mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Huwa wanasema ujinga saa ya kwenda mkuuwimbo huu huwa unanigusa sana, nikisikiliza nikiwa peke yangu machozi huwa yanadondoka aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa wanasema ujinga saa ya kwenda mkuuwimbo huu huwa unanigusa sana, nikisikiliza nikiwa peke yangu machozi huwa yanadondoka aisee
daaa, kk hii ngoma kalii,,, "usisahau*Timbulo ft Barack da Prince jina limenitoka ila hio ngoma dah , Wasasa nae na mdidectia Mbeleko ya Rayvany
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahhahaaaaaaaaa my new dedication.............popote alipoCcm mbele kwa mbele
Hahahaha nakwambia lazima namba waisomeHahahahahhahaaaaaaaaa my new dedication.............popote alipo
Hahahahahahahahaaaaaaaa acha tu waisome namba na mpaka za kichina watazijuaHahahaha nakwambia lazima namba waisome
Acha kunichekesha embuHahahahahahahahaaaaaaaa acha tu waisome namba na mpaka za kichina watazijua
Hahhahahahaaaaaaaaa na vile vijumba vijumba vya maandishi yao sijui kama wataelewa hahahahhahahahahaaha........nimejikuta nacheka kwa nguvu peke yanguAcha kunichekesha embu
Sasa ndo ukute x wako ni wa Kibiti au Mara hapo ndo utakapofurahi na dedication za kulia lia.Inabidi2 ujitoe ufahamu umtumie nyimbo ngumuHahahahahahahahaaaaaaaa acha tu waisome namba na mpaka za kichina watazijua
Hahahaha wanaweza wakaona maruweruweHahhahahahaaaaaaaaa na vile vijumba vijumba vya maandishi yao sijui kama wataelewa hahahahhahahahahaaha........nimejikuta nacheka kwa nguvu peke yangu
Hao ni kuwatafutia zile nyimbo za sugu moto chini au ney wa mitego........ahahahahahahaaaaaaaaSasa ndo ukute x wako ni wa Kibiti au Mara hapo ndo utakapofurahi na dedication za kulia lia.Inabidi2 ujitoe ufahamu umtumie nyimbo ngumu
Hahahahahahaaaaaaa lazima walieHahahaha wanaweza wakaona maruweruwe
Alazwe pema peponi kamanda.....HahahahahaHao ni kuwatafutia zile nyimbo za sugu moto chini au ney wa mitego........ahahahahahahaaaaaaaa
Hahahahahahaaaaaaaaaa unajua nacheka na simu mpaka wananishangaa..........kuna watu wanajua kuboa yani ukiambiwa uumpe ex wako dedication unajikuta unaweza kumpa ya ule wimbo wa remy wema ku....m ny... o....k....o hahhahahahahahahAlazwe pema peponi kamanda.....Hahahahaha
unaitwaje mkuu niitafute!wimbo huu huwa unanigusa sana, nikisikiliza nikiwa peke yangu machozi huwa yanadondoka aisee