masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Ww kweli ujui kitu yaani mpaka leo ujui kwamba quran inamtambua isa ni masihi izi elimu mnaokota wap aya kasome ww na wenzie sura 3 aya ya 45(3:45) ujinga ukotoke acha story za vijiweni alaaaaToka lini isa akaitwa Masihi [emoji12] halafu usilo lijua yule baba kassim kiti akimvaa na kuanza kusikia mikengele kichwani na macho kuwa mekundu huku povu ikimtoka alikuwa akitamka isa isa isa walahi isa isa...llaha Pepo na jeen maalun likimtoka alikuwa mtu Mwema tu! AKAWA anatamka MASIHI [emoji106] hii Ilimu huwezi ukapata zaidi ya humu JF, ima madrasat nuur bahar jannat kwa shehe Kidevu pale kwa mtogole [emoji4]
Yesu huyu aliekausha mti kisa njaa(ubao) au yule mnaosema kapigwa kipigo cha mbwa kokoHahahah...! Mtume Mo alikuwa kilaza hatari elimu dunia akuwahi kanyaga kindagateni, kibaya zaidi ata ujiniasi hakuwa nao, Roho mtakatifu hakuwa naye bali roho mtaka bifu maana alichoweza ni ubabe na vita. Kwa ujumla jamaa alikuwa mtu wa kimwili zaidi vita yake aliipigana kimwili zaidi.
Msome jiniasi Jesus/Yesu majibu yake yote alikuwa na Roho Mtakatifu akijibu wasomi, walimu, wanasheria wanatafutana na kushikwa bumbuwazi. HUYO NDIYO YESU WANGU.
Kabla ya kwenda mbali, ingawa nimechelewa kuuona uzi; tuweke sawa kama Mtume Muhammad (S.A.S) alikuwa mwanasayansi. Hii itasaidia kutousisha dini na masuala ya kisayansi katika mjadala.Vita iko wapi hapo? Hatujadili dini Bali ukweli Wa Sayansi ya Jua.Lazima kutenganisha Dini na sayansi katika suala hilo
Ndiyo mafundisho ya Mwalimu Wa shoga Yayo Agassi , Pope Francis hayo??Barwan ndio nani??? Kinacho angaliwa, aya imeshuka wapi, sababu ya kushuka, na baba kassim kaifundishaje..zaidi ya hapo ni ukafiri [emoji12]
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Ww kweli ujui kitu yaani mpaka leo ujui kwamba quran inamtambua isa ni masihi izi elimu mnaokota wap aya kasome ww na wenzie sura 3 aya ya 45(3:45) ujinga ukotoke acha story za vijiweni alaaaa
Mkuu naomba kujibu swala lako japo kwa ufupi kwa kuchangia.Wanajukwaa:
Dunia yetu inaendelea kushika kasi katika suala la Sayansi na Tekinolojia.Kwa siku za hivi karibuni,wanasayansi wamegundua kuweza kutengeneza Moyo kwa kutumia stem cells,ikiwa ni hatua katika kuelekea kutengeneza moyo wa binadamu,hali ambayo itasaidia katika kukabiliana na matatizo ya Moyo yanayowakabili wanadamu,kwa kiasi kikubwa, yale ambayo uhusisha mwanadamu kupoteza maisha, kwa sababu tu Moyo wa mgonjwa husika hauna repair au hauwezi kubadilishwa.Miaka kama kumi hivi iliyopita,wanasayansi walikuwa wamefanikiwa kutengeneza Moyo wa panya kwa kutumia hizo stem cells.
Kumbe,kwa tafiti mbalimbali zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali duniani,ama ardhini au angani,zote zinalenga katika kuboresha maisha ya mwanadamu na hata kuongeza siku za kuishi kwake.Historia inao watu wengi sana ambao wamejihusisha na Sayansi kwa nyakati tofuati tofauti.
Leo,ninataka tumuangalie Mtume Muhammad kwa namna alivyoweza kujihusisha na suala la Sayansi kwa kile kinachosemwa ni kwa msaada wa Mungu.Kurani neno la Mungu;maneno ambayo Mungu akiisha kuyaandika huko Mbinguni, alikuwa anampatia Malaika Gabriel na malaika Gabriel akampatia Mtume Muhammad katika Nyakati tofauti tofauti na Muhammad kuyaweka katika maandishi,lakini kwa namna ya pekee,kwa mara ya kwanza kabisa ikiwa ni katika Pango lililoko katika Mlima Hira, Jabal an-Nour,huko Makka,ambako inadaiwa Mtume Muhammad alipokea ufunuo huo, kwa matatizo sana kwa sababu ya kutojua kwake kusoma na kuandika,Malaika Gabrieli alijikuta anamkaba.
Kwa njia ya ufunuo wa Kurani,tunafunuliwa mambo mengi ya Kisayansi ambamo Muhammad anatujuza jinsi mambo yalivyo.Kwa leo, ninawaletea jambo moja tu.Nalo ni juu ya namna Jua linavyokuchwa na kadri Mungu atakavyotujalia tutayaangazia na mambo mengine.
Kurani kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):
“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”
Wakati Muhammad akiwa ametupasha ukweli huo ambao aliandikiwa na Mungu, Ukweli wa kisayansi umebainisha kwamba Jua ni kubwa zaidi na lenye joto kali kuliko dunia.Na ikitokea kwamba Dunia inakaribiana na Jua,basi dunia itayeyuka kutokana na joto kubwa la Jua.
Ukweli mwingine,ambao pia Sayansi imetupatia ni kwamba Jua halitembei bali sayari mbalimbali ndio hulizunguka,ikiwemo Sayari yetu ya Dunia. Historia inaonyesha kwamba mtu wa kwanza kugusagusa habari za kuwa Jua lilikuwa halizunguki alikuwa ni Aristarchus (310-230KK).
Aristarchus alikuwa ni mwana-Astronomia wa Kigriki. Yeye aliamini dunia ilikuwa katikati ya Mfumo wa Jua(Solar system) na sayari zingine (ikijumuishwa na nyota ambazo zilikuwa zimefungwa katika nafasi fulani) ndio zilizokuwa zikilizunguka Jua.
Hata hivyo, baadaye mwanasayansi,Aristarchus, alikuja kugundua kuwa sio dunia iliyokuwa katikati ya Mfumo wa Jua, bali ni Jua na hivi kwamba ni Dunia na sayari zingine ndizo zilikuwa zikilizunguka Jua.Ugunduzi wa namna hii ulipatikana miaka mingi sana (takribani karne tatu hivi) kabla hata ya Yesu Kristu kuzaliwa na karne tisa kabla ya Muhammad kuzaliwa.
Mwanasayansi mwingine pia aliyekuja na mtizamo tofuati na wa Muhammad (kwa kadri ya ufunuo kutoka kwa Mungu) ni Jean Buridan (1300-1359/61). Huyu) anafahamika kama Mwanafalsafa Mashuhuri sana katika Ufaransa.Buridan alikuwa Mwalimu katika Kitivo cha Sanaa cha Chuo Kikuu cha Paris kwa kupindi chote cha maisha yake ya kitaaluma akimakinika hasa hasa katika masuala ya Logiki (Logic) na kazi za mwanafalsafa Aristotle.
Ni Bridan aliyeanzisha wazo juu ya kiitwacho Copernican Revolution katika Ulaya.Hili ni fundisho lililoleta mwangaza kutoka kuamini kwamba dunia ilikuwa imesimama sehemu moja katika ulimwengu na kwamba Jua ndio lilikuwa linaizunguka dunia (Geocentrism) hadi kueleweka kwamba kumbe Jua ndilo limesimama wakati dunia na sayari zingine zikilizunguka (Heliocentrism).
Kumbe, sasa kwa uchache,kwa mawazo ya hao wanasayansi wawili,tunapata picha kwamba Muenendo wa Jua kuchomoza na kutua sio jambo lililoanza wakati wa Muhammad.Na kama suala la Sayansi ya Mfumo wa Jua lilianza mapema kabla ya Yesu na Muhammad kuzaliwa, yeye Muhammad alipopewa ufunuo na Mungu, hakuweza kujiuliza iwapo ufunuo huo wa Mungu inakuwaje unapingana na ukweli wa mambo?Katika kutafakari ufunuo huu wa Mungu kwa Muhammad, nimejikuta nina maswali yafuatayo,ambayo naomba yatuongoze katika kujadili suala hili.Ni muhimu kujadili kwa sababu pengine Dunia inatufundisha vitu ambavyo havipo.Hivi kweli Mungu anaweza kumueleza Muhammad mambo ya uongo?Maswali mengine ambayo bila shaka hata wewe unaweza kujiuliza ni haya:
1. Hiyo Chemchemi ya matope mazito na meusi iko hapa duniani?Na kama haipo hapa duniani iko angani? Na kama iko angani iko sehemu gani?
2. Huyo Dhul-Qarnaini alikuwa ni kiumbe wa namna gani huyo aliyepewa uwezo wa kuona Jua linavyotumbukia katika matope?
3. Pamoja na kwamba wakati wakati wa Muhammad, labda Sayansi ya kwamba Jua halizunguki, isipokuwa dunia ndio hulizunguka Jua, ilikuwa haijafika katika maeneo ya ardhi ya Arabia, bado hata vizazi vya zamani sana havikupata kuwa na uelewa kama huo wa Muhammad kuwa Jua lilikuwa linatua matope meusi! Je,ilikuwaje katika Vizazi vyote hivyo hapo katikati(ikiwemo na Yesu mwenyewe ambaye Muhammad anamuelezea kama aliyekuwa na uwezo wa kufinyanga wanasesere na kuwapulizia uhai na wakawa ndege kamili), kabla ya Muhammad, akakosekana mtu mwenye uelewa wa kuliona Jua likizama katika matope meusi tofauti? Hivi wewe kwa sayansi hii ya Muhamma juu ya Jua kuchwea katika matope meusi haikupelekei kujiuliza yafuatayo:
· Je, Muhammad kusema mambo ambayo hakuwa nayo uthibitisho ilikuwa ni kutafuta tu kuonekana kwamba Mungu amempa ufunuo wa kipekee juu ya ulimwengu?
· Je, vizazi ya Kiarabu na dunia kwa ujumla baada ya kugundua kwa tafiti za kisayansi, ambazo zimethibitisha kuwa Jua huzungukwa na sayari mbalimbali, ikiwemo Sayari yetu ya dunia, vimuoneje, Muhammad na Uislamu kwa ujumla?
· Je,wanadamu wa vizazi vyote vinavyofahamu kuwa Jua halijawahi kuzama katika matope ama meusi,bluu au meupe, visimuamini Muhammad katika mambo mengine aliyoyasema au vimuchukulie kama mtu aliyekuwa anajaribu kupiga ramli ya jinsi mambo yalivyo?
Lakini swali la mwisho kabisa ambalo nitaomba ujiulize ni hili:Je,Ni kwa nini hadi leo baada ya kugundulika kuwa Jua halizami na wala halizunguki,ni kwa nini hadi sasa aya hiyo iko imesalia katika Kurani?Je,ni nani anasema uongo kati ya Mungu na wanasayansi juu ya suala la Jua?
Karibu kwa mjadala ili tupate kujua ukweli kwa faida ya maendeleo ya Dunia yetu.
ahahahahahahhaha umepagawa sasa ulitaka wembe umekukata rejea iyo 3:45 sukumizia na majiNimesha kwambia koloani inapo mtaja MASIHI inamkusudia Yesu [emoji106] inapo mtaja isa ni yule zeru zeru mtoto ambaye allah alimbaka na kumpuliza farja ya binti amrani [emoji117] View attachment 821220 baada ya mpulizo akamzaa isa na mtoto kamkataa! Unaelewa sasa?
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Mkuu ulitaka kufanya akili za watu sizo za kufkiria lbda nikujuze kwanza ukitaka kutafsiri quran basi kuna na sherhe na hadithi za mtume s.a.w na maswahaba wanazuoni na makhalifa. Nakuomba tu rudi kwenye quran na tafsir yake halafu soma sherhe yake inayozungumzia hizo aya.Lugha asili ya Kurani ni Kiarabu.Unalikubali hilo? Wewe umetumia tafsiri ya Kiingereza na mimi nimetumia tafsiri ya Kiswahili.Je,unataka kusema tafsiri ya Kiswahili siyo sahihi ila ya kiingereza ndio iko sawa? Je,kwa nukuu hiyo ya Kiswahili, ni wapi mimi nimekosea? Je,ni mimi niliyetafsiri Kurani katika lugha ya Kiswahili kuonyesha alichokiongea Muhammad?
Mkuu lengo kuu la jamaa tushalijua anataka apotoe watu akijua watu hawajui imani yao inavyosema. Watu kma hawa wapo duniani bila kusahau una umati uliangamizwa kutokna na kuuliza maswala mingi ya kejeli.Quran haijawa na mkanganyiko katika aya zake ila nyie wafasiri ndo mnaivuruga. Je kama kweli usemavyo kuwa jua linazama kwenye matope, na katika surat Rahman Allah anasema kuwa Dunia, mwezi na jua vyote ni duara na angani vinaogelea, kwahyo vinaogelea ziwani au baharini?
Pia kwa imani ya kiislamu ni kuwa Allah hafanani na kiumbe yeyote yule na hakuna kiumbe anaeweza kumfikiria alivyo na ikawa ndio alivyo, kwenye maandiko kuna aya zinasema 'mkono wa Allah' (YadulLah), kwahiyo tuamini Allah Subhana ana mikono kama sie?
ahahahahahahhaha umepagawa sasa ulitaka wembe umekukata rejea iyo 3:45 sukumizia na maji
hakuna masihi isa iyo aya labda kaitunga paulo sisi tuna masihi isa mwana wa maryamu ahahahhahahhaUnaona utofauti? Kuna isa ibn mariam [emoji117] View attachment 821242 kuna Masihi isa, halafu yule isa ambaye Babu mzee imran...unaona alivyo vurugwa na mapepo [emoji15] [emoji12] au aliprogwa na Yahudi laabid akawa anabwajaja nyie mkaona wahyi mkaanza kupia takbirr allah mkubwa [emoji38] [emoji38]
Hii post bado sijapatiwa ufafanuzi wanazuoni mko wapii??Hakuna ujanja ujanja umeipinga quran sasa pinga na hadithi.
View attachment 821102
Huyu? [emoji117] View attachment 821111 àu??
Hakuna ujanja ujanja umeipinga quran sasa pinga na hadithi.
View attachment 821102
Hii post bado sijapatiwa ufafanuzi wanazuoni mko wapii??
Niliweka hii baada ya mwanazuoni mmoja kupindisha ile aya inayoelezea Dhur karnain kushuhudia jua likizama kwenye matope/maji.
Au sasa tumekubaliana jua linazama kwemnye maji au tumpinge mtume wa mungu tukachoamwe moto.
Barwan ndio nani??? Kinacho angaliwa, aya imeshuka wapi, sababu ya kushuka, na baba kassim kaifundishaje..zaidi ya hapo ni ukafiri [emoji12]
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ha na bado kwaiyo huo ndio ujanja wenu wa kuyakana maandishi yenu kwa mwendo huo hakuna maana ya mjadala maana tukiwaonesha jamaa yenu alivokuwa ignorant mnasema ooh hiyo hadithi sio kweli huyo mwanazuoni alikosea sasa sijui sisi tuwaamini nyinyi au wanazuoni wenu wakubwa walioandika vitabu vyenu quran na hadithi ambavyo ndio mwongozo wenu.Tatizo lenu mnakuwa mnatafuta ubishi hamtafuti elimu ,
Kama kweli wewe ni mtafutaji wa Elimu , Tutajie wapokezi wa hiyo hadithi
Na kuhusu Quran nimewawekea zaidi ya mara 3 majibu lakini mnarudia rudia bila kusoma chochote
Did the Noble Quran really say that the sun sets and rises on earth?
Explanation: Sun Sets in Murky Water Hadith (Sunan Abu Dawud, Musnad Ahmad)
Unreliable Hadith about Sunset in the Spring of Warm Water
What we see from analysis is that the Hadiths in which the words “it sets in a spring of warm/murky water” appear are not believed to be attributed to Prophet Muhammad (p). Thus, Muslims do not consider them to be reliable.
Now somebody may well be thinking, how it can be dismissed as not being from Prophet Muhammad p? It's simple, if you look at the analysis you will see there are numerous Hadiths with different chains of narrators (after the first three links) which all report the SAME saying of Abu Darr but they do not include the words “it sets in a spring of warm/murky water.”
So clearly both versions cannot be right.
The versions containing “it sets in a spring of warm/murky water” are based on the SAME chain of narration (see the fourth person in the chain) while the versions not containing “it sets in a spring of warm/murky water” are of 5 different chains (5 different people at the 4th link) - thus overwhelming numerical evidence shows that the Hadith containing “it sets in a spring of warm/murky water” cannot be attributed to Prophet Muhammad p. Basically it's a case of 1 person reported it with the words “it sets in a spring of warm/murky water” compared to 5 who did not report those words.
Not only this, the chain in which the words “it sets in a spring of warm/murky water” are included contains Sufyan bin Husain who was considered as a person who made mistakes in his narrations as seen in Waqar Cheema's analysis:
Muhammad ibn Sa’d said about him: “He was reliable (but) he made many mistakes in his narrations.” (Tabaqat al-Kubra, Dar al-Kotob al-Ilmiyya, Beirut, 1990, vol.7 p.227 No. 3417)
Obviously quality and quantity would mean that the Muslim does not accept this narration but rather accepts the more numerous and reliable Hadiths which are those that do NOT contain the words “it sets in a spring of warm/murky water”
There's even a theory how the words “it sets in a spring of warm/murky water” got into the Hadith by mistake - see Cheema's analysis
Cheema points out the Hadith in question is Anomolous and Defective and supplies the definitions which impugn the reliability of such hadiths:
“… the anomalous hadith is the one which a reliable transmitter relates and which is in conflict with what other people relate.” (An Introduction to the Science of Hadith, Translated by Dr. Eerik Dickinson, Garnet Publishing Ltd. Berkshire 2006 p.57)
“A defective hadith is one in which a defect impugning its soundness is detected, although it outwardly appears to be free of the defect. That may apply to an isnad made up of reliable transmitters which outwardly seems to fulfill the conditions of soundness. Someone being alone in transmitting the hadith as well as others contradicting him aid in catching the defect.” (An Introduction to the Science of Hadith, p.67)
And when a report or a part of it becomes “shaadh” it ceases to be a sahih (sound) report. For this the definition of a “Sahih hadith” will help.
Hafiz Ibn Salah writes;
“The sahih (sound) hadith is a “supported” hadith (al-hadith al-musnad), the isnad of which coheres continuously through the transmission of one upright and accurate person from another up to its point of termination. The sound hadith can be neither anomalous (shaadh) nor defective (mu’allal),” (An Introduction to the Science of Hadith, p.5)
So merely being “sahih al-isnaad” is not enough for the report itself to be sahih.
Conclusion
If you come across a Christian missionary or any other Anti-Islam zealot quoting any Hadith saying the sun “sets in a spring of warm/murky water” then just dismiss it. Kindly let that person know that the Hadith is unreliable and there are numerous Hadith which contradict that and these are the more reliable Hadith. Let the person know, the Hadith he/she is citing cannot be attributed to the Prophet - due to intellectual honesty.
For more information see analysis.
The narrations which you may come across:
Yazid bin Harun- Sufyan bin Husain- Al-Hakam bin ‘Utaybah- Ibrahim (b. Yazid al-Taymi)- Yazid al-Taymi- Abu Dharr said: I was sitting behind the Apostle of Allah who was riding a donkey while the sun was setting. He asked: Do you know where this sets? I replied: Allah and his Apostle know best. He said: It sets in a spring of warm water. (Sunan Abu Dawud, Hadith 3991)
Related narrations:
In Musnad Ahmad these words are part of a longer narration reported through same chain of narrators;
Abu Dharr narrated, “Once I was with the Prophet riding a donkey on which there was a saddle or a (piece of) velvet. That was at sunset. He said to me, ‘O Abu Dharr, do you know where this (sun) sets?’ I said, ‘Allah and His Messenger know better.’ He said, ‘It sets in a spring of murky water, (then) it goes and prostrates before its Lord, the Exalted in Might and the Ever-Majestic, under the Throne. And when it is time to go out, Allah allows it to go out and thus it rises. But, when He wants to make it rise where it sets, He locks it up. The sun will then say, “O my Lord, I have a long distance to run.” Allah will say, “Rise where you have set.” That (will take place) when no (disbelieving) soul will get any good by believing then.’” (Musnad Ahmad, Hadith 21459 al-Risala ed.)
This narration is quite similar to the narration found in many hadith works including Sahih Bukhari, Sahih Muslim etc. except the words “It sets in a spring of warm water.”
Ha ha ha ha na bado kwaiyo huo ndio ujanja wenu wa kuyakana maandishi yenu kwa mwendo huo hakuna maana ya mjadala maana tukiwaonesha jamaa yenu alivokuwa ignorant mnasema ooh hiyo hadithi sio kweli huyo mwanazuoni alikosea sasa sijui sisi tuwaamini nyinyi au wanazuoni wenu wakubwa walioandika vitabu vyenu quran na hadithi ambavyo ndio mwongozo wenu.
Lakini tutaendelea kuwabainishia ujanjajanja wa ndugu yenu najua ni ngumu kwenu kukiri lakini ukweli mnauona na ukweli utawaweka huru.
Ha ha ha ha na bado kwaiyo huo ndio ujanja wenu wa kuyakana maandishi yenu kwa mwendo huo hakuna maana ya mjadala maana tukiwaonesha jamaa yenu alivokuwa ignorant mnasema ooh hiyo hadithi sio kweli huyo mwanazuoni alikosea sasa sijui sisi tuwaamini nyinyi au wanazuoni wenu wakubwa walioandika vitabu vyenu quran na hadithi ambavyo ndio mwongozo wenu.
Lakini tutaendelea kuwabainishia ujanjajanja wa ndugu yenu najua ni ngumu kwenu kukiri lakini ukweli mnauona na ukweli utawaweka huru.