Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.

These bizarre practices are all based on proven forgery:

The oldest copies of the Gospel of Mark, the Sinaitic and Vatican, end at Mark 16:8.

A note in the New International Version of the Bible states:

"The most reliable early manuscripts and other ancient witnesses do not have Mark 16:9-20."

Verses 9 to 20 appear to have been added later by an unknown Christian forger.

The addition was quoted in the writings of Irenaeus and Hippolytus in the second or third century.

http://www.religioustolerance.org/mark16.htm, emphasis added.

The insertion and continued translation of such an obvious and dangerous forgery in the Bible should come as no surprise.

In order to boast their flimsy claims that God is a "Trinity," many Christians continue to quote another proven forgery, 1 John 5:7, which purports to say:

"For there are three that bear record in heaven, the Father, the Word, and the Holy Ghost: and these three are one."
 

Job 25:4-6

4 How then can man be justified with God? or how can he be clean that is born of a woman?

5 Behold even to the moon, and it shineth not; yea, the stars are not pure in his sight.

6 How much less man, that is a worm? and the son of man, which is a worm?


Man born from a woman and Son of man are nothing but despicable and worthless "worm" (Job 25:4-6 above)!


Yet, Jesus was born from a woman, was a man, and was also called "son of man":
  • Psalm 80:17
  • Let your hand rest on the man at your right hand, the son of man you have raised up for yourself.

  • Matthew 26:24
    The Son of Man will go just as it is written about him. But woe to that man who betrays the Son of Man! It would be better for him if he had not been born."

  • Mark 14:21
    The Son of Man will go just as it is written about him. But woe to that man who betrays the Son of Man! It would be better for him if he had not been born.
 
The WISDOM of Allah in this verse is that: Jews and Christians were not good CUSTODIANS of their scriptures. THEY FALSIFIED THEIR BOOKS! where led them to be cursed and their hearts were led astray.
To make things clear to you, have a time to listen to the audio available in youtube by a Jewish Professor Moshe Sharon at Ben Gurion University:
 
Kwa hili sayansi ina majibu sio imani tena hapo!
 
HOJA ya msingi imekwishwa sasa unachofanya ni kujitekenya na kucheka mwenyewe sasa unashangaa jasho au unashangaa huo mlio unaofanana na kengele ?
1.KUHUSU KUTOKUJUA BAADHI YA VITU
JIBU: nilishakujibu muda mrefu mtume ni mtu hawezi kujua kila kitu , ukiona ajaelezea jambo ujue Mungu akutaka kumpa ufahamu huo wa kuelezea jambo hilo. BAHATI nzuri mtume anakuwa MUWAZI kabisa anasema " MUNGU ANAJUA ZAIDI" sasa hapo unashangaa nini ?
MIFANO TIBA HII HAPA
-MFANO NO 1
Baada ya Yesu kuongea weeee habari za kiyama , wadau wakamuuliza kwani kiyama yenyewe lini ? jibu la Yesu sasa
MARKO 13:32
"Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye , hata malaika walio mbinguni , wala MWANA, ila BABA.";

Ahahahahaahahaahaha suala la nabii kutokujua jambo sio tatizo , nikawaida sana kwasababu hata hayo aliofundisha tu amuwezi kuyamaliza .
-MFANO NO 2
1 SAMUEL 15:10-11
10"; Ndipo neno la Bwana likamjia SAMWEL nakusema
11"; NAJUTA kwa sababu nimemtawaza Sauli awe mfalme ; maana amerudi nyuma, asifuate , wala HAKUFANYA nilivyomwamuru , SAMWEL akasikitika akamlilia Bwana usiku kucha ";

Ahahahahaahahaahaha Mungu akujua kama Sauli anaweza Kukataa kusikiliza neno lake sasa kabaki anajuta , sasa wewe umeona wapi Mungu anajuta?
SUMMARY
1.Mohammed kutokujua jambo sio tatizo kwasababu ni mtu tu, Mungu asipotaka kumfunulia hakuna sababu ya kujua, hata Yesu hakufunuliwa siku ya kiama kwahiyo hana ajualo kuhusu tarehe hiyo itakuwa lini
2.tatizo linakuja Mungu wako anapojuta kwa kumuapisha Sauli kuwa mfalme , kwasababu hakujua Sauli kuwa atakataa neno lake, ndio Nakuuliza sasa Mungu toka lini akajuta ?
 
Ujathibitisha wapi Yesu amesema yeye ni Mungu? kwahiyo hayo madai yako ni maneno yako.
Nakukumbusha Yesu kasema mjifunze kwake;
MATAYO 11:29
";Jitieni nira yangu , MJIFUNZE KWANGU; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
VILEVILE Yesu akakuonya mwanafunzi hampiti mwalimu wake

MATAYO 10:24
";Mwanafunzi hampiti mwalimu wake, wala mtumwa hampiti bwana wake";

kwanza UJIFUNZE kwa Yesu, PILI mwanafunzi hampiti mwalimu wake
SWALI; wapi Yesu kasema yeye ni Mungu ili tuone hapo ulipojifunza, ili usimzidi mwalimu wako Yesu? Ahahahahhaah ahahaahahhahah ahahhaahhaahahahah
 
YESU NI MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KAMILI [emoji123] [emoji106] Wasio Tahiriwa hawawezi kujua [emoji15] [emoji12]
 
YESU NI MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KAMILI [emoji123] [emoji106] Wasio Tahiriwa hawawezi kujua [emoji15] [emoji12]
Ahahahahaahahaahaha ahahahaah mimi sijakataa wala sijakubali .
SWALI; Wap Yesu kakufundisha yeye ni Mungu ? Ahahahahhaah mbona nimetumia kiswahili fasaha kabisaaaaaaa
 
Sitoagi chakula cha watoto kuwapa kelbu [emoji15] [emoji12]
 

1. Neno la Mungu ni zaidi ya kile kilichoandikwa ndani ya Bibilia.
"Kuna na mambo mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa." (John 21:25)

2. Kuna mapokeo. Nayo huheshimika sawasawa na Neno la Mungu.


3. Andiko la Paulo, ni pana zaidi. Hivyo Sio lazima liwe la moja kwa moja. Uki paraphrase maandiko haya mawili hapa chini aliyosema Bwana Yesu yana maana sawa na Kile anachomaanisha Paulo.

A: "Yesu akamwambia, Ukitaka kuwa mkamilifu, enenda ukauze ulivyo navyo, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha njoo unifuate." (Matthew 19:21)

Hapa juu ukitoa kwa masikini unabarikiwa zaidi.

B: "Lakini kwenu ninyi sivyo; bali aliye mkubwa kwenu na awe kama aliye mdogo; na mwenye kuongoza kama yule atumikaye." (Luke 22:25-27)
Ukitumika zaidi kuliko kutumikiwa unapata thawabu zaidi katika ufalme wa Mungu.

Kutoa ama kujitoa ina maana sawa. Kwani huhesabika kama unayepoteza kwa mwili lakini unakua unaongeza katika roho.
 
Swali langu ni rahisi tu wapi Yesu aliwai kujiita au kusema Yeye ni Mungu? ebu jibu ulichoulizwa ahahahhahaahaaa usilete bange ahahaahahhahah
Sehemu Nyingi sana. Ni wewe tu hujui.

1. "Ikiwa aliwaita MIUNGU wale waliojiliwa na neno la Mungu; (na maandiko hayawezi kutanguka);
JE! YEYE AMBAYE BABA ALIMTAKASA, akamtuma ulimwenguni, ninyi mnamwambia, Unakufuru; kwa sababu nalisema, Mimi ni Mwana wa Mungu?"(John 10:35-36)


2. Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, MIMI NIKO."(John 8:58)


3. Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.

"Yesu akamwambia, MIMI NIMEKUWAPO PAMOJA NANYI SIKU HIZI ZOTE, WEWE USINIJUE Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?" (John 14:9)


4. Luke 23:42-43
Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika UFALME WAKO .
Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi UTAKUWA PAMOJA NAMI PEPONI.



AAAARGH YAKO MENGI SANA..!!.
 

Unabwabwaja sana.. Hata hueleweki.
 
Kumbe ni swali lingine...
Mapokeo mzee baba...mapokeooo...
Aje arifu hujui kua kuna mapokeo?.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…