much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,592
Kwaiyo kwa sasa sio mayahudi tena?Mimi nilitegemea baada ya miaka 600 anakuja mtu anayewapa siri ya yaliyojiri kuwa Kristo hakuuawa na yale maaskari ya Kirumi na Makuhani manafiki, mgefurahi kwamba kumbe Yesu yule mtu mwema alisurvive uonevu ule, lakini cha ajabu nyie mnaichukia hiyo habari njema kwa sababu mnafurahia,mnapenda na mnatamani Yesu afe msalabani!