barakaglory
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 481
- 474
It's not easy..Lucky dubeunaitwaje mkuu niitafute!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Georgina Georgina umeniachia masikitiko...
Hahahaha ntakutania baadaeManeno Ya Mkosaji Lelya Rahid & Jahazi Modern Taa…:
Kilichomshinda kukila asikitie hila...
[emoji106][emoji106][emoji106]Hivi D knob yuwapi siku hizi
Aseeeh...nzuri kwelii
Naielewa sana....
Hehehehehehe hapo umenimalizaHahahahahahaaaaaaaaaa unajua nacheka na simu mpaka wananishangaa..........kuna watu wanajua kuboa yani ukiambiwa uumpe ex wako dedication unajikuta unaweza kumpa ya ule wimbo wa remy wema ku....m ny... o....k....o hahhahahahahahah
Kinyago cha Mpapure[emoji443] [emoji443]Eti mpenzi wako wa zamani ukiambiwa umtumie dedication ya wimbo mda huu utamtumia wimbo gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
unaitwa IT IS NOT EASY. Mtunzi na mwimbaji ni Lucky P. Dube.unaitwaje mkuu niitafute!
Kwahiyo sweetheart huo ndio wimbo ulionidediketia? Ameuimba nani mbona siujui?