Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ahahahahaaaahahhahhaaha angalia huyu kwani Yohana alipokatwa kichwa Mungu alikuwa wapi? halafu badala ya kushangaa Mungu wako kupigwa kipigo cha Mbwa na watu aliowaumba , unashangaa ya sumu ya binadamu mohamadi ahahahhahahhahah bureeee kabisa wewe
 
Nataka kujua hoja yako ni nini kijana Swala au Musa kumshauri Mungu au vyote, funguka utolewe matongo tongo
Sitaki kujikita kwenye ushauri. Maana huko sitapata majibu. Nataka majibu ya msingi kuhusu swala. Allah anataka uswali mara 5 what is the point? Ina maana chini ya hapo hawezi kuelewa. ama?.
Tumshukuru Moussa maana ilikua swala 50. Sijui hata kazi zilifanyika saa ngapi?!.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahahaaaahahhahhaaha angalia huyu kwani Yohana alipokatwa kichwa Mungu alikuwa wapi? halafu badala ya kushangaa Mungu wako kupigwa kipigo cha Mbwa na watu aliowaumba , unashangaa ya sumu ya binadamu mohamadi ahahahhahahhahah bureeee kabisa wewe
Unajua nikiuita mbeha sikosei.
Yohana (The Baptist) kukatwa kichwa unaweza kutuonyesha wapi aliapia kuwa haiwezekani na Mungu hataruhusu akatwe kichwa.
Muhammad anasema ALLAH hawezi ruhusu kitendo kitokee kisha akufwa kama panya.
Abdul be serious! Fikiria kwanza kabla hujaleta comparison zako za kitoto hapa.
Kisa cha Yohana hukijui unakuja mbio mbio tu.
 
Mkuu naomba nitoke nje ya mada kidogo. Kwani kilicho muua mtume muhammad ni nini ama alikufa kifo cha aina gani? na hizi nondo nzito kiasi hiki unazitoa/ziiba wapi?
mkuu haya mambo yapo kwenye vitabu vyao. ndio maana unaona juyu salary slip anambwela mbwela hapa.
chck Sunnah.com
 
Injili ipi ? Ya Yesu au Marko au Yohana au Mathayo ?

Neno la Allah limesema Yesu ni mtu anae kunya kama wengine , iweje mpotoke mumuite Mungu ? Allah anashangaa
Naona hujui mengi kuhusiana na Imani yako. Huwezi kua mwanadamu kama hauendii Choo. Utakua mwanadamu feki.
Yesu alizaliwa. Lakini kujua msingi wa kuzaliwa kwake. Ni bibilia tu inayo majibu. Qu'an haiwezi kukupa majibu.

Lakini swala la Kutawadha na maji yalioozea miili ya mbwa na matambara ya Hedhi na vinyesi ni swala linahitaji mjadala upya.
Kuhusiana na magonjwa ya Milipuko. Rejelea kisima cha Buda'ah.. Ambapo Mohamad allitetea matumizi ya maji taka kwa watu.

UMungu wa Yesu haitegemei Mwili wa nYama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka kujua hoja yako ni nini kijana Swala au Musa kumshauri Mungu au vyote, funguka utolewe matongo tongo
Yote mawili.
Ila nisikuelemee kwa maswali mengi. nataka ujadili kuhusu Swala.

Mungu anapokupa amri Uswali sala 50 kwa siku. huu ni uenda wazimu grade One. Kwanza Swala 50 ni fiction, haiwezekani kwa vyovyote vile. Siku ina saa 24.

Au anapokupa muda uswali swala 5.Anataka kupata nini hapa kutoka kwako?.
(Hapa Sitaki kujadili kuhusu mwongozo wa Swala 3 za Qur'an ambazo hamzifuati badala yake mnafuata swala 5 za kwenye hadithi)


Maana maandiko ya Bibilia yanasema wamuabudua halisi wamuabudu Bwana katika Roho na kweli. It is not about number of times(Quantity) it is all about Quality prayer.

Yesu ametutaka tusisali sala Ndefu kama wanafiki wafanyavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ulimtia wewe Hizo nyama?? Ni wapi alitamka Mimi ni Mungu na hapa nimejibandika nyama na kuwa binadamu??
 
😀😀😀 mimi mkristo bhana, ila nimeshangazwa na jinsi unavyojua mambo ya upande mwingine kwa undani angali wewe ni mkristo
Si ndiyo ukabadili id na kujijibu mwenyewe au vipi
 
We mchamba saana Allah hajawahi kuzungumza jambo likabainika kuwa ni la uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa Uzi waala hujitambui hujauliza kana kwamba hufahamu au una shida ya kujua bali umekwishajiandalia majibu yako ya kipuuzi na pombe za kualikwa ulizokunywa leo,
Qur an hawaitafasiri hivyo kwa kuchukua au kuokota tu aya kama lisomwavyo Gazeti la Udaku au si mchezo kuna
Maulamaa waliobobea kwenye fani ya tafasiri siyo aya unaiyokota okota tu huwezi jua maana Mimi nakuita mpuuzi hujitambui tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…