Mtume alijuaje Yesu Kristo hakuuwawa msalabani na Warumi?

Kwaiyo kwa sasa sio mayahudi tena?
 
Yesu aliomba kwa Mungu,'Kikombe Hiki kiniepuke'.tizama kwenye Biblia.Kwa hiyo wataka kuniambia Mungu,hasikizi maombi ya Yesu?
 
Umewafahamisha vizuri.Yesu aliomba kwa Mungu,kikombe hiki kiniepuke,kama hakikumuepuka,ni kuwa mambo anayoomba kwa Mungu,hayasikilizwi na kukubaliwa?
 
Allah subuana wa taalah ndiye aliyempa Mtume mtukufu Muhamad habari za kutokusulubiwa kwa Isa bin Maryam.

Una swali lingine?
Wabilah Tawfiq.
Kwa hiyo kabla ya Muhammad, ulimwengu mzima ulikuwa unajua kwamba Yesu alikufa, then jamaa ndo kaja na fundisho lingine au sio
 
Yesu alisema ni nani kati Yenu (binadamu) mwanae akimuomba mkate atampa jiwe, au akimuomba samaki atampa nyoka?
Halafu at the same time mnategemea Mungu asimuokoe Yesu kipenzi chake pale Yesu alipolia na kuomba kwa unyenyekevu mkubwa kwenye ile bustani ya Gethsemane ili kikombe kile kimuepuke?
 
Ilikuwa ni propaganda watu kulishwa matango pori kwa sababu wafuasi wa Brian Deacon wanaamini kizezeta.
 
Yesu mwenyewe kabla ya hilo tukio alisema atakufa, sasa unataka tuseme hakufa wakati mwenyewe alisema atakufa? Unataka Yesu aonekane muongo?
 
Mtume Muhammad,ndio wa kuaminiwa kuwa Yesu,hakuuliwa msalabani,na mpaka leo yuko hai mbinguni.
 
Na alitoroka kuelekea wapi?
Kwahiyo anakubali Yesu hakuwa wa kawaida kama Gwajima juzi alivyowatoroka polisi waliozingira kanisa lake usiku?
Je anazungumziaje suala la kupaa kwake ambalo wengi walilishuhudia?
 

Nilielezwa na mwanatheologia mmoja mbobezi kuwa, ukifuatilia lile tukio lote la Yesu kuhukumiwa hadi wakati wa kutekelezwa adhabu (muda) kuna mazingira yana utata kwani kuna namna (muda) wa kutekeleza adhabu (kusulubiwa) ulicheleweshwa maksudi hadi, masaa ya karibu na asubuhi kwasababu.......
Kama nitakumbuka vizuri nitaendelea.....
Ila ujue tu kuwa, kwenye Biblia kuna vifungu vimetengenezwa tu ili kufikisha ujumbe uliokusudiwa. Usifikiri kila kitu ni copy paste....na ndio sababu kuna vifungu tayari wamevidelete hivyo toleo jipya la biblia litakuwa na maboresho
 
Kwa hiyo kabla ya Muhammad, ulimwengu mzima ulikuwa unajua kwamba Yesu alikufa, then jamaa ndo kaja na fundisho lingine au sio
Ndiyo hivyo mkuu. Mambo ya Allah Subuana wataalah ni makubwa anafanya vile atakavyo

Wabilah Touwfiq
 
Achana na porojo za huyo Kiroja:
Tunaoenda Israli tumeliona Kaburi alimozikwa Yesu lipo hadi leo likilindwa na serikali na ndugu zake Yesu:
Mnaaminije habari za Kiroja cha Kiarabu ambacho hakikuwahi kufika Israeli, kisichojua hata hatima yake ya baadae:

AL - AH'QAAF - 9 ]
Sema:
Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…