Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
WEwe Hizi C&P zako zitakutokea Puani siku moja.
Muslims mna practice Trinity kila siku halafu mnajidai ooh trinity explained funny.
Siyo nyie mnatakiwa kusalimia mara TATU- mudi alifanya sana hizo.
Kwanini mnapotawadha lazima iwe mara TATU? Uso unaosha x3, mkono x3, unasukutua x3. Mpaka adhana x3
WHY?
Mlishawahi muuliza Mudi kuhusu hilo? au ndio ile style yenu ya AAAAMMEEEEEEN!!
 



Kila mti hutambulika kwa matunda yake.” (Luka 6:44).

Sawa na usemi huu wakati tunampima Bwana Yesu Kristo tunamkuta kwamba ameanguka vibaya sana.

Ingawa sisi tumempenda na tumemuheshimu. Lakini kumpenda kwetu hakumsaidii. Maana Biblia inamuangusha vibaya sana.

Kwa mfano:

(1) “Amini nawaambieni, pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapo muona mwana wa Adamu akija katika ufalme wake.” (Mathayo 16:28). Watu ambao walikuwa pamoja naYesu na vizazi vyao zaidi ya hamsini wamekwisha kufa tayari. Hakuna mmoja wao ambaye ameweza kushuhudia, mwana wa Adamu (Yesu Kristo) akija katika ufalme wake.

Kwahiyo utabiri wa Yesu haujatimia bali imeonekana uwongo.

2. “Yesu akamwambia, amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufuwake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israel.” (Mathayo 19:28).

Katika aya hii Bwana Yesu Kristo aliwabashiria wanafunzi wake kumi na wawili kuhusu mwisho mwema wa kiimani na kuwa viongozi wa makabila ya Waisraeli.

Lakini mwanafunzi wake mmoja bwana Yuda hakumuasi tu bali alimuuza kwa shilingi thelathini. Kwa hivi alitoka katika imani na ufalme wa kiroho.

Biblia inasema kwamba:

“Wakati huo mmoja wa wale thenashara, jina leke Yuda Iskariote, aliwaendea wakuu wa makuhani, akisema, ni nini mtakacho nipa, nami nitamsaliti kwenu? Wakampimia vipande thelethini vya fedha.” (Mathayo 26:14 -15).

3. Bwana Yesu Kristo alisema kwamba:

“(Ewe Petro) nami nitakupa funguo za ufalme wa mbinguni, na lolote utakalo lifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni,
na lolote utalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.” (Mathayo 16:19).

Katika aya hii Bwana Yesu alim'bashiria Petro kwamba ataendelea vizuri kiimani kwa hali ya juu, lakini hali inaonesha kwamba utabiri huu wa Bwana Yesu ulivurugika vibaya mno. Hata inaonekana aibu kutaja utabiri ule.

Biblia inasema kwamba: “Na Petro alikuwa ameketi nje behewani; kijakazi mmoja akamwendea, akasema, wewe nawe
ulikuwapo pamoja na Yesu wa Galilaya. Akakana mbele ya wote, akisema, sijui usemalo. Naye alipotoka nje hata ukumbini, mwanamke mwingine alimuona, akawaambia watu walio kuwako huko, huyu alikuwa pamoja na Yesu Mnazareti. Akakana tena kwa kiapo, simjui mtu huyu. Punde kidogo, wale walio hudhuria wakamwendea, wakamwambia Petro, hakika wewe nawe u mmoja wao. Kwa sababu hata usemi wako wakutambulisha. Ndipo akaanza kulaani na kuapa na kusema, simjui mtu huyu.” (Mathayo 26:69-74).

4. “Yesu akamwambia mwizi mmoja aliyekuwa pamoja naye msalabani: “Amin, nakuambia leo hii utakuwa pamoja nami peponi.” (Luka 23:43).

Aya hii inaonesha kwamba siku ya kusema habari hii Bwana Yesu Kristo na huyu mwizi wangeenda peponi kwa Baba lakini
inaonekana kwamba utabiri huu haukutimia, maana baada ya siku ya tatu Yesu bado alikuwa duniani.

Biblia inasema kwamba Yesu alimwambia, usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba
yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.” (Yohana 20:17).
 

1. (Mark 16:15)
Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.


2. Paulo hajapinga kutahiriwa.

John 7:22
Musa aliwapa tohara; lakini si kwamba yatoka kwa Musa, BALI KWA MABABA; nanyi siku ya sabato humtahiri mtu.

Yesu anamaanisha Tohara ni swala la Ukoo au jamii.

Na Paulo anataka watafute zaidi tohara ya Moyo.(Roman 2:28) (Collossians 2:11)

3. Kwahiyo Yesu alikuja kuitimiliza sio?

4. It depends

5. Yeah

6.Acha ubishi wa kitoto. Unajua umekua sasa?
 


MAJIBU YAKO HAYA

 
Jibu Hadith hiyo Bible huiwezi wewe!!
 
MAJIBU YAKO HAYA

Leo unamkubali huyu kuwa msemaji wako? Shame on you!!
Si huyu ndio aliwaingiza chaka kuwa kuwa Songs of Songs ni fornication tupu msiiamni Bible! Sijui alikuja kula mahragwe ya wapi akabdili gear angani kuwa same Songs of Songs Qathem aka Mudy aka Abdul al-harith mentioned by name in the Bible MAHAMADEEEM!!
ama kweli "He left as a DONKEY never came as a HORSE!!"
 
Zamu hii Hakika umepata pigo baya sana.
Baada ya kuzidiwa na hoja makini Sasa umebadili mbinu umeamua kulundika maswali mengi ya kipuuzi na majibu yake ili ujipe ushindi mwenyewe.

Pumzika mzee Baba.. Sio lazima uposti muda wote. Ha ha ha
 
Hahaaa.
Binamu yake Mudi huyu hakujua aliyekuwa akiongea hapa ni nani wakati anatoa ufafanuzi wa aya hii? Kweli mtu aliyeahidiwa PEPO(paradiso) na Mtume wake?

Tafsir Tanwîr al-Miqbâs min Tafsîr Ibn ‘Abbâs
Verse 4.171
Allah then revealed about the Nestorian Christians of Najran who claimed that Jesus was the son of Allah and that Jesus and the Lord are partners, saying: (O People of the Scripture! Do not exaggerate) do not be extreme (in your religion) for this is not the right course (nor utter aught concerning Allah save the Truth. The Messiah, Jesus son of Mary, was only a messenger of Allah, and His word which He conveyed unto Mary) and through His word he became a created being, (and a spirit from Him) and through His command, Jesus became a son without a father. (So believe in Allah and His messengers) all the messengers including Jesus, (and say not “Three”) a son, father and wife. (Cease!) from making such a claim and repent ((it is) better for you!) than such a claim. (Allah is only One God) without a son or partner. (Far is it removed from His Transcendent Majesty that he should have a son. His is all that is in the heavens and all that is in the earth) are His servants. (And Allah is sufficient as Defender) as Lord of all created beings and He is witness of what He says about Jesus.

How come one person awe na vyote hivyo halafu bado mseme siyo trinity?
Aliyeishusha aya hiyo alikuwa Muhammad au Allah?

Pambana na hii kwanza. Ulete majibu siyo C&P za mbururla wenzako!!
 
Kama alikuwa Binaadamu tu?
Kwanini unatuambia yeye ndiye alipewa jukumu la kueleza/fafanulia umma wote wapate kuelewa?
Kwanini akitajwa ndivyo sivyo moto unalipuka mnataka kuua mtu?
Ndio alikuwa binadamu , na ndio alipewa jukumu la kufafanua mambo na ameifafanua Quran kisawasawa , kama kuna jambo ajalifafanua ujue hilo Mungu akutaka alifafanue ndio maana mtume mara zote kama ajapewa ufahamu juu ya jambo hilo na anasema " Allah Anajua zaidi";
Na kwa taarifa yako hivyo alivyovifafanua vimetosha kabisaaaaaaa kukamilisha Dini

QURAN 5:3
"; Today I have perfected your system of Belief and bestowed my Favours upon you in full, and have chosen submission (al-Islam) as the creed for you";

kwahiyo hivyo ambavyo avijafafanuliwa ujuzi utabaki kwa Mungu, lakini Dini imekamilika ni wewe tu kuacha ulevi ,uzinzi , unafiki n.k
 
Kwahiyo tumtarajie ajaye kutuelezea juu ya aya hizo? au mudi ndio wa mwisho(Seal of the Prophets!)?
Hakuna ajae Dini ilishakamilika hivyo alivyovifafanua mtume vimetosha kukamilisha dini, na ndio ujue kuwa Mungu ndio mjuzi wa kila jambo ,akitaka umfunulia mtu ufahamu , na asipotaka umuacha asijue lile jambo, na bahati nzuri Mungu ana lawama
QURAN 5:3
";Today I have perfected your system of Belief and bestowed my Favours upon you in full, and have chosen submission ( al-.Islam) as the creed for you";

Ahahahahaahahaahaha hivyo hatuitaji nabii mwengine , dini ilikamilika kabisa , hicho ambacho kimekosa maelezo ndio ujue utofauti wa Mungu na mtu , na mfano hai nilikupa baada ya Yesu kutamba kuhusu kiyama wadau wakamuuliza itakuwa lini? alijibu yeye ajui bali anajua Baba , hii nikukuonyesha kuwa kuna vitu Mungu asemi ili kuonyesha kuwa Mungu ni mjuzi wa kila kitu.
 
Ahahahahaahahaahaha katazo alijakuja kwa ajili ya kipofu, bali limekuja kwa ajili ya mwanaume ambaye si ndugu yako ,hivyo awe kipofu au awe mzima wala sio tatizo, muhimu ni kuwa mwanaume yule sheria inamruhusu kukuoa pindi ukiachika au kabla ujaolewa .sasa unakuja hapa unaonyesha ujuzi wakati ni mweupe , kwa hoja hizi nyepesi inaonekana sasa umeishiwa lakini siwezi kukuacha hivi hivi lazima nikupe zawadi makhususi

MATAYO 21:18-19
18"; Hata asubui alipokuwa akienda mjini aliona njaa
19";Akaona mtini mmoja, kando ya njia akauendea, asione kitu juu yake ila majani tu; akauambia yasipatikane matunda kwako tangu leo hata milele . Mtini ukanyauka mara";

Ahahahahaahahaahaha mkuu unakubali kuwa njaa haina baunsa , Yesu kashindwa kabisa kujua msimu wa matunda , Ahahahahaahahaahaha sasa kosa ni la mti kutokuwa na matunda au kosa ni la Yesu kutokujua msimu wa matunda? kumbuka mti hauna akili ila Yesu ndio mwenye akili ahahhaahhaahahahah Ahahhahahaahaaahah
 
Tafuta utetezi mwingine Quran utaumia , kama ungekuwa timamu neno ";WAS ONLY A MESSENGER"; linafunga mjadala wako .UTATU ni dhana ambayo katu haina mashiko, tena kwa taarifa yako wala hakuna haja ya KUPAMBANA majibu yako wazi

QURAN 5:73
";Disbelievers are they surely who say ," God is the third of the TRINITY ; " but there is no god other than God the one. And if they do not resist from SAYING what they say then indeed those among them who persist in disbelief will SUFFER painful PUNISHMENT";

Ahahahahaahahaahaha endeleeni na upuuzi wenu adhabu kali itamipata mkiendelea kuongea matapishi yenu sijui utatu ahahaahahahahahah
JESUS ni Nani sasa baada ya Mungu kuufyekelea mbali UTATU

QURAN 5:75
"; The christ , son of Marry , WAS BUT AN APOSTLE , and many apostles had( come and) gone before him; and his mother was a woman of truth . THEY BOTH ATE (same) food (as men) .Behold , how We show men clear signs, and behold , how they wander astray";

Ahahahahaahahaahaha huwezi kupata utetezi Mungu anamiangalia tu namna anavyowapa ishara za wazi, lakini bado vichwa ngumu mnakengeuka ahahahaahhaa
 
Methali 26:11
Kama vile mbwa arudiavyo matapiko yake; Kadhalika mpumbavu afanya upumbavu tena.
dogo kwema [emoji350] [emoji350] unaingia huku bila kupiga kata.3[emoji344] ona unavyo mwaga harufu humu [emoji12] kaoge ndio uje...kafir mkubwa wee [emoji53]
 
Ahahahahaahahaahaha haya majibu kama umevuta shisha ahahahahaahahahha
Namkumbusha uisilamu huyo kafir ametoka kulana mvutu kifisi fisi afu anakuja na janaba humu [emoji15] [emoji53] au wee husikii harfu [emoji350] [emoji344]
 

ACHA UNAFIKI

Utabiri ulitimia. Baada ya Miaka 40. Hekalu lilivunjwa rasmi na Roman Empire. . Miongoni mwa wale waliosimama pale waliweza kuishi na kushuhudia tukio hili muhimu, la kubomoa Imani ya Uyahudi katika Jerusalem na Roman Empire Mwaka 70 A.D. Kuacha ufalme wa Kristo ukitamalaki ulimwenguni kote. Watu hawatazamii tena kwenda Jerusalem.

Kuhusiana na Siku ya Mwisho, Yesu aliendelea kwa kusema kwamba;
Matthew 24:36

"BUT of that day and hour knoweth no man, no, not the angels of heaven, but my Father only."


Zingatia neno BUT

(Matthew 23:38-39)
Angalieni, nyumba yenu mmeachiwa hali ya ukiwa. Kwa maana nawaambia, Hamtaniona kamwe tangu sasa, hata mtakaposema, Amebarikiwa ajaye kwa JINA LA BWANA.

Ahadi za kristo ni Amini na Kweli. Kwa wanaomfuata. Kumfuata sio kwa mwili yaani kuongozana naye bali kwa Roho.


Huu sio ubashiri ni Ahadi.
Paulo alianguka na kusimama kama Kristo alivyomuahidi kua atamuombea.Yuda alianguka Jumla.


John 10:30
Mimi na Baba tu UMOJA.

Matthew 11:27
"..wala hakuna amjuaye Mwana, ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba, ila Mwana, na ye yote ambaye MWANA APENDA KUMFUNULIA."

Maandiko haya mawili yanatosha kutuonyesha kua Unabii wa Kristo ulitimia. Kwakua Yesu ni Mungu.
 
Ahahahahaahahaahaha haya majibu kama umevuta shisha ahahahahaahahahha
akhy l kareem kafiri ktk maandiko yake kahalishiwa kuua kwa KUWAPASUA PASUA watoto wadogo wasio na hatia Mimi na wewe tutaweza kumuelekeza kitu akafahamu?

Andiko la kigalatia linasema.
Hosea13-16

Samaria atachukua hatia yake; kwa maana amemwasi Mungu wake; wataanguka kwa upanga; watoto wao wachanga watavunjwa vipande vipande, na wanawake wao wenye mimba watatumbuliwa.

Hawa viumbe wana laana ya asili.
Bora mnyama wa porini.

ahsanta.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…