E Elisha JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 381 Reaction score 662 Apr 23, 2022 Thread starter #21 Einsten said: Hyo ni wengi sana ata jamaa yang ana duka mwenge na sinza anachukuaga sana mashati ilala alaf anazipeleka shop kwake hapo bei usije ukagusa. Click to expand... Vipi kuhusu upatikanaji wa wateja hapo Sinza na Mwenge kwa bei hizo za juu? Gharama ya frem ipoje? Upatikanaji wa frem ipoje? Ahsante sana kwa mchango wako rafiki!
Einsten said: Hyo ni wengi sana ata jamaa yang ana duka mwenge na sinza anachukuaga sana mashati ilala alaf anazipeleka shop kwake hapo bei usije ukagusa. Click to expand... Vipi kuhusu upatikanaji wa wateja hapo Sinza na Mwenge kwa bei hizo za juu? Gharama ya frem ipoje? Upatikanaji wa frem ipoje? Ahsante sana kwa mchango wako rafiki!
D dmakundi63 New Member Joined Oct 1, 2018 Posts 2 Reaction score 3 May 5, 2022 #22 Mimi pia ningependa kujua jinsi soko lilivyo kwa dar, ninataka kufanya biashara ya viatu vya mtumba, Msaada wenu ndugu zangu.
Mimi pia ningependa kujua jinsi soko lilivyo kwa dar, ninataka kufanya biashara ya viatu vya mtumba, Msaada wenu ndugu zangu.
Mr_S Senior Member Joined Apr 2, 2022 Posts 108 Reaction score 89 Nov 23, 2022 #23 Unforgettable said: hii mbona kawaida ukiingia kichwakichwa unapewa lonya lile ambalo huwezi uza hata jero,nguo imeoza ukiishika inachanika yenyewe Click to expand... Kaka umeongea kama utani vile kumbe uko serious ila umenichekesha sana...🤣🤣🤣 "ukiishika inachanika yenyewe"
Unforgettable said: hii mbona kawaida ukiingia kichwakichwa unapewa lonya lile ambalo huwezi uza hata jero,nguo imeoza ukiishika inachanika yenyewe Click to expand... Kaka umeongea kama utani vile kumbe uko serious ila umenichekesha sana...🤣🤣🤣 "ukiishika inachanika yenyewe"