Mjomba ebu leta reference kutoka vitabu vya hadithi utaokota okota mpaka lini ahahahhahahahahahhaha sasa Zad al-M'had, ndio kitabu gani mbona vitabu vinajulikana hili kudhibiti wahuni kama ww
Kama alivyo bakwa binti amran akapulizwa [emoji117] View attachment 847332 [emoji38] [emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia 83 na ;" wakiiona HAKI. uifata ;". ahaahahahahhahahaha unafikir hatujui haya sasa HAKI hii hapa
3:19;"( Bila shaka dini ya HAKI mbele ya Mwenyezi Mungu ni uislamu) ;";
ahahahahahahahahaahahh haya fuata HAKI hiyo kama ww ni miongoni wa waliotajwa humo ahahahaahahaaahaaajaja
Tumeiona HAQI NA TUMEIFUATA ndio sababu allah akatusifu na kutuita Wasomi na Wacha Mungu hadi majumba Yetu ya Ibada ameamua kuyalinda ili waliovurugwa wasiyavunje [emoji117] View attachment 847763View attachment 847764 hadi amejisikia furaha na kuwaagiza waumini waislamu waviamini Vitabu vyetu ili nanyi muwe Wasomi na Wacha MUNGU [emoji117] View attachment 847768 tatizo wa kukusomea hizo ayat kafa [emoji24] [emoji24] hadi hujui deen ni kwa ajili ya makafir wasio Amini Ujio wa Mwenyezi duniani ktk Umbile Bora la KIBINADAMU [emoji117] View attachment 847772
Sent using Jamii Forums mobile app
ahahahaaahaahajaajajjja huo ufafanuzi ndio unafata kwamba kaua KONDOO na PUNDA ahahahahahahaaaaa huyu kapagawa tayari
Ahahahhahahahhaahhaahhahahaha pole sana mtume ameamini kabisaa vitabu vya manabii wote hilo halina shaka kosa ni lako ww kutokumuamini mtume kama katumwa na Mungu na kwakosa hilo ww mpaka leo unasema Mungu amejifanyia mtoto lakini wasomi waliotajwa humu ni wale wasiosema Mungu amejitwalia ukithubutu kusema Mungu anamtoto ww unakuwa ni KAFIRI mkubwa kweli kweliTumeiona HAQI NA TUMEIFUATA ndio sababu allah akatusifu na kutuita Wasomi na Wacha Mungu hadi majumba Yetu ya Ibada ameamua kuyalinda ili waliovurugwa wasiyavunje [emoji117] View attachment 847763View attachment 847764 hadi amejisikia furaha na kuwaagiza waumini waislamu waviamini Vitabu vyetu ili nanyi muwe Wasomi na Wacha MUNGU [emoji117] View attachment 847768 tatizo wa kukusomea hizo ayat kafa [emoji24] [emoji24] hadi hujui deen ni kwa ajili ya makafir wasio Amini Ujio wa Mwenyezi duniani ktk Umbile Bora la KIBINADAMU [emoji117] View attachment 847772
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahah ndio hoja ya kulinda mauaji kwa wanyama AhahahahahahhahhaUmba wako nawe uwauwe [emoji15] [emoji12] mbona unapo Lima unaua majani yasisonge mimea [emoji47]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wanamsemea yesu ujinga ambao ajawai hata kufundisha Ahahahahahahhahha utafikir yesu ajawai kuishi huku ni kuishiwa hojaMCHA MUNGU ANAKUWA MSHIRIKINA NA MUONGO NA FISI MKUBWA WA KUDANGANYA NA KUFANYA UFISADI
HUYO ALIYEANDIKA YOHANA 1 NI NANI , MUNGU , YESU, AU PAULO AU MWALIMU WA SHOGA YAYO AGASSI
Yesu (AS) anasema katika (Mathayo 4:10):
"...kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake."
Katika (Yohana 17:3) anasema: "Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma."
Vilevile anasema katika Yohana 20:17: "...ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu."
Je, maelezo haya hayapo wazi? Wapi alipokubaliwa Yesu kuwa ni Mungu?
Ahahhahahhhahah pole sana amekufa baada ya kuwa ameshakamilisha alichotakiwa kukifundisha .Unasoma TORATI ulitaka musa aishi milele, alipomaliza musa kazi yake ya kufundisha alichotakiwa alikufa .sasa unaweweseka ulitaka mtume Mohammad asife ngoja, nikupige sindano kuwa nabii Mohammad alifundisha kila kitu ata alipokufa hakuwa na deni aliloacha
5:3( Leo nimemikamilishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo dini)
Ahahhahahahhahaaahaaha umebaki kafa ndio kafa kama wakina musa lakini dini alishafundisha kila kitu Mungu alichataka afundishi ahahahahaaaahahahhahha siwezi kukupa kila kitu hayo maneno aliongea alipokuwa kwenye hija ya mwisho utapasuka ww
Ahahahahahahhahha kuhusu kwenda kwenye watu wasiojua kusoma ww unaona tatizo kubwa mbona hata wanafunzi WANAFUNZI wa Yesu HAWAKUA NA ELIMU wala MAARIFA pokea msumali huo
MATENDO YA MITUME 4:13
;"Basi walipoona ujasiri wa Petro na Yohana, na kuwajua ya kuwa ni watu wasio na ELIMU, wasio na MAARIFA, wakastaajabu , wakawatambua ya kwamba walikuwa pamoja na Yesu;"
ahahahhhahhahahaah umekalia kusoma kusoma haya sio wanafunzi wa yesu hawana ELIMU wala Maarifa bureeee kabisaa ww
wee Jana tumekubaliana Mungu ana wana weñgi tuu Leo unajifanya hamnazo [emoji15] [emoji4] kwa hiyo tukubaliane kwamba allah hana UWEZO Wa kuwa na Mwana hadi awe na mke! Unasemaje!?Ahahahhahahahhaahhaahhahahaha pole sana mtume ameamini kabisaa vitabu vya manabii wote hilo halina shaka kosa ni lako ww kutokumuamini mtume kama katumwa na Mungu na kwakosa hilo ww mpaka leo unasema Mungu amejifanyia mtoto lakini wasomi waliotajwa humu ni wale wasiosema Mungu amejitwalia ukithubutu kusema Mungu anamtoto ww unakuwa ni KAFIRI mkubwa kweli kweli
19:88-89
;"Na( makafiri) husema: (Mwenyezi Mungu ) mwingi wa rehema amejifanyia mtoto.Bila shaka mumeleta jambo LICHUKIZALO kabisa(kwa kusema hivyo).
Ahahahahaahahjaaajjaja ww ni kafiri na usipoacha ukafiri wako na kumuamini mtume ahahahhahahahahahahaha utaendelea kusoma kisungura sungura tu
MCHA MUNGU ANAKUWA MSHIRIKINA NA MUONGO NA FISI MKUBWA WA KUDANGANYA NA KUFANYA UFISADI
HUYO ALIYEANDIKA YOHANA 1 NI NANI , MUNGU , YESU, AU PAULO AU MWALIMU WA SHOGA YAYO AGASSI
Yesu (AS) anasema katika (Mathayo 4:10):
"...kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake."
Katika (Yohana 17:3) anasema: "Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma."
Vilevile anasema katika Yohana 20:17: "...ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu."
Je, maelezo haya hayapo wazi? Wapi alipokubaliwa Yesu kuwa ni Mungu?
Kisla kisla [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji122] [emoji122] [emoji106]
Kamkromee allah na babs fatuma walio waagixa muamini Biblia Takatifi [emoji117] View attachment 847905 Hizo sifa ulizo weka za uongo ufisadi zoote ni miratul rasul [emoji4] uongo hadi allah anamkemea [emoji117] View attachment 847895 ufisadi kamdhulumu hadi Mkwe wake asidiq [emoji117] View attachment 847897 [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahaaahahaaaa " kwahiyo " na masaa " nayo yakasimama" so mpangilio " wa " siku ulikuwaje", ?? na mpka jua " linasimama means",huwa " linatembea"" ??
ujinga mwingine bwana
Babaaa bonge la mjigazeti halafu haujaongelea jibu LA jua na matope meusi.. UmepanicWapi Qur'an imetaja biblia, Fisi zanziki Kafiri wahed??
Kwa miaka hamsini ya mwanzo ya kile tunachokiita hivi sasa zama za Ukristo, hakuna hata neno moja lililosalimika katika nyaraka yoyote ile juu ya Kristo na wafuasi wake.
Katika kipindi cha miaka hamsini iliyofuatia, Wakristo wenyewe waliandika vitabu vingi ambavyo kwa sasa vinaunda Agano Jipya.
Lakini bado hakuna neno hata moja, pamoja na kuyatoa kidogo, lililotoka nje ya mwandishi. Na baadaye, katika karne ya pili, mamlaka ya Roma ilianza kueleza:[1]
“Kuna kundi, lililochukiwa, kwa sababu ya chuki zao, lililoitwa Wakristo na watu wengine. Christus, ambao kutokana na wao ndio limepatikana jina Ukristo, waliteseka kwa adhabu kali mno katika kipindi cha utawala wa Tiberius mikononi mwa mmoja wa maofisa wetu, Pontius Pilate.” (Tacitus).
“Wakristo ni kundi la watu walioleta ushirikina na uovu mpya.” (Seutonius).
“Maskini, mafukara waliojikinaisha kuwa hawafi na wataishi milele, kwa kuabudu ghiliba aliyesulubiwa na kwa kuishi chini ya sheria zake. Kwa hiyo, wao wanadharau vitu vya dunia hii, na kuvichukulia kuwa ni mali ya uma. Wao wamepokea imani hii toka katika tamaduni bila kuwa na ushahidi unaotambulika. Kwa hiyo, kama tapeli au laghai yoyote atatokea miongoni mwao, basi kwa haraka haraka atapata utajiri kwa kuwaamuru watu hawa duni.” (Lucian)
Bila kujali, Ukristo umeshastawi na kuwa moja ya dini kuu, lakini mafundisho ya Ukristo wa kisasa kama tunavyoujua leo hii, yapo tofauti na kile kilichofundishwa na Yesu (AS) kwa wanafunzi wake.
Imani tofauti za Ukristo kama vile Utatu iliendelezwa baadae. Motisha wake ulianza katika kipindi cha utawala wa Mfalme Mkuu Constantine huko (Nicasea) na baadaye uliendelezwa katika imani kamili ya kuamini bila kuhoji (dogma) wakati wa utawala wa Mfalme Theodosius mwaka 381 C.E.
Ajabu ilioje! Kuanzia hapo, Ukristo una madhehebu mengi tofauti tofauti na ni vigumu kwa sasa kutambua imani sahihi ya Kikristo. Vyovyote ulivyo, katika muktadha wa sasa, hakuna aliye karibu zaidi na mafundisho asilia ya mitume. Wao wanaegemeza mafundisho yao juu ya Biblia ambayo yenyewe ni mada inayoendelea kurekebishwa.
Mungu pekee ndiye ajuaye ni lini Wakristo wataweza kutoa nakala sahihi (asilia) ya kitabu chao (Biblia).
Mtu atashangaa, juu ya idadi ya matoleo ya Biblia yaliyopo leo hii. Kila moja linatofautiana na jingine, ndio, kila moja linadai kuwa yeye ndio toleo asilia.
Matoleo yote hayo yameshawahi kutangaza duniani kuwa, yenyewe ni ufunuo mtakatifu.
Rejeo lao lililo tayari lipo katika (2 Timotheo 3:16), isemayo “Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho...”
Lakini kile wasichokifahamu Wakristo ni kuwa, “Kwa hakika, yaliyomo katika Biblia zao si Maandiko matakatifu ispokuwa ni hekaya, fikra, matukio na tamaduni tu.”
Tatizo hilo linachanganya zaidi pale tunapojua kuwa baadhi ya matoleo ya Biblia yana vitabu vingi zaidi kuliko mengine.
Toleo la Orthodox (OVC), lina vitabu 86; Toleo la Charismatic (CV), lina vitabu 76; Toleo la Roman Catholic (RCV), lina vitabu 73; na matoleo yote ya Kiprotestanti yana vitabu 66 likiwemo The New World Translation of the Holy Scripture [1984] (NW), linalotumiwa na Mashahidi wa Yehova na matoleo mengine kama vile the King James [1611-1942] (KJ), American Standard [1901-1944] (AS), Rivised Standard [1971] Second Edition (RS) Jerusalem Bible [1966] (JB), Good News Bible (1954: iliyochapwa 1956), Ronald A, Knox (Kx), New International Version (NIV), na motoleo mengine yasiyo na idadi.
Zaidi ya hayo, vipi kuhusu hoja ya Warejeaji wanosifika wa Biblia ya the Rivised Standard Version (RS), Rivised Edition ya 1952, na kwa Agano Jipya, Second Edition ya 1971, by Wm. Collins Sons & Co. Ltd. Iliyochapwa na Canadian Bible Society, isemayo katika Utangulizi wake:
(1) “Naam, Toleo la King James lina dosari kubwa mno.... dosari hizo ni nyingi sana na hatari sana kiasi cha kupelekea kuitishwa wito wa kurekebishwa kwa tafsiri yake ya Kingereza.”
(2) “Toleo la King James la Agano Jipya liliegemea katika mandiko ya Kigiriki yaliyoharibiwa kimakosa” Vipi kuhusu hoja ya Mashahidi wa Yehova katika chapa ya Mwamko ya Septemba 1951 inayoeleza; “Biblia ina makosa 50,000!”
Na vipi kama nikisema, kinyume na imani yetu, kuwa “Katika Waandishi wanne wa Injili Hakuna hata mmoja aliyekuwa Mwanafunzi wa Yesu (AS).”
Katika (Luka 6:14-16 na Marko 3:17) tunaona yametajwa majina ya wanafunzi kumi na wawili na Yesu (AS). Huku majina Mathayo na Yohana yamo, na majina Marko, Luka na Paulo hayajatwaja.
Hata hivyo, kutokana na nukuu zifuatazo, utagundua kuwa hizo Injili mbili zinatajwa kuwa ni za Mathayo na Yohana kwa kuwaheshimu tu, kwani ziliandikwa na mtu wa tatu. Soma nakala halisi ya mstari wa (Mathayo 9:9):
"Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani aitwaye Mathayo, akamwambia nifuate. Akaondoka akamfuata."
Na katika (Yohana 21:24):
"Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya; nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli?"
Katika aya ya kwanza, mwandishi anasimulia tu kile kilichotokea kati ya Yesu (AS) na Mathayo, huku katika aya ya pili, ni wazi kuwa kiwakilishi “nasi” kinawakilisha mwandishi.
Hebu kwa sasa tutafakari juu ya kile kilichosemwa na waandishi wawili wa Kikristo kuhusu kuundwa kwa Biblia:
“Wakati mwingine, Wanukuzi wanatia kile kisichokuwemo katika maandishi, pia kile wanachokifikiria kitakuwemo. Mnukuzi anaweza kuamini kumbukumbu zinazobadilika, au anaweza kuunda maandiko kwa mujibu wa mtazamo wa madhehebu anayoyafuata. Kwa kuongezea katika matoleo na manukuzi ya Mapadri wa Kikristo, takriban (Miswada) ya Mandiko Matakatifu elfu nne ya Wagiriki [MSS], ilijulikana kuwa ipo. Kwa hiyo, tofauti za usomaji ni jambo la kuzingatiwa.”[2]
Kwa hiyo Injili ziliundwa, na ambazo kiwaziwazi, ziliakisi mitazamo ya ufahamu wa mahitajio na matumizi ya jamii za waandishi. Kwao wao, vitu vya kimila vilitumika, lakini kulikuwa hakuna kusita katika kukibadilisha kile kisichoendana na lengo la mwandishi.”[3]
[1] Bamber Gascoigne: “The Christians”, Granada Publishing Limited, 1976, Frogmore, St Albans, Herts A12 2NF and 3 Upper James Street, London Wir 4BP, p.9.
[2] J.R., dummelow: Commentary on the Holy Bible, p. 16. – (see – Mrs. Ulfat Aziz-Us-Samad: “Islam and Christianity”, 1984, Presidency of Islamic Research IFTA and Propagation, Riyadh, Kingdom of Saud Arabia p.7).
[3] T.G. Tucker: The History of The Christian in the Light of Modern Knowledge, p. 320. (Ibid, p.
Unajua maana ya amejifanyia mtoto? ndio yule wa pekee mnaofundisha watu uongo kuwa Mungu ana mwana wa pekee au mmesahau bikira Maria mama wa Mungu ahahahhahahahahahaaahhahawee Jana tumekubaliana Mungu ana wana weñgi tuu Leo unajifanya hamnazo [emoji15] [emoji4] kwa hiyo tukubaliane kwamba allah hana UWEZO Wa kuwa na Mwana hadi awe na mke! Unasemaje!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahahhahahahahah alisoma na dini amekamikisha sasa unataka asome nini wakati kila kitu alishawasomeawee hii aya umeisoma na kuitafakari [emoji117] View attachment 847792 hapa kapelekwa kwa watu wasio wasomi sawa? Ili awasomee ayat zake sawa? Ndio kafa atawasomea nani???? Mfufueni aje awasomee hizo aya [emoji4] sisi Yesu wetu yuko na sisi mpaka mwisho Wa Dahari [emoji123] [emoji106]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaahhhahaahaha ndio nini sasa ahahahahhahahahahhaqhaKamkromee allah na babs fatuma walio waagixa muamini Biblia Takatifi [emoji117] View attachment 847905 Hizo sifa ulizo weka za uongo ufisadi zoote ni miratul rasul [emoji4] uongo hadi allah anamkemea [emoji117] View attachment 847895 ufisadi kamdhulumu hadi Mkwe wake asidiq [emoji117] View attachment 847897 [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahhahhahahahaha huyu dogo zero nimekwambia sisi tunaamin vitabu vyote vya walivyopewa manabii ila kwetu sio tatizo , tatizo ni kwako ww kutoamini aliopewa nabii mohammad Quran inakufundisha mambo haya kama uyafati utaumiaKamkromee allah na babs fatuma walio waagixa muamini Biblia Takatifi [emoji117] View attachment 847905 Hizo sifa ulizo weka za uongo ufisadi zoote ni miratul rasul [emoji4] uongo hadi allah anamkemea [emoji117] View attachment 847895 ufisadi kamdhulumu hadi Mkwe wake asidiq [emoji117] View attachment 847897 [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app