masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Mungu wetu ni mwenye huruma kumbe hata watu Motoni anaweza kuwapa ofa kuwa wapenzi wa waumini , kweli Mungu ni mwenye huruma , una hasira mpaka unashindwa kuwa positive , sasa kuhusu wanawake kuwa wengi motoni mbona sasa ipo ni suala la wanawake kubadilika na kuwatii waume zaoKamata hii kisha lete uanazuoni wako hapo.
Sunan Ibn Majah » The Chapters on Asceticism from Sunan Ibn Majah
It was narrated from Abu Umamah that the Messenger of Allah (saw) said:
“There is no one whom Allah will admit to Paradise but Allah will marry him to seventy-two wives, two from houris and seventy from his inheritance from the people of Hell, all of whom will have desirable front passages and he will have a male member that never becomes flaccid (i.e., soft and limp).’”
حَدَّثَنَا هِشَامُ بْنُ خَالِدٍ الأَزْرَقُ أَبُو مَرْوَانَ الدِّمَشْقِيُّ، حَدَّثَنَا خَالِدُ بْنُ يَزِيدَ بْنِ أَبِي مَالِكٍ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ خَالِدِ بْنِ مَعْدَانَ، عَنْ أَبِي أُمَامَةَ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ ـ صلى الله عليه وسلم ـ " مَا مِنْ أَحَدٍ يُدْخِلُهُ اللَّهُ الْجَنَّةَ إِلاَّ زَوَّجَهُ اللَّهُ عَزَّ وَجَلَّ ثِنْتَيْنِ وَسَبْعِينَ زَوْجَةً ثِنْتَيْنِ مِنَ الْحُورِ الْعِينِ وَسَبْعِينَ مِنْ مِيرَاثِهِ مِنْ أَهْلِ النَّارِ مَا مِنْهُنَّ وَاحِدَةٌ إِلاَّ وَلَهَا قُبُلٌ شَهِيٌّ وَلَهُ ذَكَرٌ لاَ يَنْثَنِي " . قَالَ هِشَامُ بْنُ خَالِدٍ مِنْ مِيرَاثِهِ مِنْ أَهْلِ النَّارِ يَعْنِي رِجَالاً دَخَلُوا النَّارَ فَوَرِثَ أَهْلُ الْجَنَّةِ نِسَاءَهُمْ كَمَا وُرِثَتِ امْرَأَةُ فِرْعَوْنَ .
Kumbe mkienda huko peponi alikowaandalia Mudy mnaoana na wanawake wa motoni(Hell)?
tujuavyo motoni ni makazi ya majini na walimkosea Mungu, na hakuna ukaribu na paradise. sasa hiyo ndoa inakuwaje?
Sasa huko peponi au motoni?
Inaonyesha kuwa Hell asilimia kubwa ni wanawake tu, maana kama unaweza kuozeshwa 70 mtu mmoja. Kwa haraka haraka Muslim women hawaendi peponi bali motoni.
maana hadithi inaonyesha anayeozeshwa ni mume tu, mke hana chake.
Mud(Allah himself) anatuthibitishia hilo kama ifuatavyo.
Sahih al-Bukhari » Menstrual Periods
Narrated Abu Sa`id Al-Khudri:
Once Allah's Apostle went out to the Musalla (to offer the prayer) of `Id-al-Adha or Al-Fitr prayer. Then he passed by the women and said, "O women! Give alms, as I have seen that the majority of the dwellers of Hell-fire were you (women)." They asked, "Why is it so, O Allah's Apostle ?" He replied, "You curse frequently and are ungrateful to your husbands. I have not seen anyone more deficient in intelligence and religion than you. A cautious sensible man could be led astray by some of you." The women asked, "O Allah's Apostle! What is deficient in our intelligence and religion?" He said, "Is not the evidence of two womenequal to the witness of one man?" They replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in her intelligence. Isn't it true that a woman can neither pray nor fast during her menses?" The women replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in her religion."
حَدَّثَنَا سَعِيدُ بْنُ أَبِي مَرْيَمَ، قَالَ أَخْبَرَنَا مُحَمَّدُ بْنُ جَعْفَرٍ، قَالَ أَخْبَرَنِي زَيْدٌ ـ هُوَ ابْنُ أَسْلَمَ ـ عَنْ عِيَاضِ بْنِ عَبْدِ اللَّهِ، عَنْ أَبِي سَعِيدٍ الْخُدْرِيِّ، قَالَ خَرَجَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فِي أَضْحًى ـ أَوْ فِطْرٍ ـ إِلَى الْمُصَلَّى، فَمَرَّ عَلَى النِّسَاءِ فَقَالَ " يَا مَعْشَرَ النِّسَاءِ تَصَدَّقْنَ، فَإِنِّي أُرِيتُكُنَّ أَكْثَرَ أَهْلِ النَّارِ ". فَقُلْنَ وَبِمَ يَا رَسُولَ اللَّهِ قَالَ " تُكْثِرْنَ اللَّعْنَ، وَتَكْفُرْنَ الْعَشِيرَ، مَا رَأَيْتُ مِنْ نَاقِصَاتِ عَقْلٍ وَدِينٍ أَذْهَبَ لِلُبِّ الرَّجُلِ الْحَازِمِ مِنْ إِحْدَاكُنَّ ". قُلْنَ وَمَا نُقْصَانُ دِينِنَا وَعَقْلِنَا يَا رَسُولَ اللَّهِ قَالَ " أَلَيْسَ شَهَادَةُ الْمَرْأَةِ مِثْلَ نِصْفِ شَهَادَةِ الرَّجُلِ ". قُلْنَ بَلَى. قَالَ " فَذَلِكَ مِنْ نُقْصَانِ عَقْلِهَا، أَلَيْسَ إِذَا حَاضَتْ لَمْ تُصَلِّ وَلَمْ تَصُمْ ". قُلْنَ بَلَى. قَالَ " فَذَلِكَ مِنْ نُقْصَانِ دِينِهَا ".
Jami` at-Tirmidhi » The Book on Faith
Narrated Abu Hurairah:
that the Messenger of Allah (SAW) delivered a Khtubah in which he exhorted them, then he said: "O women! Give charity for you are the majority of the people of the Fire." A woman among them said: "And why is that O Messenger of Allah?" He said: "Because of your cursing so much." - meaning your ungratefulness towards your husbands. He said: "And I have not seen any among those lacking in intellect and religion who are more difficult upon people possessing reason and insight than you." A woman among them said: "And what is the deficiency of her intellect and religion?" He said: "The testimony of two women among you is like the testimony of a man, and the deficiency in your religion is menstruation, because one of you will go three or four days without performing Salat."
حَدَّثَنَا أَبُو عَبْدِ اللَّهِ، هُرَيْمُ بْنُ مِسْعَرٍ الأَزْدِيُّ التِّرْمِذِيُّ حَدَّثَنَا عَبْدُ الْعَزِيزِ بْنُ مُحَمَّدٍ، عَنْ سُهَيْلِ بْنِ أَبِي صَالِحٍ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم خَطَبَ النَّاسَ فَوَعَظَهُمْ ثُمَّ قَالَ " يَا مَعْشَرَ النِّسَاءِ تَصَدَّقْنَ فَإِنَّكُنَّ أَكْثَرُ أَهْلِ النَّارِ " . فَقَالَتِ امْرَأَةٌ مِنْهُنَّ وَلِمَ ذَاكَ يَا رَسُولَ اللَّهِ قَالَ " لِكَثْرَةِ لَعْنِكُنَّ " . يَعْنِي وَكُفْرَكُنَّ الْعَشِيرَ . قَالَ " وَمَا رَأَيْتُ مِنْ نَاقِصَاتِ عَقْلٍ وَدِينٍ أَغْلَبَ لِذَوِي الأَلْبَابِ وَذَوِي الرَّأْىِ مِنْكُنَّ " . قَالَتِ امْرَأَةٌ مِنْهُنَّ وَمَا نُقْصَانُ دِينِهَا وَعَقْلِهَا قَالَ " شَهَادَةُ امْرَأَتَيْنِ مِنْكُنَّ بِشَهَادَةِ رَجُلٍ وَنُقْصَانُ دِينِكُنَّ الْحَيْضَةُ تَمْكُثُ إِحْدَاكُنَّ الثَّلاَثَ وَالأَرْبَعَ لاَ تُصَلِّي " . وَفِي الْبَابِ عَنْ أَبِي سَعِيدٍ وَابْنِ عُمَرَ . قَالَ أَبُو عِيسَى هَذَا حَدِيثٌ صَحِيحٌ غَرِيبٌ حَسَنٌ مِنْ هَذَا الْوَجْهِ .
Allah ni kituko kweli, alipomuumba mwanamke aingie na kumpa mwili unaomfanya awe kwenye HEDHI hakujua kua atakosa swala na hivyo ataingia motoni?
What kind of God is this?
Halafu cheki sasa heshima ya mwanamke ilivyo shushwa. eti hata ushahidi wawe 2 ndio sawa na mwanme 1. Pumbavu kabisa huyu Allah.
SAHIH BUKHARI , the Book of Belief
Volume 1, Book 2, number 28
Narrated Ibn Abbas
The prophet said " I was shown the hell -fire and that the majority of its dwellers were woman who were UNGRATEFUL." It was asked" Do they disbelieve in Allah? " He replied ," They are UNGRATEFUL to their HUSBANDS and are UNGRATEFUL for the favors and the good ( charitable deeds) done to them.
ni lazima wanawake wawape heshima zao waume zao na wawaheshimu waume zao
Mbona hata Mungu wenu anathibitisha wanaume ndio WATAWALA wa wanawake wewe ni mvivu tu wa kusoma na chuki inakusumbua haya pokea hii
MWANZO 3:16
"Akamwambia mwanamke,hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako ; kwa utungu utazaa watoto; Natamaa yako itakuwa kwa mumeo ,naye ATAKUTAWALA ",
Mwanaume ndio mtawala wa wanawake , hili hata Mungu wako analijua
HALAFU unajionesha kuwa unajali haki za wanawake haya hii kafe nayo mbele huko shwaini
WALAWI 21:9
" Na binti ya kuhani yeyote, atakapojitia UNAJISI kwa ukahaba,amemtia unajisi baba yake; atachomwa moto";
Ahahahahaahahaahaha wewe unaona tabu mashahidi wawili wa kike kuwa sawa na mwanamme mmoja (na unajua kabisa mume ni mtawala) halafu ushangai kabisa mwanamke kuchomwa moto huko kwenye biblia yako wakati ata sio mke wa mtu ni binti tu asiye na mume mwamchomea nini moto? ahahahahahhahajahahaajqjajjjjaajqjqjqjqjqjja