Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Hizi ni baadhi ya sifa za Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Yeye ndiye mwisho wa Manabii. Maana yake ni kwamba hakuna Nabii mwingine atayekuja baada yake. Yeye ndiye amekhitimisha utume, kwa maana nyingine ni kwamba hatoongezwa wala kupunguzwa. Allaah amekhitimisha ujumbe kwa Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Amesema (Ta´ala):
مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ وَلَـٰكِن رَّسُولَ اللَّـهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ ۗ وَكَانَ اللَّـهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا
“Hakuwa Muhammad baba wa yeyote miongoni mwa wanaume wenu, lakini ni Mtume wa Allaah na ni mwisho wa Manabii. Na Allaah daima kwa kila kitu ni Mjuzi.”[