Mtumba nchi gani unalipa?

Mtumba nchi gani unalipa?

Hyo ni wengi sana ata jamaa yang ana duka mwenge na sinza anachukuaga sana mashati ilala alaf anazipeleka shop kwake hapo bei usije ukagusa.
Vipi kuhusu upatikanaji wa wateja hapo Sinza na Mwenge kwa bei hizo za juu? Gharama ya frem ipoje? Upatikanaji wa frem ipoje? Ahsante sana kwa mchango wako rafiki!
 
hii mbona kawaida ukiingia kichwakichwa unapewa lonya lile ambalo huwezi uza hata jero,nguo imeoza ukiishika inachanika yenyewe
Kaka umeongea kama utani vile kumbe uko serious ila umenichekesha sana...🤣🤣🤣 "ukiishika inachanika yenyewe"
 
Back
Top Bottom