Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Umepiga kata tatu kabla hujaja humu [emoji350] [emoji344]
 
Yesu ukapela umemshinda 😛😛😛😛

View attachment 907060
Mi nakueleza ukweli, we unaleta mizaha sio?.

"But I say unto you, That every idle word that men shall speak, they shall give account thereof in the day of judgment. For by thy words thou shalt be justified, and by thy words thou shalt be condemned." (Matthew 12:36-37)
 
Je alikuja au la?
kama alikuja akiwa mtu au mzimu?
na atakapo kuja atakuwa nani mpaka afe?
Swali lilikuwa Kwanini DAJJAL akimuona atayeyuka kama chumvi.
Na kama atakufa sawa na kifo cha binadamu wengine baada ya kuua nguruwe, vunja msalaba nk, kwanini yeye tu? wakati mudy ndio Mtume wa mwisho, kwanini asirudi huyo?
 
mnajipongeza ujinga.
Nimewapa aya hadirhi mmeishia kuja na C&P leo mnakimbia. mkileta nyie vi clip vyenu vya kiabdul abduls mnaona sahihi.
Kamata hiyo tena ikutwange la mgongo.

 
shida yenu ni C&P.
Aya ya Wakorintho ipo wazi Paul akiongea na Kanisa la Korintho baada ya kugeka na kumrudia Mungu mwingine baada ya kupokea mafundisho yasiyo ya Mungu wa kweli.
soma hapa kilipoanzaia taarifa hii ili uelewe.

2 Wakorintho 11 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Paulo Na Mitume Wa Uongo
11 Natumaini mtanivumilia hata wakati ninapokuwa mjinga kidogo. Tafadhali nivumilieni! 2 Nawaonea wivu wa kimungu kwa kuwa mimi niliwaposea Kristo, ili niwatoe kama mwanamwali anavy otolewa kwa mume mmoja akiwa hana dosari. 3 Lakini nina hofu kuwa, kama vile Hawa alivyodanganywa na ujanja wa yule nyoka, huenda akili zenu zimepotoshwa, mkaacha upendo wenu safi na wa kweli kwa Kristo. 4 Kwa sababu kama mtu akija akawahubiria Yesu mwingine ambaye si yule tuliyemhubiri, au kama mkipokea roho mwingine ambaye si yule mliyempokea, au kama mkikubali Injili nyingine ambayo si ile mliyoikubali, mnaipokea kwa moyo mmoja! 5 Lakini sidhani ya kuwa mimi ni mdogo sana nikilinganishwa na hao ‘mitume wakuu’. 6 Hata kama mimi si mzungumzaji hodari, lakini ni hodari katika maarifa. Jambo hili ni dhahiri kwenu.

7 Je, nilitenda dhambi kwa kujishusha mbele yenu na kuwainua ninyi, kwa kuwa niliwahubiria Injili ya Mungu pasipo gharama yo yote kwa upande wenu? 8 Nilipokea msaada kutoka kwa makanisa men gine, niliwanyang’anya wao ili niweze kuwahudumia ninyi. 9 Na nilipokuwa nanyi, nikipungukiwa na cho chote, sikuwa mzigo kwa mtu ye yote, kwa maana ndugu waliotoka Makedonia walitosheleza mahitaji yangu. Kwa hiyo nilijizuia na nitaendelea kujizuia kuwa mzigo kwenu kwa njia yo yote. 10 Na kama ukweli wa Kristo ulivyo ndani yangu, hakuna mtu ye yote katika Akaya nzima atakayenizuia kujivunia jambo hili. 11 Kwa nini? Mnadhani ni kwa kuwa siwa pendi? Mungu anajua ya kuwa nawapenda!

12 Nami nitaendelea kufanya hivi ili kuwazima wale ambao wanatafuta nafasi ya kuhesabiwa kuwa sawa na sisi katika mambo wanayojisifia.13 Watu kama hao ni manabii wa uongo, ni wafany akazi wadanganyifu ambao wanajifanya kuwa mitume wa Kristo. 14 Na hii si ajabu, kwa sababu hata shetani hujigeuza aonekane kama malaika wa nuru. 15 Kwa hiyo si ajabu kama malaika wake shetani nao wanajigeuza waonekane kama watumishi wa haki. Mwisho wao utakuwa sawa na matendo yao.

Kila tukisema SOMA mistari ya kabla yake na umalizie na inayofuata ili upate kuelewa mnakimbilia C&P za waliopotea.

Habari hii Paul haongelei Mitume wenzake kina Simon, Yohanna etc. ndio maana anasema "Tuliwahubiria" na siyo NILIWAHUBIRIA.
 
Wewe Kweli Kimburu.
How come God created him from DUST, if he can say Be and he was? whay God has to goo all those process of collecting dust mix with water or Saliva and dirty his hand and He fish with BE?
if He said Be light and it was. why so? Stupid Mud he copied everything without knowledge and now you are doing the same.
 
Najua kwa kuwa umzee wa C&P kamata hii kwa kiswahili maana lugha ya Bibi inakuchenga.
Hapa hii moja tu inakutosha kukupa mwanga WHO is PAUL. na kwa style yake ndio maana Allah alimtuma kwenda ongeza nguvu huko Antiokia.

Matendo Ya Mitume 9 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kuokoka Kwa Sauli
9 Wakati huu wote Sauli alikuwa bado anaendelea na vitisho vyake vya kuwaangamiza kabisa wanafunzi wa Bwana. Akaenda kwa Kuhani Mkuu,2 akamwomba ampe barua ya kumtambulisha kwa masina gogi ya huko Dameski, ili akiwapata wafuasi wa ile ‘Njia 3 Basi katika safari yake, alipokuwa akikaribia Dameski, ghafla nuru kutoka mbinguni iliangaza kumzunguka! 4 Akaanguka chini! Na aka sikia sauti ikimwambia, “Sauli, Sauli, mbona unanitesa?” 5 Sauli akajibu, “Ni nani wewe, Bwana?” Ile sauti ikasema, “Mimi ni Yesu ambaye unamtesa. 6 Lakini sasa inuka uingie mjini nawe utaambiwa la kufanya.” 7 Wale waliokuwa wakisafiri na Sauli wakasimama kwa mshangao, wala hawakuweza kusema neno kwa sababu walisikia sauti lakini hawakumwona aliyekuwa akizungumza.8 Sauli akainuka na alipojaribu kufungua macho, hakuweza kuona kitu. Basi wakamshika mkono wakamwongoza mpaka Dameski. 9 Na kwa muda wa siku tatu akawa haoni kabisa, na hakula kitu wala kunywa cho chote.

10 Huko Dameski alikuwepo mfuasi mmoja jina lake Anania. Bwana akamwita Anania katika ndoto, “Anania! ” Akaitika, “Nipo hapa Bwana.”11 Bwana akamwambia, “Amka uende barabara iitwayo Nyofu ukaulizie katika nyumba ya Yuda kuhusu mtu aitwaye Sauli wa Tarso. Yeye hivi sasa anaomba, na katika maono anamwona mtu 12 aitwaye Anania akija na kuweka mikono juu yake ili aweze kuona tena.” 13 Anania akajibu, “Bwana, nimesikia kutoka kwa watu wengi mambo ya kutisha ambayo mtu huyu anawatendea wataka tifu wako huko Yerusalemu. 14 Naye amekuja hapa Dameski akiwa na kibali kutoka kwa Kuhani Mkuu awakamate wote wanaotaja jina lako.” 15 Lakini Bwana akamwambia Anania, “Nenda, kwa maana nimemchagua awe mtumishi wangu wa kulitangaza jina langu kwa mataifa na wafalme na kwa wana wa Israeli;16 nami nitamwonyesha atakavyoteseka sana kwa ajili ya jina langu .”17 Anania akaenda, akaingia mle nyumbani. Akaweka mikono yake juu ya Sauli akasema, “Ndugu yangu Sauli, Bwana Yesu aliyekutokea njiani ame nituma kwako ili upate kuona tena na ujazwe Roho Mtakatifu.”18 Mara vitu kama magamba vikaanguka kutoka machoni mwa Sauli, akapata kuona tena. Akasimama, akabatizwa. 19 Kisha akala chak ula, akapata nguvu tena. Alikaa siku kadhaa pamoja na wanafunzi huko Dameski na 20 bila kukawia akaenda katika sinagogi akawash uhudia watu kwamba, “Yesu ni Mwana wa Mungu.”

Sauli Ahubiri Dameski
21 Watu wote waliomsikia Sauli walishangaa wakasema, “Huyu si yule mtu aliyekuwa akiwatesa watu waliotaja jina la Yesu huko Yerusalemu, na ambaye amekuja hapa kwa shabaha ya kuwakamata na kuwapeleka wakiwa wamefungwa kwa makuhani wakuu?” 22 Lakini Sauli alizidi kuhubiri kwa nguvu zaidi akathibitisha kabisa kwamba Yesu ndiye Kristo; hata Wayahudi walioishi Dameski hawa kuwa na lo lote la kupinga.23 Baada ya siku nyingi kupita, Way ahudi walifanya mpango wa kumwua Sauli. 24 Lakini Sauli akapata habari za mpango huo. Wayahudi walikuwa wakilinda milango yote ya kutokea mjini, mchana na usiku ili akitoka wamwue. 25 Lakini wanafunzi wake wakamtoa nje ya mji usiku kwa kumpitisha mahali palipokuwa na nafasi katika ukuta wa mji, akiwa ndani ya kapu kubwa.

Sauli Atoa Ushuhuda Wake Yerusalemu
26 Sauli alipofika Yerusalemu alijaribu kujiunga na waamini lakini wao walimwogopa kwa maana hawakuamini ya kuwa kweli ali kuwa amemwamini Yesu. 27 Lakini Barnaba akamchukua Sauli akampeleka kwa wale mitume akawaeleza jinsi Sauli alivyokutana na Yesu njiani akienda Dameski na Yesu akasema naye. Pia akawaeleza jinsi Sauli alivyohubiri kwa ujasiri kwa jina la Yesu huko Dameski. 28 Kwa hiyo Sauli akakaa nao akishirikiana nao na aki hubiri wazi wazi kwa jina la Yesu kila mahali huko Yerusalemu.

29 Lakini alipowahubiria Wayahudi wenye asili ya Kigiriki na kubishana nao, wao waliamua kumwua. 30 Waamini wengine walipo pata habari hizi walimchukua hadi Kaisaria wakamsafirisha kwenda Tarso. 31 Ndipo kanisa katika Yudea yote, Galilaya na Samaria likawa na wakati wa amani. Kanisa likapata nguvu likienenda katika kicho cha Bwana; na kwa msaada wa Roho Mtakatifu, idadi yake ikazidi kuongezeka.
 
Kamata hii ya kulali ikukumbatie vyema. Usione haya kumshirikisha shekh wako

 

If i may ask this.
How small Shaitan is to fit in your nose at night while you are asleep, but Allah use stars as missiles to shoot him.
Quran 67:5
Yusuf Ali (Orig. 1938)
And we have, (from of old), adorned the lowest heaven with Lamps, and We have made such (Lamps) (as) missiles to drive away the Evil Ones, and have prepared for them the Penalty of the Blazing Fire.
 

According to the Qur’an, God’s Word Cannot Be Changed:

En’âm 6:34 – There is none to alter the decisions of Allah.



En’âm 6:115 – Perfected is the Word of your Lord in truth and justice. There is nothing that can change His words.



Yunus 10:64 – No change can there be in the words of Allah.



İbrahim 14:47 – Never think that Allah will fail in his promise to his messengers.

İsra 17:77 – (Such was Our) way with the messengers We sent before you. And you will find no change in Our ways.

Nahl 16:43 – The messengers We sent before you (O Muhammad), were not other than men to whom We gave revelation. Ask the people of the Remembrance if you do not know.




According to the Bible, God’s Word Cannot Be Changed:



Matthew 24:35 – Heaven and earth shall pass away, but my words shall not pass away.


Revelation 14:6 – And I saw another angel fly in the midst of heaven, having the everlasting gospel to preach unto them that dwell in the earth.

Isaiah 55:11 – So shall my word be that goeth forth out of my mouth: it shall not return unto me void, but it shall accomplish that which I please, and it shall prosper in the thing whereto I sent it.



..So your argument is bogus.
 
Mkuu usitake kuudanganya umma tayari qur an imeeleza point blank kua dhurqarnain alifika mpaka sehem ambayo jua linazama katika tope jeusi na akawakuta watu wanaishi eneo Hilo...Sasa hapo unahitaji Nini imam shafii,hambal, malick au hannaf waje wakufafanulie? Kubali tu tushapigwa changa la macho hizo hadithi niza uongo....hazithibitiki kwa fact....
 


  1. Are non-Jews dogs or not? Jesus slipped and said they are, and then instantly changed his mind. Hilarious indeed!
  2. Is divorce allowed or not?
  3. Is camel meat allowed or not? OT says no, but Paul and Jesus say yes.
  4. Balaam was first commanded not to go, and then was commanded to go.
  5. Moses was told he will not see the Promised Land, but then he descended to it and landed on it. GOD Almighty broke His Divine Promise? Both Deuteronomy 34:1-8 and Matthew 17:1-4 are in clear clashing contradiction with each other.
  6. GOD Almighty Saying that He may or may not do something. The change in mind and mood by GOD Almighty is an abrogation by itself. 2 in 1.
  7. Can a man marry his brother's wife or not?
    - The Verses.
    - Biological Contradiction and False Promise!
    - Rejecting of the blood-relationship and allowing for the parents to marry their own children!!
  8. Thou shalt not LIE, but yet, GOD Almighty supposedly detailed for Samuel how to trick & tell HALF TRUTH to Saul.
    - Paul permitted lying in Romans 3:1-8 & Philippians 1:15-18. To Paul the end literally justifies the means!!
    - Also more lying by GOD Almighty in other verses!
  9. Hezekiah was declared to die by GOD Almighty, and then GOD Almighty changed His mind and healed him!
  10. GOD Almighty does not change His mind, but yet, He did countless times before!
 
God didn't change anything.. You are too fool to understand the scriptures.
Some laws are not from God. Despite being entitled to Gods'name.
You contradict even your horrible quran. Fool!
 
Fool!. Is allah himself who is gullible enough to understand that Christians worship one God and The word trinity componets do not include Virgin Mary as his wife?.

It requires one error to vilify Quran, but Quran has Thousands.
The name of Father of Abraham is called Terrah. Quran didn't knew this..
Quran confused miriam and mary.
Quran don't know the earth is round.
Quran claimed to be scientifically but arabs are backwards in all aspects of life.
Allah is one but plural signifies his orders sometimes third parties.
Sins is acceptable.
 
Na kuna hadithi, ambapo Bi Khadija naye anasema ni wa kwanza.

Usiongeze wala usipunguze. Tafwadhali!
Wala sijapunguza wala kuongeza unatakiwa ufahamu wa kwanza kwenye mazingira gani Adam ndio wa kwanza kwa viumbe wote kuwa Muislamu, musa ni wakwanza kwa wakati wake, Mohammad ni wakwanza kwa wakati wake(au Uma wake) , hili nalo pia uelewi ahahhahahahahahahahah maandiko yapo kibaooooooo
 
Ahahahahaahahaahaha ujajibu swali Yesu kasulubiwa saa ngap? Unachofanya ni kujitoa akili wakati wewe ni mzima Ahahahahahahaa kama ujui si useme Ahahahahahahaa
 
allah Aliwaona wanamuamini MWENYEZI MUNGU ndipo akasema Wasihofu [emoji106]
Unajua maana ya "ATAKAYE" Ahahahahahahaa je " ALIYE " Ahahahahahahaa andiko linasema " ATAKAYE MUAMININI" Ahahahahahahaa hata wewe ukikubali kumuamini Mwenyezi Mungu basi haya hii inakuhusu
QURAN 3:19
" bila shaka dini ya Haki mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu"
Ahahahahaahahaahaha ukiamini hivyo wewe tena ukristo unakua umewaachia MAKAFIRI Ahahahahahahaa
 
Sasa UNAMLA MVUTU MAITI UNATUBU UNAMLA TENA UNATUBU TENA, NA TENA NA TENA...ATAKAYE KUPATANISHA NA MUNGU NANI [emoji350] [emoji344] ndivyo mnavyo daganyana eeh [emoji15] [emoji12] allah amesha wambia [emoji117] View attachment 907393
Ahahahahaahahaahaha bure kabisaaaaaaaaa ahahahhahahaah Mungu haitaji mpatanisha Ahahahahahahaa kwanza kabla ujamuomba msamaha anafahamu, sasa ukimuomba si ndio kabisa, nyie endeleeni kutubu dhambi zenu kwa mapadri ahhhhhhhhhhhh upuuzi wa kiwango kikubwa huu hii ndio falsafa ya maumbile
QURAN 40:40
" Mwenye kutenda uovu hatalipwa ila sawa na huo uwovu wake, na anaye tenda wema , akiwa mwanamume au mwanamke, naye ni muumini, basi wataingia peponi, waruzukiwe humo bila ya hesabu"

Ahahahahaahahaahaha saafi kabisaaaaaaaaa endelea kupiga magoti kwa padre wako mwenyewe muovu tu kama wewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…