Mtumiaji wa mtandao wa TiGO hiki kitonga kisikupite

Mtumiaji wa mtandao wa TiGO hiki kitonga kisikupite

Screenshot_20240518_072505_Messages.jpg
 
"Asante kwa kupakua App mpya ya Tigo pesa. Umepokea bonasi ya GB1 kwa saa24, Piga*147*00# kununua vifurushi na uendelee kufurahia bonasi zaidi kutoka Tigo."

........,..,....

Pamoja na bonas, nilichokigundua ni kwamba Tigo wameboresha Tigo-Pesa App na hivyo, offer yao inalenga kuwafanya wateja wa-update Apps zao za Tigo-Pesa.
 
Hamna kitu
App yenyewe halifunguki linaonesha blue tu
 
Aiseee hivi ile huduma ya tigo pesa ukipakua app yake wanakupa 1 gb bado iko live au.....?
 
Mbona nimepata 3GB,dakika 30 tigo-tigo,na sms 50
 
Back
Top Bottom