Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.

wewe mwenyewe unakubali allah anaona, anasikiaa, amezamisha guu lake jehannam...cha kushangaza unaleta aya allah HANA Mfano [emoji15] [emoji23] [emoji23] akiliza za kisilamu silamu kuna wakati hazina akili eeh [emoji15] [emoji47] maadam wewe unaona, unasikia...hatuja sema wewe ni allah ilaha ni Mfano tu wa allah [emoji4]
 
Endelea na kufuru kwamba [emoji117] ATAKALO MUNGU HAWEZI NA ANA MSHAURI [emoji15] [emoji47]
 
Sasa Article yako inahusikaje kwenye KUZAMA JUA?

Unakurupuka tu hata hujui unapost nin? Au nawe ni mmoja wa wale "whom no man or jinn yatmithhunna (has opened their hymens"?

Visoda mambo yenu ni ya visoda, nimejibu kutoka post ipi? Au Kojo la punda limekuzidi??
 
Hujajibu kitu zaidi ya blah blah tu!!

Haya ndiyo maswali ya kujibu hizo zote ni porojo.

1. Hiyo Chemchemi ya matope mazito na meusi iko hapa duniani?Na kama haipo hapa duniani iko angani? Na kama iko angani iko sehemu gani?


2. Huyo Dhul-Qarnaini alikuwa ni kiumbe wa namna gani huyo aliyepewa uwezo wa kuona Jua linavyotumbukia katika matope?


3. Pamoja na kwamba wakati wakati wa Muhammad, labda Sayansi ya kwamba Jua halizunguki, isipokuwa dunia ndio hulizunguka Jua, ilikuwa haijafika katika maeneo ya ardhi ya Arabia, bado hata vizazi vya zamani sana havikupata kuwa na uelewa kama huo wa Muhammad kuwa Jua lilikuwa linatua matope meusi! Je,ilikuwaje katika Vizazi vyote hivyo hapo katikati(ikiwemo na Yesu mwenyewe ambaye Muhammad anamuelezea kama aliyekuwa na uwezo wa kufinyanga wanasesere na kuwapulizia uhai na wakawa ndege kamili), kabla ya Muhammad, akakosekana mtu mwenye uelewa wa kuliona Jua likizama katika matope meusi tofauti? Hivi wewe kwa sayansi hii ya Muhamma juu ya Jua kuchwea katika matope meusi haikupelekei kujiuliza yafuatayo:

· Je, Muhammad kusema mambo ambayo hakuwa nayo uthibitisho ilikuwa ni kutafuta tu kuonekana kwamba Mungu amempa ufunuo wa kipekee juu ya ulimwengu?


· Je, vizazi ya Kiarabu na dunia kwa ujumla baada ya kugundua kwa tafiti za kisayansi, ambazo zimethibitisha kuwa Jua huzungukwa na sayari mbalimbali, ikiwemo Sayari yetu ya dunia, vimuoneje, Muhammad na Uislamu kwa ujumla?


· Je,wanadamu wa vizazi vyote vinavyofahamu kuwa Jua halijawahi kuzama katika matope ama meusi,bluu au meupe, visimuamini Muhammad katika mambo mengine aliyoyasema au vimuchukulie kama mtu aliyekuwa anajaribu kupiga ramli ya jinsi mambo yalivyo?

Lakini swali la mwisho kabisa ambalo nitaomba ujiulize ni hili:Je,Ni kwa nini hadi leo baada ya kugundulika kuwa Jua halizami na wala halizunguki,ni kwa nini hadi sasa aya hiyo iko imesalia katika Kurani?Je,ni nani anasema uongo kati ya Mungu na wanasayansi juu ya suala la Jua?


Unakuja na porojo tu. na la nyongeza ni hili.
Mudi na Quran yake anasema Linazama kwenye tope. Mudi huyo huyo huyo anasema lina kwenda chini ya kiti cha Allah kusujudu na kuomba ruhusa lichomoze tena.

Sasa tuamini lipi hapo?
 

Hilo gazette lako kamsomee Askofu wako huku ukiongozwa na Holy goat wako

God does not have hands and eyes in human form. Allah only has “hands” and “eyes” in the sense of communicating to His prophets, which is rational
 
Itakuwa miongoni mwa huyu alieandika Mungu mpumbavu
WAKORINTHO wa kwanza 1:25
",Kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu";

Ahahahahaahahaahaha hapo vipi Ahahahhahahahaahjhhahaja
Hapo Poa!
 
Sawa Kabisa kasema YESU Akiwa ktk Hali yake ya KIBINADAMU KAMILI [emoji106]
Naomba nikuulize hizo hali za kibinaadamu na kimungu zinajulikanaje?
Naomba unifahamishe
 
Hilo gazette lako kamsomee Askofu wako huku ukiongozwa na Holy goat wako

God does not have hands and eyes in human form. Allah only has “hands” and “eyes” in the sense of communicating to His prophets, which is rational
Umeukalia unakimbilia Gazeti. Mimi sileti C&P kama wewe.
Muulize Bwanako Mudi kwanini aliandika upupu wote huo na kukufanya ushindwe kuusoma?
Allah is a Man with hands and limbs with 5 fingers on his hands and all are right hands. Hana mkono wa shoto Allah.
ndio maana mkila hamtakiwi kutumia wa kushoto kwasababu ni shaitan/devil/Jinn. ukila kwa mkono wa kushoto shetan anakula nawe. hahahahaaaaa
Kichekesho kutawadha unatumia shoto ili shaitwani achezee vutu!! na huoni shida?
 
Hilo gazette lako kamsomee Askofu wako huku ukiongozwa na Holy goat wako

God does not have hands and eyes in human form. Allah only has “hands” and “eyes” in the sense of communicating to His prophets, which is rational
jipongeze na hiyo kwa jioni ya leo.

 
Hata mimi na wewe hatufanani kwahiyo mimi Mungu?
 
Hiyo clip ya tamthilia mpelekee huyo aliyekugeuza kisoda

 
Kumbe mfuga nyoka nilisahau!

 

((Nimekuelewa sana.
Swali linabaki pale pale. Science haisemi hivyo kuhusu jua(Science inatuambia JUA halitembei, isipokwa Dunia ndiyo inajimuvuzisha. Muhammad's Quran na Hadith zake wanasema kitu tofauti(Tena kwenye hadith ndio balaa, mara matopeni mara chini ya kiti cha Allah kuomba idhini ya kuchomoza tena.
Ikumbukwe kwenye Quran na hadith msimuliaji/mleta taarifa ni mmoja - Muhammad.
Tuwekane sawa hapa. Hayo mazingia ya maji maji umeyatoa wapi? Tunapoziangalia Hadith hatuoni wapi Muslim Scholars wamesema/taja hizo nyepenyepe, Allah mwenyewe kwenye Quran hasemi hivyo. na pia anachosema ni kuwa alikuta/alipata kuona jua likizama, na siyo alifikiri/alihisi/aliwaza. Unatoa wapi? Au siku hizi neno la FIND tafsiri yake ni HISI/FIKIRI?
Check hizi mambo hapa kisha tuambie.
Nani anasema kweli kuhusu JUA, Science au Allah(Incl. Muhammad's Hadith)
Ikiwa mmoja wao hasemi kweli, Kwanini upotoshwaji huu haufutwi tubaki na ukweli maisha yasonge mbele?))

Bahati mbaya huwezi kuniingiza kwenye siasa za ushabiki: Hoja zako hizo hapo juu.

JUA LINAZUNGUKA KWA DALILI NILIZOZILETA.

MASWALI YOTE UNAYOULIZA TAYARI MAJIBU UNAYO.

LETA HOJA NYINGINE,

LABDA NIKUULIZE SWALI DOGO TU: IKIWA SCIENCE YAKO INASEMA JUA HALITEMBEI, QUR'AN INASEMA JUA LINATEMBEA. NANI KAMTANGULIA MWENGINE???
 
YOHANA 17:3
";Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli,na Yesu kristo ULIEMTUMA ";

Ahahahahaahahaahaha mwenye macho na aone Ahahahahaahahaahaha huyu mtumwa tu ahahahahhqhhahah

Sasa nawe utafanyaje ikiwa haumjui Yesu Kristo?
Unaambiwa ni Mtume tu kama wengine nawe unaamini hivyohivyo. Be serious bro..!!

Matthew 11:27
All things are delivered unto me of my Father: and no man knoweth the Son, but the Father; neither knoweth any man the Father, save the Son, and he to whomsoever the Son will reveal him.
 

Rejelea hapo Nyuma M/Mungu alisema Mwanadamu yu Mavumbi.
 
PATA FAIDA TENA:

Umesoma wapi science??.Nilikujibu wakati Fulani kwa kukupa clip ya Professor Moshe Sharon. Naamini uliielewa vema. Ila sasa nashangaa na ufahamu wako kuwa Jua halitembei na kua Qur'an na hadithi havithibitishi kuwa JUA halitembei. Sipendi nikudogeshe katika Elimu yako lakini labda nikuptishe Darasani kidogo. Najua umekaa kiushabiki Zaidi lakini kwa FAIDA ya wengine, huwenda wakapata ufahamu

QUR'AN SURAT AL-AMBIYAA (21:33):Surah Al-Anbya [21:33]
And it is He who created the night and the day and the sun and the moon; all [heavenly bodies] in an orbit are swimming.

SURAT YAASIN (36:38)
And the sun runs [on course] toward its stopping point. That is the determination of the Exalted in Might, the Knowing.

SURAT YAASIN (36:41)
It is not allowable for the sun to reach the moon, nor does the night overtake the day, but each, in an orbit, is swimming.

KUONYESHA PIA DUNIA NI DUARA NA INAZUNGUKA:

SURAT ZUMAR (39:5)

He created the heavens and earth in truth. He wraps the night over the day and wraps the day over the night and has subjected the sun and the moon, each running [its course] for a specified term. Unquestionably, He is the Exalted in Might, the Perpetual Forgiver.

wrapping up = rolling around.
Rolling around something has to be spherical and not flat. that's why people on Earth experiences different rising and setting off the SUN.

Nimetuma hizo just kurekebisha UFAHAMU WAKO. Kuwa QUR'AN imezungumzia kuhusu KUZUNGUKA KWA JUA NA DUNIA. Kuhusu kipi kinazunguka kingine itategemea na speed na attraction ya hicho kitu towards kingine (centripetal forces + cosmic forces). Mfano, Revolution of the SUN towards Galactic Centre (Milky way Galaxy).

KWA HIYO JUA LINASAFIRI:

kuhusu hoja kuwa JUA husafiri mpaka chini ya Arshi ya Allah na kuomba idhini ni sahihi pia: Ifahamike kuwa AMRI zote za kila kitu mpaka kupepesa kwa jicho hufanyika kwa AMRI yake. Jua kama kiumbe cha Allah ambalo kupatikana kwake ni kutokana na BIG Bang (huge explosion) kama ilivyo katika SURAT AMBIYAA (21: 30) na kufa kwake ni kutoka na BIG CRUNCH kama ilivyo katika SURAT AMBIYAA (21:104) lazima liombe IDHINI. Leo science imethibitisha kuwa nyota zote ni zao la gas aina ya Hydrogen na Helium. Kukosekana kwa kimoja wapo lazima nyota ife (Dying stars) Sasa ili gas mojawapo isiishe lazima iombe idhini kwa Mola wake!
Hoja ni kuwa ; Ikiwa nyota zote zilipatikana kwa cause ya Big Bang na zote zilikuwa na ration sawa ya Gas, kwa nini sasa hivi kunashuhudiwa kufa kwa nyota???. LAZIMA JUA KAMA NYOTA IOMBE IDHINI KWA MOLA WAKE ILI LIENDELEE KUTOA MWANGA. FULLSTOP!

Sasa wakati gani JUA linaomba idhini?? Yeye ndiye anayejua.

SURAT AR-RAHMAN (55:5) And the stars and trees prostrate.
How do they prostrate while they are in constant motions????. Hatukupewa Elimu Ila kidogo tu.

Lakini naweza kukusaidia kidogo to kwa MWENDO WA JUA KWA MKABALA NA DUNIA hasa kwa Dunia ku-oscillate (kubembea) bayina ya Kusini ya mwali na Kaskazini ya mbali ambayo kisayansi wanasema (Tropic ya Cancer na Tropic ya Kapricon), ambayo Pia ni matokeo ya mwendo wa Jua na Dunia Allah anasema (55:15)

[He is] Lord of the two sunrises and Lord of the two sunsets.
Yaani TWO EASTS OF CANCER/CAPRICON and TWO WESTS OF CANCER/CAPRICON. this is after passing the center a.k.a IKWETA.

Hoja ya Jua kuzama katika MATOPE: Hii ni hoja nyepesi mno! INATEGEMEA NA LOCATION YA MTU ALIPO. Ukiwa Zanzibar au Pemba Jua huzama BAHARINI.
Na ukiwa maeneo ya Manyoni katika Bonde la NYAHUA na wakati wa Masika kubwa utaona JUA linazama kwenye MATOPE meusi. INATEGEMEA NA LOCATION ULIPO. FULLSTOP!

INABAKI HOJA MOJA TU:
KWA NINI AYA AU HADITHI HIZO BADO ZIPO KWENYE VITABU????.

JIBU:
Pombe iliharamishwa kwanza kwa kuonyeshwa madhara na manufaa. Kisha pakasemwa madhara ni makubwa kuliko manufaa. Kisha Waislamu wakaharamishwa kuingia katika SWALA hali ya kuwa wamelewa. Mwisho ikaja katazo la jumla kuwa ni HARAMU na ni KATIKA MATENDO YA SHETANI.

NA AYA ZOTE ZIMO NDANI YA QUR'ANI TUKUFU. NA HIYO NDIYO HEKIMA YA ALLAH.

KWA UTHIBITISHO HUO: QUR'AN IMEITANGULIA SCIENCE MARA 1000000000000000000...……...
 
KWA

Kwa hiyo nilitarajia Kisoda ukiri kuwa uelewa wako kuwa JUA LIMESIMAMA NA DUNIA NDIYO INAYOJIMUVUZISHA ni UELEWA MBOVU WAKO MNO wako WEWE na WANASCIENCE unaowaamini.

JUA LINATEMBEA.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…