Mtumiaji wa mtandao wa TiGO hiki kitonga kisikupite

Mtumiaji wa mtandao wa TiGO hiki kitonga kisikupite

Hckcode8

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2016
Posts
370
Reaction score
245
Download TIGO PESA APP (play store au app store ) jisajili utapokea 1GB ,

Kama tayari app unayo log out then hakikisha iko updated then log in again utapata 1GB
Picsart_24-05-17_23-29-38-347.jpg
 
Matapeli, uongo, naifuta
Asante kwa kupakua App mpya ya Tigo pesa. Umepokea bonasi ya GB1 kwa saa24, Piga*147*00# kununua vifurushi na uendelee kufurahia bonasi zaidi kutoka Tigo.
 
Asante kwa kupakua App mpya ya Tigo pesa. Umepokea bonasi ya GB1 kwa saa24, Piga*147*00# kununua vifurushi na uendelee kufurahia bonasi zaidi kutoka Tigo.
 
Back
Top Bottom