Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Hahahaha....ama kweli!!!

Hivi Mudy alikuwa anafikiriaga kwa kutumia nini?
 
Sasa wapi mimi nimeseam chakula kichafu?
Unawehuka wewe?
Mbona hamtaki kula tukichinja KUKU, MBUZI/NG'OMBE nk? zinachafukia wapi?
Devil and Stone KISSER, where is the logic there?

Umeongelea chakula, Vipi kuhusu kuoa??
Ahahahahaahahaahaha sio wewe QURAN 5:5 ulioitoa inasema vyakula vizuri , wewe nani? ahahahhaahhahaahahahhah ndio jibu lako hili hapa NGURUWE ni uchafu na chochote kitakachochinjwa bila jina la Mungu pia HATULII , sasa nyie mnachinja kwa Jina la nani(au yule aliepigwa MAKOFI mnavyosemaga ) hatulii huo ujinga

QURAN 6:145
";Sema ; Sijaona katika yale niliyo funuliwa mimi kitu kilicho haramishwa kwa mlaji kukila isipo kuwa kiwe ni nyamafu, au damu inayomwagika , au nyama nguruwe , kwani hiyo ni uchafu ; au kwa UPOTOFU kimechinjwa kwa jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu ";

hatulii vichafu wala mlivyochinja kwa majina ya jalalani ahahahhahaahaaa
 


huyu mungu wako aliyechukuliwa na shetani , kamsaidie kunyoa mavu.....



 
Ahahahahaahahaahaha sisi tunampiga mawe shetani,wewe tuambie Mungu wako anafaidika nini na UVUMBA? jibu swali umeyataka mwenyewe tena MPAKA MiKATE mnamtolea sasa mikate ya nini kwa Mungu ? hapa mwaka huu utapata akili tu kunguni wewe ahahaahahahahahahajajjajj
 
Tulia dawa ikuingia usilete hasira kama huko kwenye mzunguko wako wa kila mwezi ahahahhahaahaaa
YOHANA 17:3
";Na uzima wa milele ndio huu , wakujue wewe, Mungu wa PEKEE na wa kweli, na Yesu Kristo ULIEMTUMA";

Mzungumzaji hapo ni Yesu,kwanini asiseme ULIENITUMA na sio ULIEMTUMA , unajua kiswahili wewe Alietumwa ndiye mzungumzaji sasa anampelekea nani uhusika wakati yeye ndio muhusika Ahahahahaaaahqa bwege wewe ahahaahahahahahahajajjajj
 
Tumekujibu bila tabu Jiwe ni ishara tu, sasa umekosa pakushika unaweweseka ahahahahaahahahha
2 NYAKATI 13:11
"; Nao humtolea Bwana kila asubui, na kila jioni, sadaka za kuteketezwa na fukizo la manukato, mikate ya wonyesho pia huiweka kwa taratibu yake juu ya meza takatifu, na kinara cha dhahabu chenye taa zake , kuwaka kila jioni kwa maana sisi twayalinda malinzi ya Bwana , Mungu wetu, bali nyinyi mmemwacha";

Ahahahahaahahaahaha wewe utuambie UVUMBA na MIKATE vinafaida gani kwa Mungu kama sio ushirikina huu wa walawi ahhahhhahjajjajajajajaj ahahahahaahahahha
 
wewe sio muisilamu ni kafir matege tu [emoji12] ingekuwa muisilamu na sio kafir ungemuamini mungu wako na muhammad walioamini al Kitab[emoji117] View attachment 943763 tuna-chart na wewe as ubao wa kufundishia [emoji53] [emoji12]
Ahahahahaahahaahaha sisi mbona tunaamini kitabu ndio maana yeyote atakae sema Yesu ni Mungu , tunajua huyo ni kafiri wala sio mtu wa kitabu
QURAN 5:72
"; Hakika WAMEKUFURU waliosema Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu,

Ahahahahaahahaahaha hivyo kuna viwango vyake vya kutambua kuwa hiki ni kitabu na hiki ni nyaraka Ahahahhahahahaahjhhahaja
 
Yesu ni Wokovu wa ulimwengu woote [emoji117] View attachment 943639 aliye tumwa kwa warabu tu huyu hapa ili awaonye watu wa makka na vitongoji vyakd [emoji117] View attachment 943680 na warabu wenyee deen yao wanawaona kama mbwa [emoji117]
Mbona unaangaika wewe na wenzio msiokuwa waisrael kwa Yesu ni MBWA , mnaotaka kula makombo Ahaahhaaahhaajhaajaj poleni sana wala makombo Ahaahhaaahhaajhaajaj
 
safa na marwa ni majabali mawili yanayo fanyiwa ibadaView attachment 943580View attachment 943604 [emoji118] limefanana na nini masudi [emoji46] [emoji15]
Unatoa aya aviendani na ulichozungumza. Halafu kuonyesha akili yako ndogo unaleta mapicha, Ahahahahaaaahahhahhaaha mjomba hapa ni VITABU tu mapicha peleka kwenye matamasha hivi wewe huwa uelewi? Ahahahhaahhahaahahahhah wagalatia bwana Ahahahhahahahaahjhhahaja
 
kuandimisha kwani shetani hayupo tena [emoji351] [emoji346] basi mnaadhimisha ujinga shetani hapigwi kwa jiwe [emoji12]
Christmass ya mwaka huu utanionyesha Yesu akizaliwa ni mshike!! Ahahahha mpuuzi kabisa ata neno kuadhimisha ujui ahahahahhahahahaha wewe kweli juha ahahaahahahahahah
 
Leta mapicha mapya basi ahahahaahh haya tumeyachoka, NGONO ni maumbile yetu nyie amuoi ndio maana mapadre zinarudi nyuma ahahahhahaahaaa andaa Koo ukaimbe mpaka unye huko, ata kama hujui kuimba utaimba tu ahahahhahaahaaa
 
Unajua maana ya dharura(emergency) , watu wa afya tunafahamu mgonjwa wa dharura akai foleni , Ahahahahaaaahahhahhaaha hata hili ulijui tukufundishe ukisikia dharura maana yake "SPECIAL CASE" isio kawaida bwege wewe hata nyama za watu mlikula huko kwenye biblia kwa sababu ya njaa isiyo ya kawaida ahahhaahhaahahahah kumjibu kilaza rahaaaaaaaa sana
 
Kwani hapa anaetamka nani? na huyu Yesu alietumwa nani? Ahahahhaahhahaahahahhah
YOHANA 17:3
";Na uzima wa milele ndio huu , wakujue wewe , Mungu wa PEKEE na wa kweli, na Yesu kristo ULIEMTUMA";

kiswahili fasaha kwa akili yako ndogo ni ULIEMTUMA au ULIYENITUMA ? ahahahhaahhahaahahahhah bureee kabisa wewe , ukitaka kujua akili yako ndogo kesho utakuja sema Yesu Mungu wakati mwenyewe kasema katumwa ahahahhahaahaaa
 
Waliomiliki mikono ya kulia ndio wamekamilisha idadi ya waisrael kufikia makabili 12 , ukitoa hao yanabaki 8 na kwa taarifa yako wamepata urithi wao kwenye nchi ya ahadi ahahahhaahahjaaja kasome tena urudi hapa ahahaahahahahahahajajjajj
unaongeza idadi ya wazinzi[emoji12] halafu toka lini adui mkuu wa waisilamu waumini akawa kigezo chenu [emoji351] [emoji346] [emoji346] mzinzi mkubwa wee [emoji15] [emoji53]
 
unaongeza idadi ya wazinzi[emoji12] halafu toka lini adui mkuu wa waisilamu waumini akawa kigezo chenu [emoji351] [emoji346] [emoji346] mzinzi mkubwa wee [emoji15] [emoji53]
Nimekwambia uzinzi kauanza Yakobo katika WATOTO wake 12 wale 4 si wauzinzi lakini wamerithi nchi ya ahadi , kutokujua maandiko tunakupeleka huko huko kama ndezi ahahahhahaahaaa ahahhaahhaahahahah
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…