Ameambiwa mbona kachoma Gari peke yake wakati alipewa na Pesa...!?Kwamba mtume nae ana mitume wenzake?Huo utume na unabii wameuchota wapi? Kama sio mambo ya wasanii na usanii wao basi Goodlucka kuwa yuko sawa kabisa(japo kisheria inaweza kuwa sio sawa)
Mambo yamegoma kwenda million 2 nayo hela?
Pesa si aliambiwa akanunue mafuta na kubadili tairi?Ameambiwa mbona kachoma Gari peke yake wakati alipewa na Pesa...!?
Saidia kumfikishia ujumbe, kuwa Pesa kazichomea wapi!?
Million 2 hela nayo?Ameambiwa mbona kachoma Gari peke yake wakati alipewa na Pesa...!?
Saidia kumfikishia ujumbe, kuwa Pesa kazichomea wapi!?
Hata mimi nimeshangaa anaitwa Mtakatifunabii mkuu mtakatifu? Shetani na ashindwe kabisa na kupachika majina yasiyo yao
Kikk zote hizi ili Geodave azungumzwe.Mtume kanisani kwa nabii mkuu GeorDavie afichua ukweli ishu ya nyota na gari aliyochoma Goodluck Gozbert, kinachomtesa msanii huyo wa nyimbo za injili
View attachment 3213812
View attachment 3213814
Pia, Soma: Masanja Mkandamizaji aililia Benz iliyochomwa moto na Goodluck Gozbert
Usisahau kwenda na kilainishi mkuuNgoja na mimi niende kwa nabii mkuu nilie kwa unyenyekevu niombe Prado ya mwaka 2024
Kama gari ilitoka kwenye madhabahu isiyo sahihi then hata millioni 6 ilitoka kwenye madhabahu isiyo sahihi.Ilikua Millioni 6.
Million 2 hela nayo?
Unawajua Mitume? Huyo mwenye meno kama mahindi ya kuchoma UTUME autoe wapi? Huyo ni MGANGA NJAA tu.Mtume kanisani kwa nabii mkuu GeorDavie afichua ukweli ishu ya nyota na gari aliyochoma Goodluck Gozbert, kinachomtesa msanii huyo wa nyimbo za injili
View attachment 3213812
View attachment 3213814
Pia, Soma: Masanja Mkandamizaji aililia Benz iliyochomwa moto na Goodluck Gozbert
Nimeshangaa kuibeza harrier ya mkopo ilhali yeye ana suzuki ya kupewaAfu yeye ana Suzuki Vitara ya Mwaka 1987
Mtajuaje kama ni mtumishi wa bwana...Kwani kunaulazima wowote wa kushuka na biblia unapohojiwa? Au Kuna vifungu vya kinabii alitaka kutusomea.