Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kila siku hatuli, hatulali, hatunywi, hatupumziki, Manzoki, Manzoki.
Mmemuona? Au mnaingia kwenye mtumbwi wa kibwengo tu.
Tuliwahi kumlilia sana Laudit Mavugo, kila siku Mavugo, alipokuja ikawa kichekesho, Simba kuweni makini, mnashikizwa kumsajili Manzoki wakat ni wa kawaida tu, awe mchezaji mzuri acheze China?
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app