Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mungu anahitaji pesa kufanyia nini? Kununua mahitaji yake? Kujenga nyumba? Je ukichukua kitita cha pesa, ukakiweka mahali sirini ukamwambia mungu umeweka pesa mahali fulani zichue, ni sadaka nimekutolea, ukirudi baada ya muda utakuta kazichukua? Huwa nashuhudia wakatoliki wanapeleka vitu kama mchele, mayai, naparach uchu na vitu vingine vya jikoni, kupitia bikini vinavyojulikana kwa Kifumo kama JNNK. Hivyo vinaliwa na mungu?Sadaka hupewa Mungu sio binadamu awe mtume,nabii,Mchungaji,maskini ,padri ,mama,au baba mzazi au wewe mleta mada nk
Mimi sadaka zangu nikitoa nampa Mungu.kupitia Chombo cha sadaka simpi mtu sadaka hata siku moja
Wewe unayejiita mtumishi kama huwa unapokea sadaka au kuzikataa sio mtumishi wewe.Sadaka ni za Mungu sio mtu
Huko ziendako sijui na sina mpango wa kujua nikishatoa sababu sikumpa mtu
Kila mtu na imani yake mimi naamini kutoa sadaka kwenye eneo la kuabudia ambako hufanyika mambo makuu manne kwanza kumuabudu,kumshukuru ,kusikiliza neno lake na kumtolea sadaka kupitia chombo cha sadaka au madhabahu sababu alisema sadaka ziletwe kwake sio kwa mtuMungu anahitaji pesa kufanyia nini? Kununua mahitaji yake? Kujenga nyumba? Je ukichukua kitita cha pesa, ukakiweka mahali sirini ukamwambia mungu umeweka pesa mahali fulani zichue, ni sadaka nimekutolea, ukirudi baada ya muda utakuta kazichukua? Huwa nashuhudia wakatoliki wanapeleka vitu kama mchele, mayai, naparach uchu na vitu vingine vya jikoni, kupitia bikini vinavyojulikana kwa Kifumo kama JNNK. Hivyo vinaliwa na mungu?
Mambo ya Mungu yako juu kuliko.uwezo wetu wa kutumia ubongo ndio maana huitwa imani.Mtu anatakiwa kuamini kuwa yupo sio kuwaza kuwa yupoππ Pole mkuu, sikukusudia kukukwaza. Ninajaribu kutumia tu huu ubongo alonipa mungu kufikiri. Vinginevyo hakuwa na sababu ya kuniwekea ubongo.
Mtu yeyote aaminiye nabii au sheikh lazima anakuwa na matatizo ya afya ya akili, si bure.Pesa anayepaswa kusaidiwa ni maskini pekee.
Mtu ana range kali New model unampa pesa ili akuwekee mkono kichwani. Madness
Mtumie pesa mama yako, hakatai pesa kwakuwa ni ndogo, elfu 5, 10, 50, laki , millioni ukimtumia anafurahi na ombi lake la sekunde 30 mbele za Mungu juu yako lina nguvu kuliko ombi la nabii wako la lisaa limoja.
Sisemi kuwa msitoe sadaka ila tengeneza kwanza ya ndani mwako kabla hujatoka nje.
Mimi ni mtumishi wa Mungu ila sipendi kuwatapeli maskini. Juzi binti mmoja alitaka kunipa fungu la kumi nikamkatalia
Haiingii akilini Mimi nina mshahara kumzidi yeye, nina nyumba, usafiri halafu nimdhulumu binti anayeishi ghetto hata kiwanja hana. Nikamwambia akatoe madhababuni
Baadae huishia wapi hiyo sadaka?Sadaka hupewa Mungu sio binadamu awe mtume,nabii,Mchungaji,maskini ,padri ,mama,au baba mzazi au wewe mleta mada nk
Mimi sadaka zangu nikitoa nampa Mungu.kupitia Chombo cha sadaka simpi mtu sadaka hata siku moja
Wewe unayejiita mtumishi kama huwa unapokea sadaka au kuzikataa sio mtumishi wewe.Sadaka ni za Mungu sio mtu
Huko ziendako sijui na sina mpango wa kujua nikishatoa sababu sikumpa mtu
Sio kazi yangu kufuatilia hilo kuwa sadaka nikishatoa zinaenda wapi na wala sina mpango wa kufuatilia.Mimi nikishampa Mungu sadaka nimemaliza sehemu yanguBaadae huishia wapi hiyo sadaka?
Unahakika kuwa umempa Mungu na je unahakika Mungu anahitaji pesa?Sio kazi yangu kufuatilia hilo kuwa sadaka nikishatoa zinaenda wapi na wala sina mpango wa kufuatilia.Mimi nikishampa Mungu sadaka nimemaliza sehemu yangu
Jinga hili sadaka gani unayompa mungu, mungu hahitaji sadaka yako acha uzwazwa wewe unapigwa, kwanza hiyo sadaka unampa mungu ili aifanyie nn wkt mbinguni hakuna maduka wala supermarket,Sadaka hupewa Mungu sio binadamu awe mtume,nabii,Mchungaji,maskini ,padri ,mama,au baba mzazi au wewe mleta mada nk
Mimi sadaka zangu nikitoa nampa Mungu.kupitia Chombo cha sadaka simpi mtu sadaka hata siku moja
Wewe unayejiita mtumishi kama huwa unapokea sadaka au kuzikataa sio mtumishi wewe.Sadaka ni za Mungu sio mtu
Huko ziendako sijui na sina mpango wa kujua nikishatoa sababu sikumpa mtu
Hutaki jua zinapoenda ama unakaza ubongo? Wakitaka range wao wanaomba sadaka, tukitaka sisi wanatuombea π.Sadaka hupewa Mungu sio binadamu awe mtume,nabii,Mchungaji,maskini ,padri ,mama,au baba mzazi au wewe mleta mada nk
Mimi sadaka zangu nikitoa nampa Mungu.kupitia Chombo cha sadaka simpi mtu sadaka hata siku moja
Huko ziendako sijui na sina mpango wa kujua nikishatoa sababu sikumpa mtu