"Asante kwa kupakua App mpya ya Tigo pesa. Umepokea bonasi ya GB1 kwa saa24, Piga*147*00# kununua vifurushi na uendelee kufurahia bonasi zaidi kutoka Tigo."
........,..,....
Pamoja na bonas, nilichokigundua ni kwamba Tigo wameboresha Tigo-Pesa App na hivyo, offer yao inalenga kuwafanya wateja wa-update Apps zao za Tigo-Pesa.