Mtumiaji wa facebook mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani

Mtumiaji wa facebook mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Ms Maria Seguar Metzgar mwenye umri wa miaka 105 inasemekana ndiye mtumiaji wa facebook mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani



Ms Maria alisherehekea miaka 105 wiki moja iliyopita huku akiwa na marafiki 86 kutoka facebook



1473192129937.jpg
 

Attachments

  • 1473192116839.jpg
    1473192116839.jpg
    73.1 KB · Views: 34
Back
Top Bottom