Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
SCIENCE YA JUA KUTOZUNGUKA ALIKUAMBIA HUYO UNAYEMWABUDU KISODA MWENZAKO CESARE BORGIA ??
Pumzika na huyu IDIOT mwenzio mkajadiliane kisha uje tena.

Guys if you listen carefully on this claimed to be Sheikh, you will find out how ignorant Muslims they are!, instead they are all just C&P and keeps on same trend of jumping like monkeys from one topic to another, just to make interruption from exposing their Cult!
They do this when they had said a stupid thing which will make Muhammad busted and look stupid.

 
Mwanzo wakati nakujibu sikutegemea kama lengo lako wala si kuelimishana na kupata mtazamo tofauti kumbe una majibu yako kichwani hivyo hapa ni kukamilisha ratiba tu.kwanza hujanibu tena reply yangu ya maelezo ya pili baada ya kugundua kua hukunielewa,then hapa unainsult religion ya wenzako kwasababu ya mtu mmoja

Lakini pia nahisi labda hupo hapa kwa ajili ya kujifunza kwasababu kama ni hivo ungereply kama umeelewa ama vip
After all sio vizur kuongea hivi kisa tu wewe sio muislanu,vipi kuhusu wabudha,wahindu,wasioamini dini?je hao wapo sawa kwako kwakua tu sio waislamu?wokovu kwako ni nini haswa?kutokua muislamu?

Je nikiwa sio muislamu ndio nimefaulu?kwenye macho yako na akili yako wewe ni uislamu tu ndio umepotea?

Naamini unaweza kunielekeza mengi kuhusu dini yako kwa kutumia kitabu chako na si kutoa maelezo yasiyo sahihi kwa kitabu cha mtu mwingine.

Kwa mfano saiv nikaamini quran haipo sahihi,does that make the bible perfect?yani makosa ya quran yataifanya biblia kua sawa?

Au kama nikiona biblia imekosea basi automatic quran itakua ipo sawa?

Anyways rudi kwenye reply yangu ya mwisho uoneshe makosa yapo wapi kuhusu topic ya UZI
 
Ahahahahaahahaahaha sasa umeamia kwa boss ahahahaah wala hakuna haja ya kuangaika Yesu mwenyewe amemsema Boss wake ya nini kuangaika Ahahahhahahahaahjhhahaja
YOHANA 17:3
";Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli,na Yesu kristo ULIEMTUMA ";

Ahahahahaahahaahaha mwenye macho na aone Ahahahahaahahaahaha huyu mtumwa tu ahahahahhqhhahah
 
Ahahahahaahahaahaha huyu kweli hamnazo kwahiyo unakubali kuwa Mungu wako alipigwa makofi? Ahahahahhaah ahahaahahhahah imani hizi mtihani kweli kweli
Nimesha kujibu kwamba [emoji117] YESU ktk Hali yake ya UUNGU KAMILI NINI makofi ile kumsogelea huwezi [emoji106]
 
Ahahahahaahahaahaha C&P ahahahaah bila shaka na hii ya NYOKA KULA VUMBI TUMEICOPY
MWANZO 3:14
";Bwana Mungu akamwambia nyoka, kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda , na MAVUMBI UTAKULA siku zote za maisha yako";

Ahahahahaahahaahaha hakika tumecopy kweli kweli Ahahahaahhahhahhhaah nyoka toka lini akala vumbi ? Ahahahahhaah
 
Nimesha kujibu kwamba [emoji117] YESU ktk Hali yake ya UUNGU KAMILI NINI makofi ile kumsogelea huwezi [emoji106]
Ahahahahaahahaahaha hivi kumbe wewe ni kichaa ahahahhahaha
MATAYO 10:24
";Mwanafunzi hampiti mwalimu wake, wala mtumwa hampiti bwana wake";

wewe sikiliza swali hili ili wewe usimzidi mwalimu wako Yesu wapi kakwambia yeye ni Mungu au wapi kakwambia Mumuabudu? Ahahahahhaah ahahaahahhahah
 
Ahahahahaahahaahaha hiyo lugha ya picha wewe hajawai kuwa na mguu wala hajawai kuwa na kinyeo(kama Yesu) ahahahaha ahahahahaahah. Mungu wetu hawezi fanana na viumbe wake yuko tofauti
QURAN 112:4
"; Wala hakuna anayefanana naye hata mmoja";

Ahahahahaahahaahaha hiyo lugha ya picha Mungu wetu haitaji miguu kutembea wala mikono kukamata
QURAN 42:11
"; Hapana kitu kama mfano wake. Naye ni Mwenye kusikia Mwenye kuona.

Ahahahahaahahaahaha umeona mambo hayo sasa ahahhahhaahhaahhaaha
 
Ahahahahaahahaahaha huyu hapa Yesu akijinadi hadharani kabisaaaaaaa
YOHANA 14:18
" Mlisikia ya kwamba mimi naliwaambia , Naenda zangu, tena naja kwenu. kama mngalinipenda , mngalifurahi kwa sababu Naenda kwa Baba, kwa maana Baba ni MKUU KULIKO MIMI ";

Ahahahahaahahaahaha endelea kumbishia Yesu ahahahaha ahahahahaahah
 
akili za kisilamu bana [emoji15] eti imekupata [emoji23] [emoji23] [emoji23] umekaa Kabisa taiyatul sigino lenye maga linasugua mvutu..unaanza kuchapa nimekupata [emoji12] View attachment 931675
Ahahahahaahahaahaha kama ulivyomtwanga huyu mpumbavu Ahahahhahahahaahjhhahaja
WAKORINTHO wa kwanza 1:25
";Kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu , na UDHAIFU wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu";

Ahahahahaahahaahaha ahahahahahahhaaha
 
wee dhamira njema imejifiàa[emoji15] YAANI hushtuki allah kuingia MOTONI [emoji351] [emoji23] kuna aya alitoa guu lake huko MOTONI [emoji351] [emoji344] [emoji344]
Umeshamaliza kucheka au kicheko kimeisha Ahahahhahahahaahjhhahaja
 
Umeshaambiwa hafanani na chochote , hapo uelewi nini wewe? hivyo atakavyo kuja hakuna kiumbe chochote duniani na mbinguni chenye kufafana hata kidogo na Muumba wa mbingu na nchi , unapata tabu nini wakati ni jambo dogo hili kwa muumba wetu aahahhhhhhhhhhhhhh
 
Sasa Article yako inahusikaje kwenye KUZAMA JUA?

Unakurupuka tu hata hujui unapost nin? Au nawe ni mmoja wa wale "whom no man or jinn yatmithhunna (has opened their hymens"?
Itakuwa miongoni mwa huyu alieandika Mungu mpumbavu
WAKORINTHO wa kwanza 1:25
",Kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu";

Ahahahahaahahaahaha hapo vipi Ahahahhahahahaahjhhahaja
 
Umeshamaliza kucheka au kicheko kimeisha Ahahahhahahahaahjhhahaja

Ndio nini [emoji344] [emoji344] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38]




Mnaona MUNGU KUJIDHIHIRISHA KWETU WANADAMU KTK UMBILE BORA LA KIBINADAMU NI UPUMBAVU [emoji106] masudi qulu haqi [emoji53] jee wewe masudi kihivyo huoni ni upumbavu [emoji350] [emoji351]
 
Kisoda???

Umesoma wapi science??.Nilikujibu wakati Fulani kwa kukupa clip ya Professor Moshe Sharon. Naamini uliielewa vema. Ila sasa nashangaa na ufahamu wako kuwa Jua halitembei na kua Qur'an na hadithi havithibitishi kuwa JUA halitembei. Sipendi nikudogeshe katika Elimu yako lakini labda nikuptishe Darasani kidogo. Najua umekaa kiushabiki Zaidi lakini kwa FAIDA ya wengine, huwenda wakapata ufahamu

QUR'AN SURAT AL-AMBIYAA (21:33):https://quran.com/21/33?translations=20
And it is He who created the night and the day and the sun and the moon; all [heavenly bodies] in an orbit are swimming.

SURAT YAASIN (36:38)
And the sun runs [on course] toward its stopping point. That is the determination of the Exalted in Might, the Knowing.

SURAT YAASIN (36:41)
It is not allowable for the sun to reach the moon, nor does the night overtake the day, but each, in an orbit, is swimming.

KUONYESHA PIA DUNIA NI DUARA NA INAZUNGUKA:

SURAT ZUMAR (39:5)

He created the heavens and earth in truth. He wraps the night over the day and wraps the day over the night and has subjected the sun and the moon, each running [its course] for a specified term. Unquestionably, He is the Exalted in Might, the Perpetual Forgiver.

wrapping up = rolling around.
Rolling around something has to be spherical and not flat. that's why people on Earth experiences different rising and setting off the SUN.

Nimetuma hizo just kurekebisha UFAHAMU WAKO. Kuwa QUR'AN imezungumzia kuhusu KUZUNGUKA KWA JUA NA DUNIA. Kuhusu kipi kinazunguka kingine itategemea na speed na attraction ya hicho kitu towards kingine (centripetal forces + cosmic forces). Mfano, Revolution of the SUN towards Galactic Centre (Milky way Galaxy).

KWA HIYO JUA LINASAFIRI:

kuhusu hoja kuwa JUA husafiri mpaka chini ya Arshi ya Allah na kuomba idhini ni sahihi pia: Ifahamike kuwa AMRI zote za kila kitu mpaka kupepesa kwa jicho hufanyika kwa AMRI yake. Jua kama kiumbe cha Allah ambalo kupatikana kwake ni kutokana na BIG Bang (huge explosion) kama ilivyo katika SURAT AMBIYAA (21: 30) na kufa kwake ni kutoka na BIG CRUNCH kama ilivyo katika SURAT AMBIYAA (21:104) lazima liombe IDHINI. Leo science imethibitisha kuwa nyota zote ni zao la gas aina ya Hydrogen na Helium. Kukosekana kwa kimoja wapo lazima nyota ife (Dying stars) Sasa ili gas mojawapo isiishe lazima iombe idhini kwa Mola wake!
Hoja ni kuwa ; Ikiwa nyota zote zilipatikana kwa cause ya Big Bang na zote zilikuwa na ration sawa ya Gas, kwa nini sasa hivi kunashuhudiwa kufa kwa nyota???. LAZIMA JUA KAMA NYOTA IOMBE IDHINI KWA MOLA WAKE ILI LIENDELEE KUTOA MWANGA. FULLSTOP!

Sasa wakati gani JUA linaomba idhini?? Yeye ndiye anayejua.

SURAT AR-RAHMAN (55:5) And the stars and trees prostrate.
How do they prostrate while they are in constant motions????. Hatukupewa Elimu Ila kidogo tu.

Lakini naweza kukusaidia kidogo to kwa MWENDO WA JUA KWA MKABALA NA DUNIA hasa kwa Dunia ku-oscillate (kubembea) bayina ya Kusini ya mwali na Kaskazini ya mbali ambayo kisayansi wanasema (Tropic ya Cancer na Tropic ya Kapricon), ambayo Pia ni matokeo ya mwendo wa Jua na Dunia Allah anasema (55:15)

[He is] Lord of the two sunrises and Lord of the two sunsets.
Yaani TWO EASTS OF CANCER/CAPRICON and TWO WESTS OF CANCER/CAPRICON. this is after passing the center a.k.a IKWETA.

Hoja ya Jua kuzama katika MATOPE: Hii ni hoja nyepesi mno! INATEGEMEA NA LOCATION YA MTU ALIPO. Ukiwa Zanzibar au Pemba Jua huzama BAHARINI.
Na ukiwa maeneo ya Manyoni katika Bonde la NYAHUA na wakati wa Masika kubwa utaona JUA linazama kwenye MATOPE meusi. INATEGEMEA NA LOCATION ULIPO. FULLSTOP!

INABAKI HOJA MOJA TU:
KWA NINI AYA AU HADITHI HIZO BADO ZIPO KWENYE VITABU????.

JIBU:
Pombe iliharamishwa kwanza kwa kuonyeshwa madhara na manufaa. Kisha pakasemwa madhara ni makubwa kuliko manufaa. Kisha Waislamu wakaharamishwa kuingia katika SWALA hali ya kuwa wamelewa. Mwisho ikaja katazo la jumla kuwa ni HARAMU na ni KATIKA MATENDO YA SHETANI.

NA AYA ZOTE ZIMO NDANI YA QUR'ANI TUKUFU. NA HIYO NDIYO HEKIMA YA ALLAH.

KWA UTHIBITISHO HUO: QUR'AN IMEITANGULIA SCIENCE MARA 1000000000000000000...……...
 
Sawa Kabisa kasema YESU Akiwa ktk Hali yake ya KIBINADAMU KAMILI [emoji106]
 

Sasa utakua Umepata picha Kua ulimwengu ulikua haumjui Mungu. Na Yesu ndiye alikuja KUMFUNUA.

Lakini pia usisahau pointi hii..

(Matthew 11:27)
Akasema, Nimekabidhiwa VYOTE na baba yangu; wala hakuna amjuaye Mwana, ila Baba; WALA HAKUNA AMJUAYE BABA, ILA MWANA , na ye yote ambaye MWANA apenda kumfunulia.
 
addendum:

The sun and the moon [move] by precise calculation, (55:5)

And the stars and trees prostrate. (55:6)
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…