Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ahahahahahaaa unatuletea RUMORS hivi ww unajua maana ya hilo neno ? ahhajjaajaajjaaj link aijawai kuwa ushahidi ndio maana unaleta RUMORS humu kijana humu atuitaji hivyo vitu humu tunataka EVIDENCE sio RUMORS
Ushahidi gani unataka zaidi ya muhammad mwenyewe kusema mwanamke na mwana mume wakiwa peke yao pamoja shetani anaongeza idadi na kuwa.3! Haya na mimba ya aisha wakati Muhammad hajamuingilia!? Swafan kiboko chake! kala mzigo Wa Babu [emoji38] [emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahahhahhahahaahaha wewe utapata tabu sana hadithi inazungumzia mwanaume na mwanamke ambao sheria inawaruhusu kuoana hao ni lazima wasiwe wawili vishawishi visije vikawapata wakamuasi Mungu sasa ule ushawishi ndio uletwa na shetani ahahahahaahahahaah
 

Halafu eti anajifanya kuukana ukristo na kujipakàzia eti Hana dini kumbe vitu vimemuingia vizuri Tu ila kiburi cha shatani
 
Halafu eti anajifanya kuukana ukristo na kujipakàzia eti Hana dini kumbe vitu vimemuingia vizuri Tu ila kiburi cha shatani
Usinilazimishe nikubali dini nsizozitaka....nimeshasema siztak dini zilizoletwa na watu weupe kwa kusud lakututawala.....hujasoma historia wewe kwamba wazungu na waarabu walituuza nakututesa kama wanyama huku wakitumia dini zao kutupumbaza.....kwa uelewa wako ushaona mtume au nabii mwafrika c wakikiristo au wakiisram.....sasa huon hzo ni din zao shekheeee amkeni nyie mazomb
 
Kwa hiyo Swafan na aisha hiyo sheria haiwahusu [emoji47] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si useme Tu mungu wako ni Mwafrika Wanyonyi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…