Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.

Winner tuletee Aya Yesu anasema yeye ni Mungu na àmejibandika nyama na kuwa binadamu
 
Uhusiano wa nilichoandika hapo na kutokuwa muislamu uko wap ? acha kuvuta bange na jua kali ahahahaaahaahahaahaaaa
Vipi wamekutisha kukuchinja nini?
Si bora mie nimevuta bange! kuliko wewe uliyekumbuka mjengo wa peponi utaukosa! na kukosa kulaia makochi(as if hapo kwako unakaa kwenye vumbi) huku umevalishwa Green velvet gauni!!
 
DUTU ni kiswahili fasaha acha uvivu wewe, halafu mtume ameeleza kuwa kumbe mtoto anapofanana na wazazi wake , wote wawili wanahusika bila tabu yeyote , unajua maji ya uke yametajwa kwa sifa gani na mtukufu wa daraja upate shule elimu bila malipo

1. Umbali wa miaka kadhaa mingap ?umbali huo ni kwanani Binadamu, malaika au nani ?
2.Sasa unashangaa vip mke wa mtume kuuliza swali? Hizi ni akili za vichochoroni kabisa , kuna mtu anajua kila kitu pasi na kuulekezwa !! ndio maana unapata tabu kuuliza maswali ya kipuuzi kwasababu chuki yako kwa mtume imekutawala Ahahaahahahahaha, ata biblia iko wazi manabii ndio walikuwa wanapeleka ujumbe wa Mungu kwa wafalme ,sasa iweje ushtuke mke wa mtume kumuuliza jambo nabii , wewe ni janga
 
Na UTAPATA TABU SANA.. HA HA HA

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapoulizwa swali na kuleta vijembe tafsiri yake ilo jambo unalouliza ulijui au unabahatisha ? wewe ulipaswa kunitajia tu sifa ya maji ya mwanamke , halafu tuzame tukayatafute , ni maji gani yanafanana na hayo na yana kazi gani ? sasa kwa vile wewe ni mweupe kwenye maeneo kama haya kinga yako ni vijembe Ahahhahahaahaaahah Ahahahhahahahaahjhhahaja hapa tunajadili maji lakini wewe utaki kutoa maelezo ya maji sasa nikusaidiaje
 
Kavune tangawizi wewe [emoji15] [emoji12] unataka kusherehesha maneno ya HAQI ya deen ambayo Hata haikuhusu [emoji53] anzisha deen yako kama alivyo anzisha huyu [emoji117] View attachment 985758

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahaaaahahhahhaaha ahahahhhahahahaajhauaua ndio nini hii wewe kweli mbwa wa Yesu hakuna ujualo , kila siku unaambiwa uislamu umeanza waarabu wameukuta uelewi ahahhahahahahahahahah
 
Kikafiri kafir hilo jibu ulilo liharisha umepata babu kati ya makafir wewe ni dr of divinity [emoji38] [emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahaaaahahhahhaaha ina maana ata huyu
MATHAYO 15:26
";akajibu, akasema, si vema kukitwaa chakula cha WATOTO na kuwatupia MBWA ";
Ahahahahaaaahahhahhaaha wewe ni JIBWA Ahahahhahahahahahaha
 
Unajifanya huoni eeh [emoji15] [emoji53] [emoji117] View attachment 985718 ukijaa povu kaoge kata.3 hatuta acha kukufunua uijue kweli ili uwe huru [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahaaaahahhahhaaha kata 3 ntaoga Kama utanionyesha AYA mtume KATUMWA kwa waarabu tu, kiswahili fasaha kuonya sio kutumwa ahahahahahaahha
MFANO
MATHAYO 15:24
"; Akajibu, akasema , Sikutumwa ila kwa KONDOO waliopotea wa nyumba ya israel";

Ahahahahaaaahahhahhaaha Yesu kawapa makavu live mbwa nyie Ahahahahhhahjajahajajajjajja
 
Haya ni maneno ya kwenye kahawa wala hayatupotezei muda , uislamu unataratibu zake hii sio dini ya tarehe 25/December sikukuu za kipagani kuwa kazaliwa , hapa ushahidi ni lazima , uzushi huko huko kanisani
 
Kutangaza ni moja , kuthibitisha ni mbili , watu wanaweza kutangaza Rais sio mtanzania , lakini wakashindwa kuthibitisha huo tunaita uzushi na umbeya, wala haitusumbua , mambo ya uzushi yana nafasi sana Vatican ndio maana tareh 25/December ikawa kazaliwa Yesu ambaye hata mwenyewe huko aliko anashangaa uzushi huu, uislamu ni dalili, hoja na ushahidi, huku umbeya ni marufuku Ahahahhahahahaahjhhahaja ahahahahaahahahha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…