Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
umeandika..."FATA WANAFUNZI WA YESU ndio waliishi nae na kula nae , huyo aliedai katokewa na Yesu ataongea nini kama sio mapokeo ahahahhahaahaaa ahahhaahhaahahahah"


Mtu yeyote mwenye sceptisms kama wewe. angefuata kama alivyofanya Thomaso.
Ni kweli kabisa linapokuja suala lenye utata lazima uwafaate wale wanafunzi wa Yesu , lakini hili halina utata Yesu alifundisha kwa uwazi kabisaaaaaaa
YOHANA 17:3
"; Na uzima wa milele ndio huu , wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli,na Yesu kristo ULIEMTUMA";

kafundisha kwa uwazi kuwa yeye ni MTUMWA wa Mungu

YOHANA 20:17
";Yesu akamwambia , usinishike ; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba , lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu";

Ahahahahaahahaahaha hili jambo halina utata kauli Yesu ilishatoka kutolea ufafanuzi kuwa
Baba wa Yesu = ndio Baba wenu
Mungu wa Yesu=.ndio Mungu wenu

Hivyo ukija ukidai uungu wa Yesu lazima uje na kauli Yesu ili tujifunze kingine kutoka kwa Yesu ahaahhhhhahaha Tomaso hawezi futa kauli ya Yesu ahahahaha
 
Mkuu lala utafakari mpaka kesho tena. Ha haaa
Ahahahahaahahaahaha biblia imeandikwa kiswahili fasaha kabisa ahahaahaaahahh
Mfano kama hapa
YOHANA 8:40
";lakini sasa mnatafuta kuniua mimi mimi,MTU ambaye nimewaambia iliyo kweli ,niliyoisikia kwa MUNGU ,Ibrahim hakufanya hivyo ";

Ahahahahaahahaahaha hapo kunaitaji tafakari gani ahahhahahahah Ahahahhahahahaahjhhahaja
 

.

John 14:10
Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake.



John 14:11.
Mnisadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe.


John 14:20
Siku ile ninyi mtatambua ya kuwa mimi ni ndani ya Baba yangu, nanyi ndani yangu, nami ndani yenu.


(John 14:6-7,10,20.)
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; MTU HAJI KWA BABA, ILA KWA NJIA YA MIMI...

Kama mngalinijua MIMI , mngalimjua na Baba; tangu sasa MNAMJUA, TENA MMEMWONA!.



John 17:11.
Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba mtakatifu, KWA JINA LAKO ULILONIPA ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.



(Philippians 2:9-11🙂
Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia JINA LILE lipitalo kila jina;;
ili kwa KWA JINA LA YESU kila goti lipigwe, la vitu vya MBINGUNI, na vya DUNIANI, na vya chini ya nchi; na kila ULIMi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba. Kuangaza kama Mianga Ulimwenguni



John 10:30
Mimi na Baba tu UMOJA.
 
Good nyt..
 
Umoja wao kwa maana anafundisha kile ambacho baba anataka na alichomfunulia ahahhahahahah Baba ni mkuu kuliko Yesu , kwa sababu Baba ndio Mungu
YOHANA 14:28
"; Mlisikia ya kwamba mimi naliwaambia ,Naenda zangu , tena naja kwenu, kama mngalinipenda , mngalifurahi kwa sababu naenda kwa Baba , kwa maana Baba ni MKUU kuliko mimi";

Ahahahahaahahaahaha nilishakwambia Mtumwa hawezi kuwa sawa na Boss , hizo tafsiri zako kajifunze upya Ahahhahahaahaaahah
 
Good nyt..
Ahahahahaahahaahaha
MARKO 1o:18
Yesu akamwambia , kwa nini kuniita mwema? hakuna aliye mwema ila mmoja , naye ni Mungu;"

Ahahahahaahahaahaha ulale unono Ahahahhahahahaahjhhahaja ahahahhahaahaaa
 


hizo simulizi zako kawaambie kondoo wako vipofu kumbe Paulo alikuwa akisomeshwa Injili na shetani ??
 

Alimsaidia alikuambia Askofu wako??

look at what Peter said:

1 Peter 3

1. Wives, in the same way be submissive to your husbands so that, if any of them do not believe the word, they may be won over without words by the behavior of their wives,

2. when they see the purity and reverence of your lives.

3. Your beauty should not come from outward adornment, such as braided hair and the wearing of gold jewelry and fine clothes.

4. Instead, it should be that of your inner self, the unfading beauty of a gentle and quiet spirit, which is of great worth in God's sight.

5. For this is the way the holy women of the past who put their hope in God used to make themselves beautiful. They were submissive to their own husbands,

6. like Sarah, who obeyed Abraham and called him her master. You are her daughters if you do what is right and do not give way to fear.

This passage of Peter directly contradicts Paul's.

While Peter is asking women to be positive with their disbelieving husbands so that their husbands MIGHT be persuaded to embrace Christianity through their wives positive actions " they may be won over without words.....when they see the purity and reverence of your lives.", Paul said something totally different:

1 Corinthians 7:10-15:

10 To the married I give this command (not I, but the Lord): A wife must not separate from her husband.

11 But if she does, she must remain unmarried or else be reconciled to her husband. And a husband must not divorce his wife.

12 To the rest I say this (I, not the Lord): If any brother has a wife who is not a believer and she is willing to live with him, he must not divorce her.

13 And if a woman has a husband who is not a believer and he is willing to live with her, she must not divorce him.

14 For the unbelieving husband has been sanctified through his wife, and the unbelieving wife has been sanctified through her believing husband.Otherwise your children would be unclean, but as it is, they are holy.

15 But if the unbeliever leaves, let him do so. A believing man or woman is not bound in such circumstances; God has called us to live in peace.

Quick Note: Notice how the NIV Bible translators put (I, not the Lord) in parenthesis.

They are suggesting that Paul in verses 12 through 15 was speaking only his own personal words and wasn't inspired by GOD Almighty, even thought HE NEVER DECLARED IT IN THESE VERSES.

This is only their interpretation and addition.

In any how, even if they were right, and Paul wasn't speaking GOD Almighty's Words, then this still would contradict Paul's own words in 2 Timothy 3:16 "All Scripture is God-breathed and is useful for teaching, rebuking, correcting and training in righteousness,"

Obviously, not all the Bible is God-breathed because Paul in 1 Corinthians 7:12-15 would've contradicted that, as he also clearly contradicted it in 1 Corinthians 7:25-35when he said that he is not always inspired by GOD Almighty, because both sets of verses are now PERMANENTLY PRESERVED in the Bible, which obviously doesn't make all of the Bible "God-breathed".

Maybe 1 Corinthians 7:25-35 is what gave the NIV Bible translators the liberty to consider 1 Corinthians 7:12-15 as Paul's own words (even though he never said so) and not GOD's.
 
Passage ya kiswahili. Unaandika kiingereza ili nini mbavvv.? Tafsiri gazeti lako huko...


Naona una play u-Lawyer ili kujenga contradictions.

Paulo na Peter maoni yao hayana contradictions yoyote. Hizo ni complement verses.


Sisi tunaamini Mungu hujifunua taratibu kwa watu kadiri muda unavyokwenda. We are learning each day of our lives.

Kwahiyo Unapoongozwa na Roho Mungu. Unaongozwa kwa wakati wako, ni nini useme mahali hapa na nini useme mahali pale.

Unafundishwa na Mungu wenyewe. Mambo ya "permanently preserve" hayahusiani kwa lolote unalotaka kulalama hapa.

Hadi leo shuhuda za Wakristo zipo. Wanaoteswa na Wanaouwawa kwa kuliamini jina la Yesu wapo. Hapo uarabuni ni mfano tosha. Watakatifu wapo duniani. Japokua hawajaandikwa kwenye vitabu. Ndivyo Mungu anavyofanya Kazi. Na wao wangeweza kuandikwa kwenye vitabu. Ili watu wasome.

Nabii Yohane Alielezwa ni vitu gani akayaambie yale makanisa 7 ya Asia.
(Revelation 1:11)
"ikisema, Haya uyaonayo uyaandike katika chuo, ukayapeleke kwa hayo makanisa saba: Efeso, na Smirna, na Pergamo, na Thiatira, na Sardi, na Filadelfia, na Laodikia."

Kila kanisa lilipelekewa mafunuo yake...

Hivyo basi, mambo ya preserved, Yanawahusu nyinyi zaidi kwa maana mbuzi alikula Kurani. Ambayo Ndio muongozo pekee mlio nao tangu Mohammad. Hamna kwengine pa kutumainia.

Na Kwakua muongozo wenu ni ule uliopotea kwenye vita ya badr ukachomwa moto makaratasi, walikariri wakauwawa vitani, Na kurasa kuchanika na matatizo kadha wa kadhaa. Ni Lazima mpotee maboya jumla. Nani wa kuwasaidia?. Hayupo.


Kwa ubongo wako wa ki Lawyer, Natumaini Ali na Aisha hawakutofautiana mpaka leo. Wako pamoja.
 
hizo simulizi zako kawaambie kondoo wako vipofu kumbe Paulo alikuwa akisomeshwa Injili na shetani ??
Unamkumbuka mtoto wa abd allah ALIVYO kabwa na shetani kule pango la hilla hadi akamwaga kojo [emoji38] [emoji38] hwishi kumdhalilisha baba kasimu [emoji350] [emoji344] [emoji15]
 
Passage ya kiswahili. Unaandika kiingereza ili nini mbavvv.? Tafsiri gazeti lako huko...

Ongeza na hii, Endelea kuongozwa na Maaskofu visoda,

Msikilize Paulo huyo anasema nini

Galatians 2


11When Peter came to Antioch, I opposed him to his face, because he was clearly in the wrong.

12Before certain men came from James, he used to eat with the Gentiles. But when they arrived, he began to draw back and separate himself from the Gentiles because he was afraid of those who belonged to the circumcision group. ( why did people such as the Apostle James still believe that the law regarding food should still be applied? If Jesus came to replace the law, then why are they still following the law?)

13The other Jews joined him in his hypocrisy, so that by their hypocrisy even Barnabas was led astray. (so, Peter, James and Barnabas are wrong?)


14When I saw that they were not acting in line with the truth of the gospel, I said to Peter in front of them all, "You are a Jew, yet you live like a Gentile and not like a Jew. How is it, then, that you force Gentiles to follow Jewish customs?

15"We who are Jews by birth and not 'Gentile sinners'

16know that a man is not justified by observing the law, but by faith in Jesus Christ. So we, too, have put our faith in Christ Jesus that we may be justified by faith in Christ and not by observing the law, because by observing the law no one will be justified. ( why are they arguing over following the law or not? Why are they not in agreement of doctrine?)

17"If, while we seek to be justified in Christ, it becomes evident that we ourselves are sinners, does that mean that Christ promotes sin? Absolutely not!

18If I rebuild what I destroyed, I prove that I am a lawbreaker.

19For through the law I died to the law so that I might live for God.

20I have been crucified with Christ and I no longer live, but Christ lives in me. The life I live in the body, I live by faith in the Son of God, who loved me and gave himself for me.

21I do not set aside the grace of God, for if righteousness could be gained through the law, Christ died for nothing!"

Paul condemns all Jewish Christians including Peter and Barnabas.

We only have Paul’s side of the story but Peter’s recollection of this story is not given to us in the New Testament.

Peter truly would have known Jesus better than Paul.

There is dispute whether 1 Peter is a letter written by Peter and almost all scholars, ancient and modern agree that 2 Peter is not a letter written by Peter.
 

Mpuuzi wewe unarudia maswali nimeshaelezza huko juu. Mara nyingi. Soma posti zangu. Uelewe. Sio unasoma kama pwagu.
Peter ndiye aliyemuelekeza Paulo kuhusu Yesu na maagizo yake. Lakini Peter alikua anakula na gentiles kama kawaida. Lakini ilitokea wakristo wa kiyahudi walimtembelea siku moja. Peter (Petro) Akajitenga na gentiles. Ndipo Paulo akamkemea.
Ukizingatia maono ya kutokujitenga na gentiles yalimfikia Peter(Petro), ambapo ndoto hiyo alishushiwa nyama ya nguruwe akaambiwa aile.

Simple and clear.
 


Unabisha hivi unatafuta kitu gani ?? Umeandika mwenyewe au haya si maneno yako? Nakunukuu


Gospel sio package of something. Gospel maana yake ni habari njema za ufalme wa Mungu. Zilianza kama simulizi.
Mtume Paulo aliishi na Mtume Petro na ndiye aliyemsaidia kumfahamu Kristo, walizungumza naye, Mtume Paulo alijifunza kwake. Pia James. Pia magombo ya Agano la kale yalikua bado Intact.


Hapa Peter kamsaidia nini Paulo ??

Galatians 2


11When Peter came to Antioch, I opposed him to his face, because he was clearly in the wrong.

12Before certain men came from James, he used to eat with the Gentiles. But when they arrived, he began to draw back and separate himself from the Gentiles because he was afraid of those who belonged to the circumcision group. ( why did people such as the Apostle James still believe that the law regarding food should still be applied? If Jesus came to replace the law, then why are they still following the law?)

13The other Jews joined him in his hypocrisy, so that by their hypocrisy even Barnabas was led astray. (so, Peter, James and Barnabas are wrong?)


14When I saw that they were not acting in line with the truth of the gospel, I said to Peter in front of them all, "You are a Jew, yet you live like a Gentile and not like a Jew. How is it, then, that you force Gentiles to follow Jewish customs?

15"We who are Jews by birth and not 'Gentile sinners'

16know that a man is not justified by observing the law, but by faith in Jesus Christ. So we, too, have put our faith in Christ Jesus that we may be justified by faith in Christ and not by observing the law, because by observing the law no one will be justified. ( why are they arguing over following the law or not? Why are they not in agreement of doctrine?)

17"If, while we seek to be justified in Christ, it becomes evident that we ourselves are sinners, does that mean that Christ promotes sin? Absolutely not!

18If I rebuild what I destroyed, I prove that I am a lawbreaker.

19For through the law I died to the law so that I might live for God.

20I have been crucified with Christ and I no longer live, but Christ lives in me. The life I live in the body, I live by faith in the Son of God, who loved me and gave himself for me.

21I do not set aside the grace of God, for if righteousness could be gained through the law, Christ died for nothing!"

Paul condemns all Jewish Christians including Peter and Barnabas.

We only have Paul’s side of the story but Peter’s recollection of this story is not given to us in the New Testament.

Peter truly would have known Jesus better than Paul.

There is dispute whether 1 Peter is a letter written by Peter and almost all scholars, ancient and modern agree that 2 Peter is not a letter written by Peter.
 

Haya bisha

Acts 31

31After they prayed, the place where they were meeting was shaken. And they were all filled with the Holy Spirit and spoke the word of God boldly.

If Peter was filled with the Holy Spirit then why is Paul calling Peter a hypocrite for eating with the Gentiles and then when people came from James he got up.

James is Jesus’ half brother, he lived and stayed with Jesus. Why did he still think that people have to eat kosher meat? We don’t have any account of Peter’s story regarding this incident.

Barnabas is also called a hypocrite in verse 13. Look how in verses 15 thought 17 Paul is arguing with them about the law. That means the disciples wanted to follow the law and suggested following it. Otherwise Paul wouldn’t have mentioned it. How could he say those things to Peter and look what Jesus said about Peter.

Matthew 16:18

8And I tell you that you are Peter, and on this rock I will build my church, and the gates of Hades will not overcome it.

Paul said in Romans that all food is clean.

Romans 14:20

20Do not destroy the work of God for the sake of food. All food is clean, but it is wrong for a man to eat anything that causes someone else to stumble.

In the Book of Acts the Apostles wrote a letter to the gentiles to abstain from certain foods and that not all foods were declared clean

Acts 15:29

29You are to abstain from food sacrificed to idols, from blood, from the meat of strangled animals and from sexual immorality. You will do well to avoid these things. Farewell.

Galatians 3:1-3

1You foolish Galatians! Who has bewitched you? Before your very eyes Jesus Christ was clearly portrayed as crucified.

2I would like to learn just one thing from you: Did you receive the Spirit by observing the law, or by believing what you heard?

3Are you so foolish?

Obviously we have people that are disagreeing with him. If Jesus taught that the law is over clearly, then people would not be arguing over this.

2 Corinthians 11:4-5

4For if someone comes to you and preaches a Jesus other than the Jesus we preached, or if you receive a different spirit from the one you received, or a different gospel from the one you accepted, you put up with it easily enough.

5But I do not think I am in the least inferior to those "super-apostles."

This is all doctrine and again he is criticizing the disciples.

2 Corinthians 11: 22-24

What anyone else dares to boast about—I am speaking as a fool—I also dare to boast about.

22Are they Hebrews? So am I. Are they Israelites? So am I. Are they Abraham's descendants? So am I.

23Are they servants of Christ? (I am out of my mind to talk like this.) I am more. I have worked much harder, been in prison more frequently, been flogged more severely, and been exposed to death again and again.

24Five times I received from the Jews the forty lashes minus one.

Again he is comparing himself to the disciples. If this man were truly doing all this work for God, he would not be complaining about his pain and torturing and suffering.

If he is truly sincere he would not have mentioned those things.

Prophets and messengers never complained and boasted about their sufferings.
 
Unamkumbuka mtoto wa abd allah ALIVYO kabwa na shetani kule pango la hilla hadi akamwaga kojo [emoji38] [emoji38] hwishi kumdhalilisha baba kasimu [emoji350] [emoji344] [emoji15]



HOW DOES PAUL DESCRIBE SATAN?


"And no marvel; for Satan himself is transformed into AN ANGEL OF LIGHT" 2 Corinthians." 11:14

Note: This is PRECISELY what Paul saw on the road to Damascus

WHAT DOES PAUL DESCRIBE SEEING ON THE ROAD TO DAMASCUS?

Version 1:

"[Saul] was approaching Damascus, suddenly A LIGHT FROM HEAVEN FLASHED around him. " Acts 9:3

Version 2:

"While I was…approaching Damascus… A GREAT LIGHT FROM HEAVEN suddenly SHONE about me." Acts 22:6

Version 3:

"I was traveling to Damascus…A LIGHT FROM HEAVEN, brighter than the sun, SHINING around me and my companions." Acts 26:12

In every one of Paul's 3 contradictory versions, ONE thing remains constant - he saw A SHINING LIGHT FROM HEAVEN - describing PRECISELY how Christ describes Satan (Luke 10:18), how the Prophet Isaiah describes Satan (Isaiah 14:12) and how Paul himself describes Satan (2 Corinthians 11:14)
 


WE NI MBISHI SANA.
SOMA maandiko haya MWENYEWE KWA LUGHA SANIFU YA KISWAHILI;-

Acts 11:7-9
Nikasikia na sauti ikiniambia, Ondoka, PETER(PETRO), ukachinje ule. Nikasema, Hasha, Bwana, kwa maana kitu kilicho kichafu au kilicho najisi hakijaingia kabisa kinywani mwangu. Sauti ikanijibu mara ya pili kutoka mbinguni, Alivyovitakasa Mungu, usivinene wewe najisi.


Acts 11:17-18
Basi ikiwa Mwenyezi Mungu amewapa wao karama ile ile aliyotupa sisi tuliomwamini Bwana Yesu Kristo, MIMI NI NANI NIWEZE KUMPINGA MUNGU?.
Waliposikia maneno haya wakanyamaza, wakamtukuza Mungu, wakisema, Basi, MUNGU AMEWAJAALIA HATA MATAIFA NAO toba liletalo uzima.

Usipoelewa, Kamtafute Padre yeyote akufafanulie


Case closed.
 
1.Unaandika mambo mengi ukirudia rudia.
Nilishakuambua Petro alikua akila na wa mataifa(Gentiles) hapi kabla. Ila alijitenga walipomjia wakristo wayahudi. Ndipo Paulo akakemewa kwa kuonekana mnafiki.


2. Kwa Ukristo, Imani inakua kila siku. Huwezi kua Mkristo leo ukasema unaishi ukamilifu. It takes time. Na Kila mtu anajaaliwa kiwango chake cha ukuaji wa Imani siku hata siku. Labda ni uislamu pekee ukisilimu leo unakua unajua kila kitu kuhusu Mohammad na allah. hii kitu haipo kwenye Ukristo. Never.


3.Baada ya kuona kuhusu Petro, sasa tumuangalie na Yesu mwenyewe...


(John 4:9-10,40)
"Basi yule mwanamke Msamaria akamwambia, Imekuwaje wewe Myahudi kutaka maji kwangu, nami ni mwanamke Msamaria? (Maana WAYAHUDI HAWACHANGAMANI NA WASAMARIA.)
Yesu akajibu, akamwambia, Kama ungaliijua karama ya Mungu, naye ni nani akuambiaye, Nipe maji ninywe, UNGELIMWOMBA YEYE, NAYE ANGALIKUPA MAJI YALIO HAI."

.... 40.Basi wale Wasamaria walipomwendea, walimsihi akae kwao; naye akakaa huko siku mbili.

HAPA TUNAONA YESU AKITAKA WASAMARIA WAMWOMBE YEYE


(Mark 16:15)
Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.

Wayahudi walikua wakiwaita wasamaria
Mbwa.



4. Tuwafahamu Ndugu wa Yesu. Ni akina nani? Na kutangulia.
..


(Matthew 12:48-50)
48.But he answered and said unto him that told him, Who is my mother? and who are my brethren?!/ 50. Kwa maana ye yote atakayeyafanya mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni, huyu ndiye ndugu yangu, na umbu langu, na mama yangu.

(Matthew 19:30).
Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.



***Case closed as usual***
 

Nataka uniambia kati ya Bi Aisha na Ali rafiki ya Mohamamad, ni nani aliishi maisha sahihi ya Mohammad na anaelewa zaidi Quran?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…