Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
uislamu ni mfumo wa maisha unajitosheleza na unaweza kuishi na watu wa tamaduni nyingine kama vigezo na masharti vitafuatwa


Kigezo na mashart ya waislamu sio? Ya watu (jamii) nyingine sio kitu and that's the core problem
The very teaching of Islam is based on violence and confrontatios
 
Aya matusi tumeyazoea lakn kwa vile hoja zako ni nyepesi ndio maana unaongea vitu vya ovyo leta maandiko tupambane mm sihitaji kelele
 
Kigezo na mashart ya waislamu sio? Ya watu (jamii) nyingine sio kitu and that's the core problem
The very teaching of Islam is based on violence and confrontatios
unafikir kwann musa aliambiwa awaue baadhi ya watu ?
 
Yule aliempiga yakobo kwenye uvungu wa paji ni nani?
 
Malalamiko ni kuishiwa hoja leta yote tutakujibu usihofu aya iko wazi
 
Namaanisha yule aliemtokea yakobo wakapigana mieleka usiku kucha mpaka yakobo akapigwa kwenye uvungu wa paja akawa anachechemea ni nani? nasubir jibu ww unaona tabu jibril kumminya mtume aya njoo na jibu hapa
 
Daudi hakuwa nabii ni mfalme wa Israël nabii alikua nathan
Sura 4 aya 163 inatuambia alikuwa nabii ila hiyo sio hoja yangu nataka kujua toka kwako kwa kosa hilo Daudi alivuliwa ufalme au aliendelea?
 
Hadithi zao wenyewe hawaziamini. Shia watakwambia hizi ni za suni za uongo na suni nao watakwambia hizi za shia ni za uongo. Sasa haijulikani zipi hadithi sahihi.
hayo mambo ya ndani ata ww tunafahamu kuna mashahidi wa yehova na wasabato hapa kila siku roman Catholic wanapambana na wasabato hawa watakwambia sabato imefutwa awa wanakwambia ipo kwaiyo ndugu matatizo ya ndani yapo uwezi pinga au unajitoa akili ujui kwann martin Luther king alikimbia Roman acha izo ww
 
Modern Western criticisms

Modern critics have criticized Muhammad for preaching beliefs that are incompatible with democracy; Somali-Dutch feminist writer Ayaan Hirsi Ali has called him a "tyrant"[41] and a "pervert".[42] The Dutch Party for Freedom leader Geert Wilders calls Muhammad a "mass murderer and a pedophile".[43]

Neuroscientist and prominent ideological critic Sam Harris contrasts the example of Muhammad with that of Jesus Christ. While he regards Christ as something of a "hippie" figure, Muhammad is an altogether different character and one whose example "as held in Islam is universally not [that of] a pacifist," but rather one of a "conquering warlord who spread the faith by the sword." Harris notes that while sayings such as "render unto Caesar that which is Caesar's" provide Christianity with a "rationale for peace," it is impossible to justify non-violence as central to Islam. Harris says that the example of Muhammad provides an imperative to "convert, subjugate, or kill" and "the core principle of Islam is Jihad."[44] Harris also suggests that Muhammad "may well have been schizophrenic," dismissing Muhammad's claim that the Koran was dictated to him by the archangel Gabriel.[45]

American historian Daniel Pipes sees Muhammad as a politician, stating that "because Muhammad created a new community, the religion that was its raison d'être had to meet the political needs of its adherents."[46]

In 2012 a film titled Innocence of Muslims and alternatively The Real Life of Muhammad and Muhammad Movie Trailer was released by Nakoula Basseley Nakoula. A Vanity Fair article described the video as "Exceptionally amateurish, with disjointed dialogue, jumpy editing, and performances that would have looked melodramatic even in a silent movie, the clip is clearly designed to offend Muslims, portraying Mohammed as a bloodthirsty murderer and Lothario and pedophile with omnidirectional sexual appetites."[47] Reacting to the release of the film, violent demonstrations and attacks targeted western institutions through the Muslim world.
 
hizi kelele tumezizoea maana kila mtu ana uhuru sisi tunaangalia ukija na hoja za maandiko tutakujibu kimaandiko lakn izo kelele za chura atunaga mda nazo
 
Sura 4 aya 163 inatuambia alikuwa nabii ila hiyo sio hoja yangu nataka kujua toka kwako kwa kosa hilo Daudi alivuliwa ufalme au aliendelea?

Halafu unajifanya unajua [emoji12] wee hujui kwamba hujui [emoji4] allah kwa kinywa cha baba kassim amekufundisha kwamba [emoji117] 'kila Umma tumewajaalia kawaida yao ya Ibada na sheria zao! Sivyo? au ndiyo wazimu Wa maswali [emoji15] [emoji12] [emoji117] halafu mmezuiwa kuuliza maswali na allah lakini kwa ukafir ulio wajaeni unaendeleza kumbishia!
 

Attachments

  • Screenshot_20180720-083746.jpg
    54.1 KB · Views: 33

Nitajie dhehebu moja linalo pinga KUTESWA, KUFA, NA KUFUFUKA KWA YESU! Hapo ndio mjue kwamba wooote Wanamhubiri Yesu Kristo! Nyinyi deen yenu mmefikia hata kumpinga allah na baba kassim...ref; suni, shia and the like wanaamini Yesu hakuteswa, wala kufa! Qadian wanaamini Yesu KUTESWA na KAFA! Umeona mtafaaruku baina Yenu?? Umeona mlivyo na shaka na kuhitilafiana kama allah alivyo sema kwa kinywa cha baba kassim! [emoji117]
 
Kupiga Yesu kufa ni ukosefu wa mataifa swala la Yesu kufu ni records inayotambulika hata kwa mamlaka ya warumi walikuwa watawala
Jukumu ilioandikwa
Ikatekelezwa
Sasa wanaodai Yesu hakuteswa wala hakufa hawamtaji alieteswa na kufa badala ya Yesu ...jinsi walivojaa porojo na dhahania
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…