Kwa niaba ya mashabiki wote wa Yanga, naomba nizipokee hizi pongezi kwa unyenyekevu mkubwa. 🙏🙏🙏Mpira Ni burudani, mpira sio ugomvi, dhana ya mpira Ni kutuweka pamoja
Hivyo wewe usiye mdau wa yanga SC tia neno moja la nguvu kwa mtani wako wa nguvu
Happy Mwananchi day
Kila la kheri Tate Mkuu katika siku yako ya kujidai, nategemea umepiga uzi wako safi umejisogeza pale estadio de lupaso kusherehekea siku yako muhimu.
KWENYE MATCH VS VIPERS
Kila la kheri Vipers, kila la kheri Cesar Manzoki nategemea hutoniangusha kwa kutemea venom machoni mwa wananchi.
Nasikia mmemwambia wanzuki asicheze ili asijekuumizwa.Mpira Ni burudani, mpira sio ugomvi, dhana ya mpira Ni kutuweka pamoja
Hivyo wewe usiye mdau wa yanga SC tia neno moja la nguvu kwa mtani wako wa nguvu
Happy Mwananchi day
Kila la kheri Tate Mkuu katika siku yako ya kujidai, nategemea umepiga uzi wako safi umejisogeza pale estadio de lupaso kusherehekea siku yako muhimu.
KWENYE MATCH VS VIPERS
Kila la kheri Vipers, kila la kheri Cesar Manzoki nategemea hutoniangusha kwa kutemea venom machoni mwa wananchi.
Haitatokea mkuu Its Pancho , Nina damu na vinasaba vyekundu, ikanikata Ni mnyama mtupuWewe hata ukitaka kuhamia unakaribishwa sana..
Usiwe kolo jinga kama Ghazwat endelea kuwa shabiki mzuri wa soka..
Mpira Ni burudani, mpira sio ugomvi, dhana ya mpira Ni kutuweka pamoja
Hivyo wewe usiye mdau wa yanga SC tia neno moja la nguvu kwa mtani wako wa nguvu
Happy Mwananchi day
Kila la kheri Tate Mkuu katika siku yako ya kujidai, nategemea umepiga uzi wako safi umejisogeza pale estadio de lupaso kusherehekea siku yako muhimu.
KWENYE MATCH VS VIPERS
Kila la kheri Vipers, kila la kheri Cesar Manzoki nategemea hutoniangusha kwa kutemea venom machoni mwa wananchi.
Huu siyo muda wa pongezi! Jezi mpya za msimu huu zinaanza lini kuuzwa? Wewe najua umeajiriwa na Moo! Kama vipi mwambie mashabiki wamechafukwa. Imebakia siku ya kesho tu!!!!
Mpira Ni burudani, mpira sio ugomvi, dhana ya mpira Ni kutuweka pamoja
Hivyo wewe usiye mdau wa yanga SC tia neno moja la nguvu kwa mtani wako wa nguvu
Happy Mwananchi day
Kila la kheri Tate Mkuu katika siku yako ya kujidai, nategemea umepiga uzi wako safi umejisogeza pale estadio de lupaso kusherehekea siku yako muhimu.
KWENYE MATCH VS VIPERS
Kila la kheri Vipers, kila la kheri Cesar Manzoki nategemea hutoniangusha kwa kutemea venom machoni mwa wananchi.
Huu ni muda wa kugawa zawadi na utambulisho wa hapa na pale. Mtanange wenye ni jioni.Ngapi ngapi huko bwana Tate Mkuu ?
Kitu usichokijua, Manzoki Ni mnyama kitambo Sana, yeye mwenyewe analijua hloHuu ni muda wa kugawa zawadi na utambulisho wa hapa na pale. Mtanange wenye ni jioni.
Taarifa mbaya kwenu; Tetesi zinasema Manzoki ameongeza mkataba na timu yake mpaka 2025! Sasa sijui mashabiki mnaipokeaje hii taarifa!!