Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.


UMELIFAKAMIA KOOJOOO LA PUNDA ASUBUHI ??? ; HATA UNACHOKIANDIKA UNAKIJUA ???


Explicit Statement Implicit Statement

God is ONE Isaiah 43:10-11, Deuteronomy 4:39, Isaiah 45:18, Isaiah 44:6, Isaiah 45:6, Isaiah 45:22, Exodus 20:3, Exodus 34:14

God is TWO John 1:1, John 10:30, John.10:33 John 5:18 John 20:28, John.14:6, John 14:8-9

God is THREE 1 John 5:7 Matthew 28:19, I Corinthians 12:4-6, II Corinthians 13:14, Jude 1:20-21

God is MANY Genesis 1:26
 
Ya tisa ni wingi na second personel ya allah katila uandishi.

Katika hili pia ni kuamini kwamba Mungu au "Allah" anaweza naye kuanza jambo tena kwa kutamka "In the name of Allah"! Na kwamba Mungu kwa uweza Wa kila kitu alicho nacho hawezi kuwa na Mwana kisa eti hana mke Wa kuzaa naye mtoto.
 


Huyo unayemuabudu Shoga Cesare Borgia ndio lugha yake hiyo ,

Kila mti hutambulika kwa matunda yake (Luka 6:44) na vile vile mtu anatambulika kwa ulimi na lugha yake kwamba anazo tabia za aina gani?

Maana lugha ya mtu inaonesha masomo yake, tabia na khulka yake.

Tunampima Bwana Yesu Kristo sawa na maandiko ya Biblia.

Bila ya kupoteza muda , ningependa kuwaletea baadhi ya maneno na lugha ya Bwana Yesu aliyotumia katika uhai wake.

1. Wasioamini (wasio Waisraeli) wameitwa mbwa na nguruwe. (Mathayo 7:6).

2. Aliwaita watu wabaya: ”Enyi wazao wa nyoka” (Mathayo 12:34).

3. Mayahudi waliitwa: “Kizazi cha zinaa.” (Mathayo 12:40,, 16:4).

4. Mayahudi waliitwa “Wazinifu na wakosefu.” (Marko 8:38).

5. “Ole wenu waandishi na wafarisayo, wanafiki,” (Mathayo 23:16).

6. “Ole wenu viongozi vipofu.” (Mathayo 23:16).

7. “Enyi nyoka, wana wa majoka” (Mathayo 23:33).

8. “Watu wengine waliitwa mbwa.” (Mathayo 15:27).

9. Aliwaita manabii wenzake: “wote walionitangulia ni wevi na wanyang'anyi.” (Yohana 10:8).

10. Aliwaita wanafunzi wake: ”Enyi kizazi kisicho amini, kilichopotoka.” (Mathayo 17:17).

11. Akamwambia Petro “Nenda nyuma yangu Shetani.” (Mathayo 16:23).

12. Akamwambia mama yake: “Ewe mwanamke nina nini nawe? (Yohana 2:4).

13. Akasema mama yangu ni nani na ndugu zangu ni akina nani? (Mathayo 12:48).

14. Siku ya Kiyama atawaita wahubiri Wakristo: “Nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi mtendao maovu.” (Mathayo 7:23).
 



 
Pango ni mahali pake bui bui wala hakukosea kukaa pale, lakini kutangaza misiba sio kazi ya mbwa Ahahahahaahahaahaha mifano na aya uliotoa aviendani ni sawa na kuingia disco na panga na mikuki , utaonekana umepagawa.

Kwa mujibu WA hadith njoo uongo kolea angalia Hili pango [emoji117] huyo bui ilikuwa ni MAKAZI yake [emoji350] [emoji344]
 
Kwa mujibu WA hadith njoo uongo kolea angalia Hili pango [emoji117] View attachment 936383 huyo bui ilikuwa ni MAKAZI yake [emoji350] [emoji344]


Last House of Mary, Ephesus?



Mary has a house on a mountaintop near Ephesus.

Apparently, it was built by the apostle John. What a fisherman.



Mary's Tomb, Jerusalem?



Footings of the Church are datable to the 5th century though the franciscan priest Bagatti claimed to have found evidence for a 1st century cemetery. You bet he did.


Mary's other crypt?



Can a girl ever have enough final resting places? Crypt beneath the Abbey of the Dormition.


Virgin Queen

"Indeed, it was after the Second World War that the cult of the Virgin reached its apogee.

In 1950 Mary's bodily assumption into heaven became dogma; in 1945 Pius XII had proclaimed her Queen; while in 1964 – after the commencement of the Second Vatican Council – she became Mater Ecclesiae ...

These things tell us much about the role of woman in patriarchal culture."

– D. Hampson, After Christianity, p175/6.


"Our Lady of Guadeloupe"



What a Girl! Mary conveniently turned up in 1531 to help the murdering conquistadors.

"She appeared to Juan Diego when it was apparent that the Church was making very little headway with the natives of the New World."

– Roy A. Varghese (God Sent, p44)

A timely apparition – and a good measure of violent terrorism – secured the conversion of 8 million Aztecs.



Big Mama



Giant Mary towers over diminutive Christ – (17th century, Peru)


Hail Mary!

The "Angelical salutation" (the "Ave Maria" or prayer to Mary) first became widespread in the 12th century.





Nuns march behind Croatian Nazis (inspired by Mary?)


*Song of Hannah

"And Hannah prayed, and said, My heart rejoiceth in the Lord, mine horn is exalted in the Lord: my mouth is enlarged over mine enemies; because I rejoice in thy salvation. There is none holy as the Lord ...

The bows of the mighty men are broken, and they that stumbled are girded with strength ... they that were hungry ceased: so that the barren hath born seven; and she that hath many children is waxed feeble.

The Lord maketh poor, and maketh rich: he bringeth low, and lifteth up.
He raiseth up the poor out of the dust ...


The adversaries of the Lord shall be broken to pieces ."

(1 Samuel 2.1,10)
 
Asentéè yamasudi Leo umekubali mnyewe koloani ni maneno ya muasi shehetani [emoji122] [emoji122] [emoji106]
 
Shida ya Muslim Abduls ni moja tu. You are all ignorant Big time like your fake Prophet!.

Mistari yote hiyo uliyoandika KWELI IPO NDANI YA BIBILIA.
Swali Umesoma kisa chote kujua kwanini mstari umeandikwa hivyo? au ndio ukasuku tu kunakusumbua nawe uonekane umepost???
 
hahaa umekazania kupost huyo mburula mwenzako. hata Naik ni PHD lakini na ameshindwa kuielewa Quran anaishia C&P na mimate miingi inamtoka kama mvua akiongea!

tembea nayo hii.

 
Kwa mujibu WA hadith njoo uongo kolea angalia Hili pango [emoji117] View attachment 936383 huyo bui ilikuwa ni MAKAZI yake [emoji350] [emoji344]
Ahahahahaahahaahaha unatia huruma kweli kweli buibui pangoni ni nyumban, ila mbwa kutangaza misiba huo ni uwongo wa kweupee ahahahhha pole sana mwaka huu kazi unayo ahahahhaahahjaaja
 
Ukipigwa huku unakimbilia huku kijana, mimi sina tatizo na Yesu, mimi ninatatizo na wewe juu ya uelewa wako mbovu kushindwa kutofautisha kati ya MTUMWA na BIG BOSS hapa nitakula sahani moja na wewe , mpaka uache ushirikina wa kumpa kiumbe cheo cha Mungu
 
Katika hili pia ni kuamini kwamba Mungu au "Allah" anaweza naye kuanza jambo tena kwa kutamka "In the name of Allah"! Na kwamba Mungu kwa uweza Wa kila kitu alicho nacho hawezi kuwa na Mwana kisa eti hana mke Wa kuzaa naye mtoto.
" MWANA wa pekee wa Mungu"; hapa ndio uhuni ulipoanza
 
Ahahahahaahahaahaha ungekuwa timamu kweli asilimia mia katu usingekubali Mungu wako kapigwa MAKONDE , imani hii ni lazima kwanza ujitoe akili ahahhaahhaahahahah
 
hahaa umekazania kupost huyo mburula mwenzako. hata Naik ni PHD lakini na ameshindwa kuielewa Quran anaishia C&P na mimate miingi inamtoka kama mvua akiongea!

tembea nayo hii.

Ahahahahaahahaahaha wewe unashangaa mwenzako kupost wakati wewe ndio tabia yako ahahahhahahahhahaqaaa kila siku nakwambia pitia viclip leta hoja ujibiwe, hii ndio dawa yako ngumi kwa ngumi, clip kwa clip Ahahaahahaaaaha wacha jamaa akunyooshe maana uelewi ahahhahahahahahahahah
 
Wewe ni Anti Christ nakujua.
Huna point umeandika hapa. Sijajua umepinga kitu gani. Em tutafsirie wote tusikie. Maana naona unapingana hadi na Quran yako. Kikubwa nilichoona unanukuu Mathew kisha unasema sio Mathew kaandika. I cant help you.
Did I ever ask for help to a Nicompoop like you?

Before you go any further we want to know names of the authors of your Gospel.

Mathew who?
John who?
Peter who?
Mark who?

Umeshawahi kusikia binaadamu asie na Jina la MZAZI ?
Hata Yesu anaitwa JESUS SON OF MARY.
asie na Jina la mzazi lzm atakuwa mwanaharamu tu. mtoto wa zinaa.

Hawa watunzi wa BIBLIA wazazi wao ni kina nani?
 
Ahahahahaahahaahaha unatia huruma kweli kweli buibui pangoni ni nyumban, ila mbwa kutangaza misiba huo ni uwongo wa kweupee ahahahhha pole sana mwaka huu kazi unayo ahahahhaahahjaaja

Sikutegemea kwamba unaakili ndogo kihivyo [emoji350] [emoji344] [emoji344] kama unakumbuka nilikufikirisha kwamba UJUMBE NI MUHIMU USIMJADILI MLETA UJUMBE [emoji106] sababu ubongo wako imeliwa na kirusi qaraa ukamleta Mnyama mbwa ukapata Jibu kisla kisla kwamba sio kazi ya mbwa kutangaza misiba [emoji15] [emoji12]
 
Tafsr Quran au Bible kwa Kiswahili walikuwa wanasema kabsa Someni na Sherhe zake (Maelezo baada ya Tafsri).
Than Mkuu logic and reasoning inapatikana unapo amua kusoma kitu kwa undani I wish ungekaa ukasome Vitabu Vya dini zote Mbili au ziadaa.
Koz Nikikwambie hakuna Dini Inayolazimisha watu wake kuvunja amani will you agree with me?
Abrahamic religion zmetoka in same ways.
Tusome dini kwa kuelewa na sio kukarir ili nimkomoe mtu wa dini wa Flani.
Binadamu tunafundishana Ushetani na matokeo yake ni Kuongezeka kwa graduate wa Shetani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…