brigedia mafia JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 2,260 Reaction score 2,279 Sep 6, 2016 #1 Ms Maria Seguar Metzgar mwenye umri wa miaka 105 inasemekana ndiye mtumiaji wa facebook mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani Ms Maria alisherehekea miaka 105 wiki moja iliyopita huku akiwa na marafiki 86 kutoka facebook Attachments 1473192116839.jpg 73.1 KB · Views: 34
Ms Maria Seguar Metzgar mwenye umri wa miaka 105 inasemekana ndiye mtumiaji wa facebook mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani Ms Maria alisherehekea miaka 105 wiki moja iliyopita huku akiwa na marafiki 86 kutoka facebook
Deadbody JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 4,274 Reaction score 6,595 Sep 7, 2016 #2 mimi fb nimeabdika nimezaliwa 1905 hivyo mimi mkubwa kuliko huyo bibi.
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,625 Sep 7, 2016 #3 Vizuri, Mungu azidi kumbariki.
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,094 Sep 7, 2016 #4 Mbona mimi babu yangu ana miaka 170,na yuko fb! Au ndo waafrika hatuthaminiwi!!
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,378 Reaction score 56,047 Sep 7, 2016 #5 Iceman 3D said: Mbona mimi babu yangu ana miaka 170,na yuko fb! Au ndo waafrika hatuthaminiwi!! Click to expand... Apelekwe makumbusho ya taifa
Iceman 3D said: Mbona mimi babu yangu ana miaka 170,na yuko fb! Au ndo waafrika hatuthaminiwi!! Click to expand... Apelekwe makumbusho ya taifa