Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Pesa anayepaswa kusaidiwa ni maskini pekee.
Mtu ana range kali New model unampa pesa ili akuwekee mkono kichwani. Madness
Mtumie pesa mama yako, hakatai pesa kwakuwa ni ndogo, elfu 5, 10, 50, laki , millioni ukimtumia anafurahi na ombi lake la sekunde 30 mbele za Mungu juu yako lina nguvu kuliko ombi la nabii wako la lisaa limoja.
Sisemi kuwa msitoe sadaka ila tengeneza kwanza ya ndani mwako kabla hujatoka nje.
Mimi ni mtumishi wa Mungu ila sipendi kuwatapeli maskini. Juzi binti mmoja alitaka kunipa fungu la kumi nikamkatalia
Haiingii akilini Mimi nina mshahara kumzidi yeye, nina nyumba, usafiri halafu nimdhulumu binti anayeishi ghetto hata kiwanja hana. Nikamwambia akatoe madhababuni