GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani Kwa namna Mamkala ( Watu ) NHC wanavyoendelea na Maandalizi ya Ujenzi wa Nyumba hapo ni dhahiri shahiri kuwa pataleta Usumbufu mkubwa wa Kiujenzi hapo Kanisani Kwako na hata kwa Waumini wako.
Mtume wao Mwamposa hivi pamoja na Wewe Kubobea hasa katika Saikolojia umeshindwa tu Kung'amua ( Kujua ) kuwa kuanza kwa huo Ujenzi hapo pia ni sehemu ya Kukulazimisha 'Kimkakati' na kwa 'Kukukomoa' kuwa uhame, wamekuchoka na kwamba uwaachie Tanganyika Packers yao?
Na ili uone kuwa Wanakukomoa ila wanatumia Akili Kubwa ni kwamba tayari wameshakuzibia Geti ulilokuwa ukipenda Kuingilia na sasa Wewe pamoja na Watu wa Kawaida nyote mnapita katika Geti moja tu.
Na katika muendelezo huo huo wa kukuonyeha kuwa hawakutaki hapo Tanganyika Packers Kawe ila Wewe unakomaa tu Kipopoma ( Kijuha ) ni kwamba kwa sasa hadi Mamitambo yao pamoja na Vifaa wameviweka karibu na eneo la Kanisa lako hapo.
Ndiyo maana wenye Akili Kubwa kukuzidi akina GENTAMYCINE tunakuuliza je, Wewe Mwenzetu ( tena Mswahili Mwenzetu ) Mtume wao Mwamposa huu Msemo wa 'Akufukuzae Hakuambii Toka' huujui?
Hama upesi hapo Tanganyika Packers Kawe kwanini husikii? Mbona maeneo yako mengi sana tu? Halafu Wewe si kuna eneo Umenunua pale Kona Baa Mbezi Beach Tangi Bovu ( njia ya zamani ya kwenda Goba ) kwa Shilingi Bilioni Tatu? Sasa kwanini huamii tu pale na unang'ang'ania hapo Tanganyika Packers Kawe ambako sasa hutakiwi na Mamkala ya hapo na hata ile Kuu ya Kikatiba?