Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kutoa nini mimba?Huku mtaani hawezi kutoa?
Naam! 😎Ka "harrier" , tena ni ya mkopo
Kamshtaki basi km gari linakuhusu ukichoma nyumba yako unafungwa ukichoma gari la kupewa nani kakwambia unafungwa jela? Vifungo vya miungu ya mababu wa ukooKwamba mtume nae ana mitume wenzake?Huo utume na unabii wameuchota wapi? Kama sio mambo ya wasanii na usanii wao basi Goodluck yuko sawa kabisa(japo kisheria inaweza kuwa sio sawa)
Alikua anamtengeneza ili aokoke?Huku mtaani hawezi kutoa?
Dah😂Ka "harrier" , tena ni ya mkopo
Karudisha wamelikataa kaambiwa akalichome moto, yaan unapewa gari na million 2 unauza nafsi yako ? 2021 mpaka 2025 shwaaaDuh makanisani kushaanza kuchangamka kapewa gari kachoma kwanini asingerudisha tu...
Na wewe unataka utengenezwe ili uokoke?Dah😂
Mambo yamegoma kwenda million 2 nayo hela?Kijana kakosa washauri wazuri katika kufanya maamuzi .
huko ndio wachawi wamejazanaWanarogana mpaka makanisani?? Hii ni hatari sana
Afu yeye ana Suzuki Vitara ya Mwaka 1987Ka "harrier" , tena ni ya mkopo
AKili ndio kitu unakosa kunasehemu nimesema kufungua mashitaka?Angalia clip vizuri kuna sehemu ya mwanasheria anasema ni kosa kisheria.Kamshtaki basi km gari linakuhusu ukichoma nyumba yako unafungwa ukichoma gari la kupewa nani kakwambia unafungwa jela? Vifungo vya miungu ya mababu wa ukoo
mkuu kama alijua hivyo kwanini alikubali kupokeaKarudisha wamelikataa kaambiwa akalichome moto, yaan unapewa gari na million 2 unauza nafsi yako ? 2021 mpaka 2025 shwaaa