Mtumie dedication ya wimbo mpenzi wako wa zamani

Mtumie dedication ya wimbo mpenzi wako wa zamani

Hahahahahahaaaaaaaaaa unajua nacheka na simu mpaka wananishangaa..........kuna watu wanajua kuboa yani ukiambiwa uumpe ex wako dedication unajikuta unaweza kumpa ya ule wimbo wa remy wema ku....m ny... o....k....o hahhahahahahahah
Hehehehehehe hapo umenimaliza
 
Eti mpenzi wako wa zamani ukiambiwa umtumie dedication ya wimbo mda huu utamtumia wimbo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
2e8c9633a2a88a70964c0f8c4cee19d5.jpg
Kinyago cha Mpapure[emoji443] [emoji443]

Sikiliza Toka Kwangu!
 
MWANAUME MASHINE BY MSAGASUMU HATA KAMA NINA SURA MBAYA,KICHWA KIBAYA,SIOGI,SIPIGI MSWAKI
 
Back
Top Bottom