,nilieenjoi sana na bei zao zipo chini sana,nilikuwa kwenye upande wa mashati bei zao ni chini sana kuuliza uliza nikaambiwa kuna hadi wale majamaa wa boutique/shop zile kubwa wananunua pale kisha wanapeleka kwenye dry cleaner wanazipiga parfume kisha wanazitundika dukani kwao huwezi jua kama ni mtumba umetoka kugombaniwa pale ilala sokoni