Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ahahahahaahahaahaha umeamia kwa mashia Ahahhahahaahaaahah , hakuna shia humu ndio maana nao tunawaelekeza kuwa suala hilo halipo , kama nyie mnavyoambiwa na wasabato kwamba waroma waache kuabudu masanamu , au Christmas ni uzushi lakini mpaka leo amuachi kusheherekea Ahahahhaahahaahaha umenichekesha kweli Ahahahaahhahhahhhaah hakuna shia humu
 
Nyie mnasema uislamu ni mmoja. Ha ha
 
violence in Islam is real and is spiritual.

This is very serious, yet it is a fact. No matter how trenchant this may be, many honest Muslims are ready to examine the facts and apply reason and not just get flared up emotionally. 


Many Muslims are embarrassed about the violence done in the name of their religion and explain that Islam is being misrepresented by these violent people. We honestly wish this were so.


We often hear that Islam is a religion of peace; that only the extremists are violent. But we rarely ask ourselves whether what we say about a religion is according to history or our expectation of the religion, or according to the modern slogans of Islamic leaders and our politicians.

The history of Islam, written by the most respected and earliest Muslim historians does not show the kind of Islam Christian world expect. The sacred books of Islam, the Qur’an and the body of tradition called the Hadith, show clearly the real Islam.
Any other “Islam” is our own imaginations and expectations..

The actions of Islamic terrorists are not necessarily because they are evil. Rather, it is because of who they believe to be “God” speaking in the Qur’an.

They follow his clear instruction and motivation. 
Islam is what the founder of the religion says it is, and not what politicians and western academics think it is.

The best example of Islam is not seen in any modern man, but in its FOUNDER.


Many of Muslims are nice people who normally would not practice violence. But the more a Muslim studies and understands the Qur’an, and the history of Islam’s founder, the more he realizes that non-Muslims must be forced to accept Islam or be subjugated if they ignore the religion.
 
Nyie mnasema uislamu ni mmoja. Ha ha
Mtume ni mmoja na dini ni moja , ila akili za watu ndio zinaleta hitilafu kwenye kupambanua mambo, ndio maana kuna tofauti sasa shida ni mtu akishindwa kutoa dalili halafu amekomaa ndio unaamua umpuuze , ni kama hawa waroma wenzako kila mwaka mnasheherekea Christmas lakini hamna dalili za kimaandiko,kwahiyo watu wanaamua wamiache na ujinga wenu ahahhahahahah hivyo ndivyo mambo yalivyo
 
Hii nyimbo imepitwa na wakati hauna hoja tena , sababu ya kuua ni kama hizi hapa chini
KUMB la torati 20:17-18
17" Lakini UWAANGAMIZE kabisa,mhiti ,na Mwamori, na mkaanani, na Mperizi, na mhivi, na Myebusi, kama ALIVYOKUAMURU Bwana MUNGU WAKO ";

18" WASIJE wakawafunza kufanya mfano wa MACHUKIZO yao, yote; waliyoifanyia miungu yao, hivyo itakuwa ni makosa juu ya Bwana, Mungu wenu";

Ahahahahaahahaahaha kabla ya kupinga , rudisheni nchi ya watu mliodhulumu. kisha rudini kwenu Iraq Ahahahaahaha
 

Nimegundua wewe sio mwislamu na pia sio mwarabu. Bali Unajificha kwenye koti la usilamu. Ngoja waje true muslims. hawajui kucheka, wako siriaz kama founder wao, wamenuna muda wote. Ukihoji dini tu, unaweza kuchezea..ha ha ha
 
Nimegundua wewe sio mwislamu na pia sio mwarabu. Bali Unajificha kwenye koti la usilamu. Ngoja waje true muslims. hawajui kucheka, wako siriaz kama founder wao, wamenuna muda wote. Ukihoji dini tu, unaweza kuchezea..ha ha ha
Ahahahahaahahaahaha mimi sio muislamu tu bali ni muislamu mbobezi ahahhaahhaahahahah, umeona mambo ya Musa hayo wewe unafikiri nchi ya ahadi imepatikana kilelemama Ahahahahaahahaahaha

HESABU 31:17
" Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mume katika hao WATOTO, na kila mwanamke aliyemjua mume kwa kulala pamoja naye";

Ahahahahaahahaahaha damu ilimwagika unaona raha kutembelea Israel haikua rahisi watu wamekufa, mpaka leo wanaendelea kufa
 
Uelewa wako Sii sahihi 100%. Mungu hakua hapo muda wote hapo anawaambia fanya hiki na kile. Kama inavyosomeka kwenye maandiko. Hii ilikua njia ya wao kuimarishana kiimani kwa kutii Maagizo Orally.

Kwakua mbele za Mungu walionekana wana shingo ngumu. Lakini ukisoma unaona kuna vionjo vya kibinadamu ndani yake.
Bibilia inaweka wazi hawakumjua Mungu.

Wayahudi waliamini Mungu kawapa chakula cha mbinguni.(Exodus 16:15) Yesu Anawakatalia(john 6:32). Na huu ndio uelewa ninaouzungumzia.

Kuchelewa kote kwa wayahudi mpaka kufika nchi ya ahadi ni matokeo ya kutokumuelewa Mungu.

Mbali na madhaifu yao, bado Neema ya baba zao abraham, isaka na jakobo iliandamana nao.

Nikipata muda nitaanza kukupa neno gumu kwako u- digest. Japo wewe uu wa maziwa bado haujaota meno.

Na ndio uelewe kwanini ukristo hauigizi maisha hayo ya kiyahudi. Ni kwakua tumemjua Mungu wa Kweli katika Kristo Bwana wetu.

Neno linaweza kuandikwa. Ni sawa. Lakini linamaanisha kitu gani hapo ndio penye shida mpaka kuleta madhehebu.
 
Ahahahahaahahaahaha nenda kasome upyaaaa Mungu mwenyewe aliua wakati wa Nuhu, akaua wakati wa sodoma na akaua wakati wa FARAO N.K sasa leo nataka uniambie kwanini SAUL alipokonywa ufalme akapewa Daudi? nasubir jibu ahahahahahahhahajajjjajjajaja
 
Ahahahahaahahaahaha nenda kasome upyaaaa Mungu mwenyewe aliua wakati wa Nuhu, akaua wakati wa sodoma na akaua wakati wa FARAO N.K sasa leo nataka uniambie kwanini SAUL alipokonywa ufalme akapewa Daudi? nasubir jibu ahahahahahahhahajajjjajjajaja
Takujibu. Nyt nyt..
 
Ahahahahaahahaahaha kama nyie mnavyokunywa damu ya Yesu ,ahhhhhhhhhhhh Ahahahahaahahaahaha wakati ni dhabibu za dodoma Ahahahahaahahahahaaa kule kwa nabii Tito ahahahhahaahaaa
Damu ya Yesu ni Fundisho la Kiroho kama mbishi Tuambie humu Yesu alikuwa na damu kiasi gani ya kuwatosheleza kunywa Wafuasi wake toka zama hizo hadi Leo [emoji350] [emoji344] [emoji106] tunawashangaa nyinyi ktk ku-c&p Fundisho la kunywa damu ya Yesu, baba kesy akaja kimwili mwili kky na Kojo la ngamia [emoji15] [emoji12] sasa mkojo wa ngamia haugusi ardhi waislamu wanaukinga na kojo linauzwa kwa ml kwa kutibu mishipa na chango la ryahi...[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 

Hao walio kufuru na kufanya KEJELI na kuinajisi Maskani ya MUNGU MWENYEZI eti kuna kulana mivutu na mito ya gongo kisha walevi lazima wakojolee Maskani ya MUNGU MWENYEZI [emoji15] [emoji12] ona aliye wadanganya HADI mmeenda harjojo anavyo tamba Sasa [emoji117] [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 

Attachments

  • fly-wings-camel-urine.jpg
    19.6 KB · Views: 23
Wewe ukisikia mwenyezi Mungu ni upendo unaelewa nini?. halafu ukisikia Mwenyezi Mungu ni NURU unaelewa nini? wewe ukisikia mfano wa Mungu inamaanisha kitu gani? njoo ujibu maswali haya kabla sijaanza kukuchapa viboko vingine
Original copy na Photo copy ni sawa [emoji350] [emoji344] Ujuzi wangu wa kujua jema na baya ni mdogo sanaà, KULIKO UJUZI WA MUNGU WA KUJUA UBAYA MABAYA NA MEMA...[emoji106] Una bahati sana kukufundisha kuhusu Mungu Wangu..laa sivyo hiyo sisi ni Mfano WA MUNGU ningeishia kwenye Andiko bila mjadala kama hutaki shauri yako [emoji12]
 
Ok same to you
(Read 1 Samuel 13:8-14)

Sauli alivunja maagizo aliyopewa na Nabii Samuel, see 1 Samuel 10:8.
Sauli akataka kutolea sadaka madhabahuni angali akitambua yeye sio Nabii wala kuhani anayestahili kufanya haya.
Hata anapoelezwa kosa lake. Bado anajenga sababu za kujisafisha. Bila kutubia kosa lake.

Sauli alikua autocratic kind of leader. Alitaka kua na mamlaka ya kiroho na kimwili wakati alikua ni mfalme tu.
Alifanya makosa mengi hasa kipindi cha mwaka wake wa pili.
Nabii Samuel akamnenea unabii kua Mungu ameufanya ufalme wake kua mfupi. Basi Samuel akamnenea unabii wa kuuondoa ufalme.
1Samuel 13:11-14

Sodoma na Gomorrha mungu alifutilia mbali uzao wa kiShetani katika uso wa dunia.
 


Bwana Paulo ndiye aliyekuwa mtu wa kwanza katika agano jipya kuandika nyaraka zake kabla ya waandishi wengine wa agano jipya kuandika Injili zao na nyaraka zao.

Aidha, Biblia inaeleza pia kuwa Bwana Paulo alipokuwa akiandika nyaraka zake hizo alikuwa akiandikia dini yake ya Ukristo (ya mungu-mtu huyo na ibada zake).

Waandishi hao wa agano jipya ambao imeripotiwa kuwa nao pia waliuandikia Ukristo ambapo walianza rasmi kuandika Injili zao na nyaraka zao kuanzia miaka ya 36 hadi 45 baada ya Paulo kuandika na kusambaza nyaraka zake hizo (rejea Biblia ya Wakatoliki Imprimatur, Mihayo, 1967 Tabora, kwenye maelezo juu ya nyaraka za Paulo na kwenye maelezo ya Injili mbalimbali).

Kwa shuhuda hiyo, ni wazi kuwa waandishi hao nao pia walikuwa wakiiandikia dini ya Kikristo ya Paulo.

Kwa hali hiyo, imedhihirika kuwa baada ya Bwana Paulo kuzichukua imani na ibada za watu wa mataifa (au wapagani) na kuziandika kwenye nyaraka zake na kudai kuwa zinamhusu Yesu (a.s.) kazi ya pekee iliyofanywa na waandishi hao ni kusherehesha maneno hayo ya Paulo kama yalivyo kwenye nyaraka zake.

Kwa maantiki hiyo, sifa kuu mojawapo ya miungu-Zeu na Herme ya wapagani kwamba ni kufa, Bwana Paulo naye alifundisha kuwa mungu wake huyo (mungu-mtu) aliyemhubiri kuwa na desturi moja na miungu hiyo (ya wapagani) na kumwita "Yesu" kwamba naye vile vile anayo sifa hiyo (ya kufa), kwa kusema:

"Bali Mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu sisi, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu, tulipokuwa tungali kwenye dhambi". (Warumi 5:8)

Hapa Bwana Paulo anafundisha wazi kuwa mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" (Kristo) alikufa! Sambamba na mafundisho yake hayo, ili kuthibitisha kwamba waandishi wa Injili na nyaraka wa agano jipya kwamba mara nyingi walikuwa wakisherehesha nyaraka za Paulo, sifa hiyo (ya kufa) aliyonayo mungu huyo wa Paulo baadae nao waliishabikia ajabu, kwa kuandika kwa mapana na marefu; ambapo kila mwandishi aliandika kwa staili ya aina yake katika juhudi za kumpambia mungu wao huyo sifa yake hiyo (ya kufa), hali iliyoibua mgongano mkubwa kimasimulizi na kuwaacha wasomaji wasijue nani mkweli. (Tazama Injili ya Mathayo, Marko, Luka,Yohana na nyaraka za Petro, Yohana, Yakobo, Yuda na Ufunuo wa Yohana n.k.)

Na ndivyo hivyo hivyo waandishi hao walivyosheresha kwa unazi sifa ya kufufuka (ya miungu- Zeu na Herme) miaka michache baada ya 'mwalimu wao', Bwana Paulo kuandika katika nyaraka zake kwamba mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" naye vile vile anayo sifa hiyo (ya kufufuka), kwa kusema:

"Mkumbukeni Yesu Kristo aliyefufuka katika wafu, wa uzao wa Daudi kama inenavyo Injili yangu". (2 Timotheo 2:8)

Kwa ufupi, haya ndio mafundisho ya Bwana Paulo yaliyo katika Injili yake yakiithibitisha sifa kuu nyingine ya kufufuka aliyonayo mungu wake huyo aliyemwita "Yesu", ambapo baadae waandishi wa agano jipya waliisherehesha kwa mapana na marefu. (Rejea Injili na nyaraka zao).

Sifa Kuu nyingine za Mungu huyo wa Paulo na Ukristo mwenye asili na desturi za miungu-watu ya wapagani, kwa uchache waandishi hao walizisherehesha katika Injili zao kama ifuatavyo:

Kuzaliwa na mwanamke (Tazama Luka 2:4-7)

Kuvikwa nguo ( Luka 2:6)

Kuona kiu (Yohana 19:28)

Kula na kunywa (Mathayo 11:19 na Yohana 4:7)

Kuvuliwa nguo (Mathayo 27:27-28)

Kupigwa (Mathayo 27:27-30)

Kulia machozi (Yohana 11:35)

Kuchoka (Yohana 4:6)

Kulala usingizi (Mathayo 8:23-24)

Kutokujua mambo yote (Mathayo 24:36)

Kuwa na ukoo (Mathayo 1:1)

Kwa uchache, hizi ndizo sifa kuu za mungu wa Paulo aliyemwita "Yesu" mwenye desturi ya kujigeuza kuwa mwanadamu sawa na miungu-Zeu na Herme inayoaminiwa na wapagani.
 
Asante kututhibitishia kuwa ALLAH ni MUHAMMAD.mwenyewe na ndio maana akidhihakiwa mnaua mtu, kisa mungu wenu katajwa.
Nikuulize Jambo moja - Kwanini Mud ana majina sawa na Allah ? wote wana majina 99, WHY????

Unatoa mifano na inakuumbua, mwenyewe unaona umepatia. Donkey is always a Donkey not the other way!!
Umajiuliza/Umemuuliza aliyekupa andiko hili (YOHANA 8:48-49) kwanini walimwita Msamaria na ana Pepo?
Kamuulize tena.
Yesu katuhumiwa kuwa na pepo na majibu ametoa mwenyewe.Sasa Mtumwa wa Shetani anatuhumiwa mwizi wa CHUPI( naamini ilikuwa G-String), anatetewa na ALLAH? Why? halafu unajiita mbobezi.
Hakuna niliposema nataka jina. Swali ni kwanini ALLAH hakuwaonyesha aliyeiba KIPWINTO cha Velvet?

Haya angalia umbweha wako. Kumbe ni quran ndio imeandika. Sasa mbna andiko lako halisemi kuwa ni mtoto wa zinaa?
Kwa akili zako zote ulizotumia kujibu, neno AJABU ni sawa na ZINAA? ndio ilmu ya msikitini hiyo?

Rudi tena kwa aliyekukaririsha ukamwambie tena, kwanini amekupa maandiko ya bibilia yanayokudhalilisha?
Tembea nayo hii tuonane Jumatatu tukubatize.

 
Nimekutaka utupe uelewa wako kwenye uandishi wa sentesi hiyo hiyo, hujaibu. umeng'ang'ani Paul alikufuru. Alikufuru wakati gani? Kwanini alilazimisha wafanye kufuru, na kina nani aliwalazimisha wakufuru sawa na yeye?

Swali wewe na Mudy(muislam wa kwanza kuslim akifuatiwa na Mkewe Khadija na kundi la ndugu zenu wa MAJINN) nani anajua zaidi kuhusu uislam??

Sasa tupe majibu, acha ubishani wa kulazimisha upumbavu wako hapa. Wasomaji wanataka kuona majibu ya kisomi.
Islam is a stupid Religion for Stupid Believers of it!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…