Naona ww huwez kumtetea allah kama alivokuomben msaada.....pole sana pepo huion
😂😂😂😂😂 Yaani wewe sijui unataja mavitu gani........pole sana aiseee kumbe hata uislam huujui kabisa umeujulia kwenye cd za mazinge na nurdin kish nawe ndo unaona ka umeenda hija.....aya sasa ona tunaoujua jins tunavyouchimba kiundani hebu soma hili hapa chini:View attachment 844029
wee endelea kupata shida, WAKRISTO WANAFAIDI RAHA YA KUWA NA YESU ALIYE HAI [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106]Mungu pekee ndiye ajuaye ni lini Wakristo wataweza kutoa nakala sahihi (asilia) ya kitabu chao (Biblia).
Mtu atashangaa, juu ya idadi ya matoleo ya Biblia yaliyopo leo hii. Kila moja linatofautiana na jingine, ndio, kila moja linadai kuwa yeye ndio toleo asilia. Matolea yote hayo yameshawahi kutangaza duniani kuwa, yenyewe ni ufunuo mtakatifu. Rejeo lao lililo tayari lipo katika (2 Timotheo 3:16), isemayo “Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho...” Lakini kile wasichokifahamu Wakristo ni kuwa, “Kwa hakika, yaliyomo katika Biblia zao si Maandiko matakatifu ispokuwa ni hekaya, fikra, matukio na tamaduni tu.” Tatizo hilo linachanganya zaidi pale tunapojua kuwa baadhi ya matoleo ya Biblia yana vitabu vingi zaidi kuliko mengine. Toleo la Orthodox (OVC), lina vitabu 86; Toleo la Charismatic (CV), lina vitabu 76; Toleo la Roman Catholic (RCV), lina vitabu 73; na matoleo yote ya Kiprotestanti yana vitabu 66 likiwemo The New World Translation of the Holy Scripture [1984] (NW), linalotumiwa na Mashahidi wa Yehova na matoleo mengine kama vile the King James [1611-1942] (KJ), American Standard [1901-1944] (AS), Rivised Standard [1971] Second Edition (RS) Jerusalem Bible [1966] (JB), Good News Bible (1954: iliyochapwa 1956), Ronald A, Knox (Kx), New International Version (NIV), na motoleo mengine yasiyo na idadi.
Zaidi ya hayo, vipi kuhusu hoja ya Warejeaji wanosifika wa Biblia ya the Rivised Standard Version (RS), Rivised Edition ya 1952, na kwa Agano Jipya, Second Edition ya 1971, by Wm. Collins Sons & Co. Ltd. Iliyochapwa na Canadian Bible Society, isemayo katika Utangulizi wake: (1) “Naam, Toleo la King James lina dosari kubwa mno.... dosari hizo ni nyingi sana na hatari sana kiasi cha kupelekea kuitishwa wito wa kurekebishwa kwa tafsiri yake ya Kingereza.” (2) “Toleo la King James la Agano Jipya liliegemea katika mandiko ya Kigiriki yaliyoharibiwa kimakosa” Vipi kuhusu hoja ya Mashahidi wa Yehova katika chapa ya Mwamko ya Septemba 1951 inayoeleza; “Biblia ina makosa 50,000!”
Na vipi kama nikisema, kinyume na imani yetu, kuwa “Katika Waandishi wanne wa Injili Hakuna hata mmoja aliyekuwa Mwanafunzi wa Yesu (AS).” Katika (Luka 6:14-16 na Marko 3:17) tunaona yametajwa majina ya wanafunzi kumi na wawili na Yesu (AS). Huku majina Mathayo na Yohana yamo, na majina Marko, Luka na Paulo hayajatwaja.
Hata hivyo, kutokana na nkuu zifuatazo, utagundua kuwa hizo Injili mbili zinatajwa kuwa ni za Mathayo na Yohana kwa kuwaheshimu tu, kwani ziliandikwa na mtu wa tatu. Soma nakala halisi ya mstari wa (Mathayo 9:9):
"Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani aitwaye Mathayo, akamwambia nifuate. Akaondoka akamfuata."
Na katika (Yohana 21:24):
"Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya; nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli?"
Katika aya ya kwanza, mwandishi anasimulia tu kile kilichotokea kati ya Yesu (AS) na Mathayo, huku katika aya ya pili, ni wazi kuwa kiwakilishi “nasi” kinawakilisha mwandishi.
Hebu kwa sasa tutafakari juu ya kile kilichosemwa na waandishi wawili wa Kikristo kuhusu kuundwa kwa Biblia:
“Wakati mwingine, Wanukuzi wanatia kile kisichokuwemo katika maandishi, pia kile wanachokifikiria kitakuwemo. Mnukuzi anaweza kuamini kumbukumbu zinazobadilika, au anaweza kuunda maandiko kwa mujibu wa mtazamo wa madhehebu anayoyafuata. Kwa kuongezea katika matoleo na manukuzi ya Mapadri wa Kikristo, takriban (Miswada) ya Mandiko Matakatifu elfu nne ya Wagiriki [MSS], ilijulikana kuwa ipo. Kwa hiyo, tofauti za usomaji ni jambo la kuzingatiwa.”[1]
Kwa hiyo Injili ziliundwa, na ambazo kiwaziwazi, ziliakisi mitazamo ya ufahamu wa mahitajio na matumizi ya jamii za waandishi. Kwao wao, vitu vya kimila vilitumika, lakini kulikuwa hakuna kusita katika kukibadilisha kile kisichoendana na lengo la mwandishi.”[2]
[1] J.R., dummelow: Commentary on the Holy Bible, p. 16. – (see – Mrs. Ulfat Aziz-Us-Samad: “Islam and Christianity”, 1984, Presidency of Islamic Research IFTA and Propagation, Riyadh, Kingdom of Saud Arabia p.7).
[2] T.G. Tucker: The History of The Christian in the Light of Modern Knowledge, p. 320. (Ibid, p. 6).
Yesu (AS) anasema katika (Mathayo 4:10):
"...kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake."
Katika (Yohana 17:3) anasema: "Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma."
Vilevile anasema katika Yohana 20:17: "...ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu."
Je, maelezo haya hayapo wazi? Wapi alipokubaliwa Yesu kuwa ni Mungu?
wewe si watetee Mapadri waliokufanya uwape pete ile ya natural
Pole sana Kwa hiyo kitu mbaya aliyokufanyia Padri wako
Endelea kumvisha pete huyo Padri wako
John5:
John 5:30 I can do nothing of myself
Waulize makafiri wenzio makristo mie dini za mababu zangu zantosha shekheee😂😂😂 cztambui dini za waarab na wazungu walizileta ili watutawaleYesu (AS) anasema katika (Mathayo 4:10):
"...kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake."
Katika (Yohana 17:3) anasema: "Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma."
Vilevile anasema katika Yohana 20:17: "...ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu."
Je, maelezo haya hayapo wazi? Wapi alipokubaliwa Yesu kuwa ni Mungu?
Wanajukwaa:
Dunia yetu inaendelea kushika kasi katika suala la Sayansi na Tekinolojia.Kwa siku za hivi karibuni,wanasayansi wamegundua kuweza kutengeneza Moyo kwa kutumia stem cells,ikiwa ni hatua katika kuelekea kutengeneza moyo wa binadamu,hali ambayo itasaidia katika kukabiliana na matatizo ya Moyo yanayowakabili wanadamu,kwa kiasi kikubwa, yale ambayo uhusisha mwanadamu kupoteza maisha, kwa sababu tu Moyo wa mgonjwa husika hauna repair au hauwezi kubadilishwa.Miaka kama kumi hivi iliyopita,wanasayansi walikuwa wamefanikiwa kutengeneza Moyo wa panya kwa kutumia hizo stem cells.
Kumbe,kwa tafiti mbalimbali zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali duniani,ama ardhini au angani,zote zinalenga katika kuboresha maisha ya mwanadamu na hata kuongeza siku za kuishi kwake.Historia inao watu wengi sana ambao wamejihusisha na Sayansi kwa nyakati tofuati tofauti.
Leo,ninataka tumuangalie Mtume Muhammad kwa namna alivyoweza kujihusisha na suala la Sayansi kwa kile kinachosemwa ni kwa msaada wa Mungu.Kurani neno la Mungu;maneno ambayo Mungu akiisha kuyaandika huko Mbinguni, alikuwa anampatia Malaika Gabriel na malaika Gabriel akampatia Mtume Muhammad katika Nyakati tofauti tofauti na Muhammad kuyaweka katika maandishi,lakini kwa namna ya pekee,kwa mara ya kwanza kabisa ikiwa ni katika Pango lililoko katika Mlima Hira, Jabal an-Nour,huko Makka,ambako inadaiwa Mtume Muhammad alipokea ufunuo huo, kwa matatizo sana kwa sababu ya kutojua kwake kusoma na kuandika,Malaika Gabrieli alijikuta anamkaba.
Kwa njia ya ufunuo wa Kurani,tunafunuliwa mambo mengi ya Kisayansi ambamo Muhammad anatujuza jinsi mambo yalivyo.Kwa leo, ninawaletea jambo moja tu.Nalo ni juu ya namna Jua linavyokuchwa na kadri Mungu atakavyotujalia tutayaangazia na mambo mengine.
Kurani kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):
“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”
Wakati Muhammad akiwa ametupasha ukweli huo ambao aliandikiwa na Mungu, Ukweli wa kisayansi umebainisha kwamba Jua ni kubwa zaidi na lenye joto kali kuliko dunia.Na ikitokea kwamba Dunia inakaribiana na Jua,basi dunia itayeyuka kutokana na joto kubwa la Jua.
Ukweli mwingine,ambao pia Sayansi imetupatia ni kwamba Jua halitembei bali sayari mbalimbali ndio hulizunguka,ikiwemo Sayari yetu ya Dunia. Historia inaonyesha kwamba mtu wa kwanza kugusagusa habari za kuwa Jua lilikuwa halizunguki alikuwa ni Aristarchus (310-230KK).
Aristarchus alikuwa ni mwana-Astronomia wa Kigriki. Yeye aliamini dunia ilikuwa katikati ya Mfumo wa Jua(Solar system) na sayari zingine (ikijumuishwa na nyota ambazo zilikuwa zimefungwa katika nafasi fulani) ndio zilizokuwa zikilizunguka Jua.
Hata hivyo, baadaye mwanasayansi,Aristarchus, alikuja kugundua kuwa sio dunia iliyokuwa katikati ya Mfumo wa Jua, bali ni Jua na hivi kwamba ni Dunia na sayari zingine ndizo zilikuwa zikilizunguka Jua.Ugunduzi wa namna hii ulipatikana miaka mingi sana (takribani karne tatu hivi) kabla hata ya Yesu Kristu kuzaliwa na karne tisa kabla ya Muhammad kuzaliwa.
Mwanasayansi mwingine pia aliyekuja na mtizamo tofuati na wa Muhammad (kwa kadri ya ufunuo kutoka kwa Mungu) ni Jean Buridan (1300-1359/61). Huyu) anafahamika kama Mwanafalsafa Mashuhuri sana katika Ufaransa.Buridan alikuwa Mwalimu katika Kitivo cha Sanaa cha Chuo Kikuu cha Paris kwa kupindi chote cha maisha yake ya kitaaluma akimakinika hasa hasa katika masuala ya Logiki (Logic) na kazi za mwanafalsafa Aristotle.
Ni Bridan aliyeanzisha wazo juu ya kiitwacho Copernican Revolution katika Ulaya.Hili ni fundisho lililoleta mwangaza kutoka kuamini kwamba dunia ilikuwa imesimama sehemu moja katika ulimwengu na kwamba Jua ndio lilikuwa linaizunguka dunia (Geocentrism) hadi kueleweka kwamba kumbe Jua ndilo limesimama wakati dunia na sayari zingine zikilizunguka (Heliocentrism).
Kumbe, sasa kwa uchache,kwa mawazo ya hao wanasayansi wawili,tunapata picha kwamba Muenendo wa Jua kuchomoza na kutua sio jambo lililoanza wakati wa Muhammad.Na kama suala la Sayansi ya Mfumo wa Jua lilianza mapema kabla ya Yesu na Muhammad kuzaliwa, yeye Muhammad alipopewa ufunuo na Mungu, hakuweza kujiuliza iwapo ufunuo huo wa Mungu inakuwaje unapingana na ukweli wa mambo?Katika kutafakari ufunuo huu wa Mungu kwa Muhammad, nimejikuta nina maswali yafuatayo,ambayo naomba yatuongoze katika kujadili suala hili.Ni muhimu kujadili kwa sababu pengine Dunia inatufundisha vitu ambavyo havipo.Hivi kweli Mungu anaweza kumueleza Muhammad mambo ya uongo?Maswali mengine ambayo bila shaka hata wewe unaweza kujiuliza ni haya:
1. Hiyo Chemchemi ya matope mazito na meusi iko hapa duniani?Na kama haipo hapa duniani iko angani? Na kama iko angani iko sehemu gani?
2. Huyo Dhul-Qarnaini alikuwa ni kiumbe wa namna gani huyo aliyepewa uwezo wa kuona Jua linavyotumbukia katika matope?
3. Pamoja na kwamba wakati wakati wa Muhammad, labda Sayansi ya kwamba Jua halizunguki, isipokuwa dunia ndio hulizunguka Jua, ilikuwa haijafika katika maeneo ya ardhi ya Arabia, bado hata vizazi vya zamani sana havikupata kuwa na uelewa kama huo wa Muhammad kuwa Jua lilikuwa linatua matope meusi! Je,ilikuwaje katika Vizazi vyote hivyo hapo katikati(ikiwemo na Yesu mwenyewe ambaye Muhammad anamuelezea kama aliyekuwa na uwezo wa kufinyanga wanasesere na kuwapulizia uhai na wakawa ndege kamili), kabla ya Muhammad, akakosekana mtu mwenye uelewa wa kuliona Jua likizama katika matope meusi tofauti? Hivi wewe kwa sayansi hii ya Muhamma juu ya Jua kuchwea katika matope meusi haikupelekei kujiuliza yafuatayo:
· Je, Muhammad kusema mambo ambayo hakuwa nayo uthibitisho ilikuwa ni kutafuta tu kuonekana kwamba Mungu amempa ufunuo wa kipekee juu ya ulimwengu?
· Je, vizazi ya Kiarabu na dunia kwa ujumla baada ya kugundua kwa tafiti za kisayansi, ambazo zimethibitisha kuwa Jua huzungukwa na sayari mbalimbali, ikiwemo Sayari yetu ya dunia, vimuoneje, Muhammad na Uislamu kwa ujumla?
· Je,wanadamu wa vizazi vyote vinavyofahamu kuwa Jua halijawahi kuzama katika matope ama meusi,bluu au meupe, visimuamini Muhammad katika mambo mengine aliyoyasema au vimuchukulie kama mtu aliyekuwa anajaribu kupiga ramli ya jinsi mambo yalivyo?
Lakini swali la mwisho kabisa ambalo nitaomba ujiulize ni hili:Je,Ni kwa nini hadi leo baada ya kugundulika kuwa Jua halizami na wala halizunguki,ni kwa nini hadi sasa aya hiyo iko imesalia katika Kurani?Je,ni nani anasema uongo kati ya Mungu na wanasayansi juu ya suala la Jua?
Karibu kwa mjadala ili tupate kujua ukweli kwa faida ya maendeleo ya Dunia yetu.
Ahahahhahahahahahahahhaha huyu mkristo bwana anaitwa masihi Dajali ebu kaa kitako usome wacha upoyoyoAhaaa ndo anaitwa Allah😂😂😂😂😂
Ahahhahahaahaahhahahahhahaha mimi nimesema sio ww tu wakristo wenzio wote wataukana huo ukristo kama wewe unavyoukana ni konzi baada ya konziUsinilazimishe nikubali dini nsizozitaka....nimeshasema siztak dini zilizoletwa na watu weupe kwa kusud lakututawala.....hujasoma historia wewe kwamba wazungu na waarabu walituuza nakututesa kama wanyama huku wakitumia dini zao kutupumbaza.....kwa uelewa wako ushaona mtume au nabii mwafrika c wakikiristo au wakiisram.....sasa huon hzo ni din zao shekheeee amkeni nyie mazomb
Ahahhahahahahhahaahaha hii nayo hoja kila mtume alikuwa wa kwanza kwa nyakati zake ;" KILA UMA TUMEUJALIA SHERIA ZAKE;" ukielewa ilo utokaa uongee huo upuuzi
Ahahhahahahahhahahaha ww ni mkristo ata ujifiche vip uwezi kutuhadaa sisi watoto wa mjiniWaulize makafiri wenzio makristo mie dini za mababu zangu zantosha shekheee😂😂😂 cztambui dini za waarab na wazungu walizileta ili watutawale
Ahahahhahahahahahaaaaah sasa mkeo toka lini akawa ni maharamu wako ahahahahahhahajajaaja bange hiziKwa hiyo Swafan na aisha hiyo sheria haiwahusu [emoji47] [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kungonoka ni sehemu ya maumbile ndio maana adamu alitafutiwa msaidizi wa kike na sio wakiume na hata seleman alikuwa na 700 wanawake saaafi wewe jitese ukaimbe nyimbo mbinguni ahahhahahaha hakikisha una sauti ya kwanza maaana milele utakua wa kuimbaSishangai kwa mateja Wa kungonoka kuona kwako na mawazo yanajikita kwenye uchi uchu uchiii ashki majunun ati [emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
ahahahhaahhaha maneno ya vijiweni hayaHahaaaaa kumbe aliwakana mapoyoyo wake
Ahhahahahaaaha ww ni mgalatia Ahahahaahaa utaukana sana ukristo wako humu ndani ni jiwe baada ya jiweUsinilazimishe nikubali dini nsizozitaka....nimeshasema siztak dini zilizoletwa na watu weupe kwa kusud lakututawala.....hujasoma historia wewe kwamba wazungu na waarabu walituuza nakututesa kama wanyama huku wakitumia dini zao kutupumbaza.....kwa uelewa wako ushaona mtume au nabii mwafrika c wakikiristo au wakiisram.....sasa huon hzo ni din zao shekheeee amkeni nyie mazomb
Ahahaahahhaahhaa hivi ww uwaga hauna hoja nyingine huyu ndie awapendi wanawake mpaka anataka KUWAKATA MIKONOMkuu mwenyez mungu hawez akawa dhalim kias hcho hata atuletee cc waja wake mtume mpumbavu kama muhammad....yaan hata haelewek mission yake hapa duniani ilikuwa ni nini zaid yakuoa kusex kuwapiga wanawake na kuwadharau mara awaite mbwa mara punda mara awataje kuwa wamejaa moton dah! So bad......kaz nyingine ni kuua na kupandkiza chuki tuuu muxture uongo mwingiii alafu mwshon sasa anawaambia wafuas wake pepon kuna pombe😯😯 sasa ndo pepo gan hiyo jaman c uchafu huo😤😤😲
Ahahahahahaahahahajjajajajajaaj ndio elimu hii ya PAULO ya kumuita Mungu wake Mpumbavu ndio umeikubaliHakuna mwislam yoyote yule dunian anaeweza kunipa mimi ilimu kwasababu moja kubwa....maandiko yanayoaminiwa na waislam yamejaa upofu mtupu nao wayaaminiyo huwa vipo so logic inakuja hv...waalim wote wakiislam wanafundsha upofu pasipo kuujua
Ahahahahahahaahaha mazinge wanini kwa kilaza kama wwusiwe mvivu wakusoma Quran na hadithi utabak kuto kujua milelee...mimi sio kaz yangu kukufundisha wewe....kama hujawah kupaona nenda kamuulize mazinge atakonesha.