Hapa ndio inaonyesha akili yako ilivyo ndogo kabisaaaaaaa, hilo Jiwe litakuwa SHAHIDI siku ya kiama kwa dalili ya hadithi ya mtume , wewe unaleta maneno ya Omari ambayo mwisho wa siku alilibusu jiwe kuonyesha kuwa pamoja na mawazo yake lakini AMETII maelekezo ya mtume. Ahahahahaahahaahaha sasa hapo tatizo lako wapi , ndio maana ya UTII hata kama ukubaliani na kiongozi wako kama jambo lipo kisheria lazima utii , sasa wewe ulivyokuwa mwehu unashindwa kutofautisha msimamo wa mtume na kauli za maswahaba , kwa taarifa yako tu JIWE LiNAWEZA KUWA SHAHIDI ATA BIBLIA YAKO INAJUA
YOSHUA 24:27
";Yoshua akawaambia watu wote, Tazama JIWE hili litakuwa SHAHIDI juu yetu; kwa maana LIMESIKIA maneno yote ya Bwana aliyotuambia , basi litakuwa SHAHIDI juu yenu, msije mkamkana Mungu wenu";
Jiwe liwe shahidi au? Ahahahhaahhahaahahahhah mpuuzi wewe nenda kacheze unapochezaga Ahahahhahahahaahjhhahaja
Arugument ya Kitoto kweli.
Hadith yako inataka ulishike kwa unyenyekevu na kumaanisha na utiii!!
Why touching it with SINCERELY? is the STONE God??
Yoshua anawapa anagalizo wana Israel kuwa tumeweka AHADI/Makubaliano/COVENANT ya Kumtumikia MUNGU na mmekiri kwa vinywa vyenu.
Hakuna seheme hata moja anasema litakuwa shahidi kwaatakaye piga BUSU/KISS kwa kumaanisha/ UTII hili jiwe. na asipo fanya hivyo litashuhudia kuwa Salary slip hakuwahi nibusu kwa utii,upendo unyenyekevu hivyo achomwe moto!!
Kwa akili za kiabdul Muhammad ame copy na kupaste ibada za kipagani na na kuyashi akiyafanya mnaona ni sawa.
Sasa Sikiliza/ Soma hapa kisha tuambie ni wapi aliwaamuru kulibusu in Sincerely jiwe hilo.
Kwakuwa ninyi ni wavivu wa kusoma na uelewa wa kuunganisha mistari ni mdogo kuliko punje ya HARADANI, nakuazishia
The Covenant Renewed at Shechem
Joshua 24:19 - 28
19 Joshua said to the people, “You are not able to serve the Lord. He is a holy God; he is a jealous God. He will not forgive your rebellion and your sins. 20 If you forsake the Lord and serve foreign gods, he will turn and bring disaster on you and make an end of you, after he has been good to you.”
21 But the people said to Joshua, “No! We will serve the Lord.”
22 Then Joshua said, “You are witnesses against yourselves that you have chosen to serve the Lord.”
“Yes, we are witnesses,” they replied.
23 “Now then,” said Joshua, “throw away the foreign gods that are among you and yield your hearts to the Lord, the God of Israel.”
24 And the people said to Joshua, “We will serve the Lord our God and obey him.”
25 On that day Joshua made a covenant for the people, and there at Shechem he reaffirmed for them decrees and laws.
26 And Joshua recorded these things in the Book of the Law of God. Then he took a large stone and set it up there under the oak near the holy place of the Lord.
27
“See!” he said to all the people. “This stone will be a witness against us. It has heard all the words the Lord has said to us. It will be a witness against you if you are untrue to your God.” (
Kimstari chako hiki)
28 Then Joshua dismissed the people, each to their own inheritance.
Next time before you come with your SILLY comparison, read the whole CHAPTER first, and then show your concern on one sentence.