Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
Wote atufaham na kila mtu anafuata kile anachojifunza isije ukawa mjinga zaidi ya mwenzio?!hahaaaa " kwahiyo " na masaa " nayo yakasimama" so mpangilio " wa " siku ulikuwaje", ?? na mpka jua " linasimama means",huwa " linatembea"" ??
ujinga mwingine bwana
Sayansi ni nini maana yake halisi?!hahaaaa halafu utasemaje kwamba sayansi ni uwongo wakati ",unatumia material mbali mbali yanayokurahisishia" kuishi kwako "tena matukio hayo yakiwa nizao la sayansi"",hayo maandishi "Yao" yenyewe" walikuwa hawana uwezo " wakuyahifadhi" kwenye karatasi" mpaka pale Ambapo "wanasaynsi "walipogundua" tech ,, yakuhifadhi maandishi" kwenye vitabu"" so kwanini" wasingemwambia "mungu wao awapatie ujuzi wakufanya "hayo yote" kama "Kweli " hayo madai yao huwa ni yamsingi
mbona unauliza Maswali ya kipuuzi"" huna sifa ya kufanya debate na mimiSayansi ni nini maana yake halisi?!
Hakuna ujanja ujanja umeipinga quran sasa pinga na hadithi.Rejea andiko vizuri dhul qarnaini ndie alieona jua likizama kwenye matope Mungu alikuwa akimpa mtume masimulizi juu ya kile dhul qarnaini alichoona kwa upeo wa macho yake
Paulo(tapeli) mkaa uchi wakati wa baridi atakuwepo
MKUU AYA HAZITAFSIRIWI KWA MAPENDEKEZO YAKO....AYA ZINATAFSIRIWA KWA MUJIBU WA SUNNAH NA MAPOKEO YA MASWAHABA WAONGOFU NA UJUE KUNA TOFAUTI KATI YA TAFSIRI NA MAELEZO YA AYA...HAPO NDIO UTAKUTANA NA ZA MASHEHE MBALIMBALI,NA UJUE QURAN SIO KIARABU NA HAOHAO WAARABU NAO WANASHINDWA KUFASIRI MANA NI ELIMU INGINE NJE YA LUGHA YA KIARABU....NA NITAKAPO KUULIZA UMETAFSIRI KWA TAFSIRI YA NANI BILA SHAKA HUNA UMJUAYE ILA UMETOA KICHWANI MWAKO AMA HUKO UJUAKO WEWE....Wanajukwaa:
Dunia yetu inaendelea kushika kasi katika suala la Sayansi na Tekinolojia.Kwa siku za hivi karibuni,wanasayansi wamegundua kuweza kutengeneza Moyo kwa kutumia stem cells,ikiwa ni hatua katika kuelekea kutengeneza moyo wa binadamu,hali ambayo itasaidia katika kukabiliana na matatizo ya Moyo yanayowakabili wanadamu,kwa kiasi kikubwa, yale ambayo uhusisha mwanadamu kupoteza maisha, kwa sababu tu Moyo wa mgonjwa husika hauna repair au hauwezi kubadilishwa.Miaka kama kumi hivi iliyopita,wanasayansi walikuwa wamefanikiwa kutengeneza Moyo wa panya kwa kutumia hizo stem cells.
Kumbe,kwa tafiti mbalimbali zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali duniani,ama ardhini au angani,zote zinalenga katika kuboresha maisha ya mwanadamu na hata kuongeza siku za kuishi kwake.Historia inao watu wengi sana ambao wamejihusisha na Sayansi kwa nyakati tofuati tofauti.
Leo,ninataka tumuangalie Mtume Muhammad kwa namna alivyoweza kujihusisha na suala la Sayansi kwa kile kinachosemwa ni kwa msaada wa Mungu.Kurani neno la Mungu;maneno ambayo Mungu akiisha kuyaandika huko Mbinguni, alikuwa anampatia Malaika Gabriel na malaika Gabriel akampatia Mtume Muhammad katika Nyakati tofauti tofauti na Muhammad kuyaweka katika maandishi,lakini kwa namna ya pekee,kwa mara ya kwanza kabisa ikiwa ni katika Pango lililoko katika Mlima Hira, Jabal an-Nour,huko Makka,ambako inadaiwa Mtume Muhammad alipokea ufunuo huo, kwa matatizo sana kwa sababu ya kutojua kwake kusoma na kuandika,Malaika Gabrieli alijikuta anamkaba.
Kwa njia ya ufunuo wa Kurani,tunafunuliwa mambo mengi ya Kisayansi ambamo Muhammad anatujuza jinsi mambo yalivyo.Kwa leo, ninawaletea jambo moja tu.Nalo ni juu ya namna Jua linavyokuchwa na kadri Mungu atakavyotujalia tutayaangazia na mambo mengine.
Kurani kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):
“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”
Wakati Muhammad akiwa ametupasha ukweli huo ambao aliandikiwa na Mungu, Ukweli wa kisayansi umebainisha kwamba Jua ni kubwa zaidi na lenye joto kali kuliko dunia.Na ikitokea kwamba Dunia inakaribiana na Jua,basi dunia itayeyuka kutokana na joto kubwa la Jua.
Ukweli mwingine,ambao pia Sayansi imetupatia ni kwamba Jua halitembei bali sayari mbalimbali ndio hulizunguka,ikiwemo Sayari yetu ya Dunia. Historia inaonyesha kwamba mtu wa kwanza kugusagusa habari za kuwa Jua lilikuwa halizunguki alikuwa ni Aristarchus (310-230KK).
Aristarchus alikuwa ni mwana-Astronomia wa Kigriki. Yeye aliamini dunia ilikuwa katikati ya Mfumo wa Jua(Solar system) na sayari zingine (ikijumuishwa na nyota ambazo zilikuwa zimefungwa katika nafasi fulani) ndio zilizokuwa zikilizunguka Jua.
Hata hivyo, baadaye mwanasayansi,Aristarchus, alikuja kugundua kuwa sio dunia iliyokuwa katikati ya Mfumo wa Jua, bali ni Jua na hivi kwamba ni Dunia na sayari zingine ndizo zilikuwa zikilizunguka Jua.Ugunduzi wa namna hii ulipatikana miaka mingi sana (takribani karne tatu hivi) kabla hata ya Yesu Kristu kuzaliwa na karne tisa kabla ya Muhammad kuzaliwa.
Mwanasayansi mwingine pia aliyekuja na mtizamo tofuati na wa Muhammad (kwa kadri ya ufunuo kutoka kwa Mungu) ni Jean Buridan (1300-1359/61). Huyu) anafahamika kama Mwanafalsafa Mashuhuri sana katika Ufaransa.Buridan alikuwa Mwalimu katika Kitivo cha Sanaa cha Chuo Kikuu cha Paris kwa kupindi chote cha maisha yake ya kitaaluma akimakinika hasa hasa katika masuala ya Logiki (Logic) na kazi za mwanafalsafa Aristotle.
Ni Bridan aliyeanzisha wazo juu ya kiitwacho Copernican Revolution katika Ulaya.Hili ni fundisho lililoleta mwangaza kutoka kuamini kwamba dunia ilikuwa imesimama sehemu moja katika ulimwengu na kwamba Jua ndio lilikuwa linaizunguka dunia (Geocentrism) hadi kueleweka kwamba kumbe Jua ndilo limesimama wakati dunia na sayari zingine zikilizunguka (Heliocentrism).
Kumbe, sasa kwa uchache,kwa mawazo ya hao wanasayansi wawili,tunapata picha kwamba Muenendo wa Jua kuchomoza na kutua sio jambo lililoanza wakati wa Muhammad.Na kama suala la Sayansi ya Mfumo wa Jua lilianza mapema kabla ya Yesu na Muhammad kuzaliwa, yeye Muhammad alipopewa ufunuo na Mungu, hakuweza kujiuliza iwapo ufunuo huo wa Mungu inakuwaje unapingana na ukweli wa mambo?Katika kutafakari ufunuo huu wa Mungu kwa Muhammad, nimejikuta nina maswali yafuatayo,ambayo naomba yatuongoze katika kujadili suala hili.Ni muhimu kujadili kwa sababu pengine Dunia inatufundisha vitu ambavyo havipo.Hivi kweli Mungu anaweza kumueleza Muhammad mambo ya uongo?Maswali mengine ambayo bila shaka hata wewe unaweza kujiuliza ni haya:
1. Hiyo Chemchemi ya matope mazito na meusi iko hapa duniani?Na kama haipo hapa duniani iko angani? Na kama iko angani iko sehemu gani?
2. Huyo Dhul-Qarnaini alikuwa ni kiumbe wa namna gani huyo aliyepewa uwezo wa kuona Jua linavyotumbukia katika matope?
3. Pamoja na kwamba wakati wakati wa Muhammad, labda Sayansi ya kwamba Jua halizunguki, isipokuwa dunia ndio hulizunguka Jua, ilikuwa haijafika katika maeneo ya ardhi ya Arabia, bado hata vizazi vya zamani sana havikupata kuwa na uelewa kama huo wa Muhammad kuwa Jua lilikuwa linatua matope meusi! Je,ilikuwaje katika Vizazi vyote hivyo hapo katikati(ikiwemo na Yesu mwenyewe ambaye Muhammad anamuelezea kama aliyekuwa na uwezo wa kufinyanga wanasesere na kuwapulizia uhai na wakawa ndege kamili), kabla ya Muhammad, akakosekana mtu mwenye uelewa wa kuliona Jua likizama katika matope meusi tofauti? Hivi wewe kwa sayansi hii ya Muhamma juu ya Jua kuchwea katika matope meusi haikupelekei kujiuliza yafuatayo:
· Je, Muhammad kusema mambo ambayo hakuwa nayo uthibitisho ilikuwa ni kutafuta tu kuonekana kwamba Mungu amempa ufunuo wa kipekee juu ya ulimwengu?
· Je, vizazi ya Kiarabu na dunia kwa ujumla baada ya kugundua kwa tafiti za kisayansi, ambazo zimethibitisha kuwa Jua huzungukwa na sayari mbalimbali, ikiwemo Sayari yetu ya dunia, vimuoneje, Muhammad na Uislamu kwa ujumla?
· Je,wanadamu wa vizazi vyote vinavyofahamu kuwa Jua halijawahi kuzama katika matope ama meusi,bluu au meupe, visimuamini Muhammad katika mambo mengine aliyoyasema au vimuchukulie kama mtu aliyekuwa anajaribu kupiga ramli ya jinsi mambo yalivyo?
Lakini swali la mwisho kabisa ambalo nitaomba ujiulize ni hili:Je,Ni kwa nini hadi leo baada ya kugundulika kuwa Jua halizami na wala halizunguki,ni kwa nini hadi sasa aya hiyo iko imesalia katika Kurani?Je,ni nani anasema uongo kati ya Mungu na wanasayansi juu ya suala la Jua?
Karibu kwa mjadala ili tupate kujua ukweli kwa faida ya maendeleo ya Dunia yetu.
Uliza wewe...[emoji12] [emoji101][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Jibu maswali acha blah blah.
Barwan ndio nani??? Kinacho angaliwa, aya imeshuka wapi, sababu ya kushuka, na baba kassim kaifundishaje..zaidi ya hapo ni ukafiri [emoji12]MKUU AYA HAZITAFSIRIWI KWA MAPENDEKEZO YAKO....AYA ZINATAFSIRIWA KWA MUJIBU WA SUNNAH NA MAPOKEO YA MASWAHABA WAONGOFU NA UJUE KUNA TOFAUTI KATI YA TAFSIRI NA MAELEZO YA AYA...HAPO NDIO UTAKUTANA NA ZA MASHEHE MBALIMBALI,NA UJUE QURAN SIO KIARABU NA HAOHAO WAARABU NAO WANASHINDWA KUFASIRI MANA NI ELIMU INGINE NJE YA LUGHA YA KIARABU....NA NITAKAPO KUULIZA UMETAFSIRI KWA TAFSIRI YA NANI BILA SHAKA HUNA UMJUAYE ILA UMETOA KICHWANI MWAKO AMA HUKO UJUAKO WEWE....
ILI KUONDOA FASIRI YAKO YENYE KUPOTOSHA NA ISIYO NA MASHIKO WALA UELEWA JUU YA MASHUKO YA IYO AYA BASI NATUONE FASIRI ILIYO SAHIHI NA MAELEZO YAKE
QURAN 18:83-86
Al-Kahf
وَيَسۡأَلُونَكَ عَن ذِي ٱلۡقَرۡنَيۡنِۖ قُلۡ سَأَتۡلُواْ عَلَيۡكُم مِّنۡهُ ذِكۡرًا
83. Na wanakuuliza kuhusu Dhul-Qarnayn. Sema (ee Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم): “Nitakusomeeni kuhusu baadhi ya habari zake.”
إِنَّا مَكَّنَّا لَهُۥ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَءَاتَيۡنَٰهُ مِن كُلِّ شَيۡءٖ سَبَبٗا
84. Hakika Sisi Tulimmakinisha katika ardhi, na Tukampa njia ya kila kitu.
فَأَتۡبَعَ سَبَبًا
85. Basi akaifuata njia.
حَتَّىٰٓ إِذَا بَلَغَ مَغۡرِبَ ٱلشَّمۡسِ وَجَدَهَا تَغۡرُبُ فِي عَيۡنٍ حَمِئَةٖ وَوَجَدَ عِندَهَا قَوۡمٗاۖ قُلۡنَا يَٰذَا ٱلۡقَرۡنَيۡنِ إِمَّآ أَن تُعَذِّبَ وَإِمَّآ أَن تَتَّخِذَ فِيهِمۡ حُسۡنٗا
86. Hata alipofika machweo ya jua; Magharibi, akalikuta linatua katika chemchemu ya matope meusi (au ya moto), na akakuta huko watu. Tukasema: “Ee Dhul-Qarnayn! Ima uwaadhibu au wafanyie ihsaan”
HAYA NDIO MAELEZO/UFAFANUZI WAKE KWA UCHACHE(HAPA WAISLAMU WAMENIELEWA ILO NENO UCHACHE)
83. Ewe Mtume! Baadhi ya makafiri wanakuuliza khabari za Dhul-Qarnaini. Waambie nitakusimulieni baadhi ya khabari zake.
Rudi kwenye Sura
84. Tumemtilia nguvu amri yake katika ardhi, akiendesha humo mambo kwa mazingatio yake na utawala wake. Na tukampa ujuzi mwingi kwa njia ambazo kwazo akiweza kuongoza mambo.
85. Kwa kutumia njia hizo aliweza kueneza madaraka yake katika ardhi, na akafuata njia mpaka akafika huko magharibi kunako kuchwa jua.
86. Akenda mpaka akafika pahala mbali huko upande wa magharibi, akalikuta jua kwa linavyo onekana kwa macho kama kwamba linazama pahala penye chemchem ya maji ya moto na matope meusi. Na karibu ya chemchem hii Dhul- Qarnaini aliwakuta watu makafiri. Mwenyezi Mungu akamtia moyoni mwake afanye mojapo ya mambo mawili: Ama awaite kwenye Imani, na hili kwa hakika ni jambo zuri; au awapige vita ikiwa hawakuitikia wito wa Imani.
KWA MAELEZO AYO YA Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani NI KWAMBA JUA HALIZAMI KWENYE MATOPE ILA UNAPOLIONA NI KANA KWAMBA LINAONEKA KAMAAAAAAAAAAAAAA LINAINGIAKWENYE MATOPE NI LILE JUA LEKUNDU LA MAGHARIBI PENGINE KWENYE MAWINGU NDIO LINAFANYA MUONEKANO WA MATOPE..........TUCHUKUE MFANO MWEPESI.......KUNA WAKATI WA MCHANA UKIITIZAMA BARABARA YA LAMI KWA MBALI UTAONA KAMA KUNA KIJITO CHA MAJI KINA MEREMETA JE VIPI YALE NI MAJI...JIBU NI HAPANA YALE SIO MAJI ILA YANAVYO ONEKANAKWA MACHO KAMA KWAMBA NI MAJI....NAYO YALE SIO MATOPEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
NA ALLAH ANAJUA ZAIDI
Kwa kushindwa tu kujibu ilo swali endelea kupiga nike kwenye pua ilo mkuu.mbona unauliza Maswali ya kipuuzi"" huna sifa ya kufanya debate na mimi
hoja yako ipi hapo musa aliandika mpaka alipokufa na alipozikwaHa ha ha hajui lolote huyo alisema hayo amekaririshwa bila kuelewa. Hata hivyo vitabu vya ufafanuzi ie hadithi na tafsiri viliandikwa miaka 300 baada ya kifo cha Mtume. Hao waandishi kina Bukhari, Al tabari, Muslim nk waliishi waliishi miaka 300 baada ya kufariki Mtume hawakuwa maswahaba wake wala hawakumjua lakini walikuta story wakaadika. Kwaiyo kwa mtu muelewa hawezi kuwaamini 100% maana leo hii mtu utuandikie habari za mtu alliyeishi miaka 300 iliyopita bila kuwa habari hiyo imeandikwa na wengine waliokuwepo duh ni imposible
Ndio nn sasaToka lini isa akaitwa Masihi [emoji12] halafu usilo lijua yule baba kassim kiti akimvaa na kuanza kusikia mikengele kichwani na macho kuwa mekundu huku povu ikimtoka alikuwa akitamka isa isa isa walahi isa isa...llaha Pepo na jeen maalun likimtoka alikuwa mtu Mwema tu! AKAWA anatamka MASIHI [emoji106] hii Ilimu huwezi ukapata zaidi ya humu JF, ima madrasat nuur bahar jannat kwa shehe Kidevu pale kwa mtogole [emoji4]
sasa ajabu nn au mungu wako ajui manii ahahahhahahahaha au aujui kuingilianawewe chukua hatua basi [emoji15] kelele za nini?? Unafikiri Yesu angeagiza Hao waislamu wanao fumuana mikunjo tuwageuze kibla kuanzia huyo baba kassim aliyemtuma Kufundisha mchezo huo Wa kisilamu View attachment 821004 na makafir wenzake woote miguu yao na vinywa visingekuwepo kuinajisi Ardhi ya Yesu! sema Amen gavana [emoji4]
unauliza swali au unajichetuaToka lini isa akaitwa Masihi [emoji12] halafu usilo lijua yule baba kassim kiti akimvaa na kuanza kusikia mikengele kichwani na macho kuwa mekundu huku povu ikimtoka alikuwa akitamka isa isa isa walahi isa isa...llaha Pepo na jeen maalun likimtoka alikuwa mtu Mwema tu! AKAWA anatamka MASIHI [emoji106] hii Ilimu huwezi ukapata zaidi ya humu JF, ima madrasat nuur bahar jannat kwa shehe Kidevu pale kwa mtogole [emoji4]
Anasoma aya kama gazeti la shigongoDuh huyo Mungu asiyeijua dunia na jua atakuwa anazidiwa akili mwanafunzi wa drs la tano. Huu ni muswiiba mkubwa kwa waliomini huo uwongo.
Narudia tena yesu kasulubiwa saa ngap?
MKUU NI ALIYEFANYA TAFSIRI YA KUJA KISWAHILI LUGHA YETU AU FASIRI YA KISWAHILI UNATUMIA YA NANI AU UNAFASIRI WEWE KISWAHILI.....MTUME HAJAFASIRI KUJA KISWAHILI ILA MASHEHE NAE UYO NI MMOJA WAPO.....MJUE ZAIDIBarwan ndio nani??? Kinacho angaliwa, aya imeshuka wapi, sababu ya kushuka, na baba kassim kaifundishaje..zaidi ya hapo ni ukafiri [emoji12]
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Yesu alisulubiwa saa ngap ? rukaruka lakn ili lazima ujibuHata mende anae ishi chooni akilabua mavi, anakuona wewe usie ishi huko misumali imekuingia [emoji12]
Huyu? [emoji117] View attachment 821111 àu??[/QUOTE
Mungu ajui kama binadamu wakutana kimwili? ahahahhahahhahahah unaleta utoto kwenye mambo ya msingi au alipomiambia muijaza dunia alijua mtatemeana mate
Mungu ajui kama kuna kufanya mapenzi au alipomiambia mjaze dunia alijua mtajaza kwa kutemeana mate unashangaa mambo ya kawaida kabisaHuyu? [emoji117] View attachment 821111 àu??