Mtumie salamu za pongezi ya maadhimisho ya Mwananchi day mtani wako

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
Mpira Ni burudani, mpira sio ugomvi, dhana ya mpira Ni kutuweka pamoja

Hivyo wewe usiye mdau wa yanga SC tia neno moja la nguvu kwa mtani wako wa nguvu

Happy Mwananchi day
Kila la kheri Tate Mkuu katika siku yako ya kujidai, nategemea umepiga uzi wako safi umejisogeza pale estadio de lupaso kusherehekea siku yako muhimu.

KWENYE MATCH VS VIPERS

Kila la kheri Vipers, kila la kheri Cesar Manzoki nategemea hutoniangusha kwa kutemea venom machoni mwa wananchi.
 
Kwa niaba ya mashabiki wote wa Yanga, naomba nizipokee hizi pongezi kwa unyenyekevu mkubwa. 🙏🙏🙏
 
Wewe hata ukitaka kuhamia unakaribishwa sana..
Usiwe kolo jinga kama Ghazwat endelea kuwa shabiki mzuri wa soka..
 
Mpira Ni burudani, mpira sio ugomvi, dhana ya mpira Ni kutuweka pamoja

Hivyo wewe usiye mdau wa yanga SC tia neno moja la nguvu kwa mtani wako wa nguvu

Happy Mwananchi day
Kila la kheri Tate Mkuu katika siku yako ya kujidai, nategemea umepiga uzi wako safi umejisogeza pale estadio de lupaso kusherehekea siku yako muhimu.

KWENYE MATCH VS VIPERS

Kila la kheri Vipers, kila la kheri Cesar Manzoki nategemea hutoniangusha kwa kutemea venom machoni mwa wananchi.
Nasikia mmemwambia wanzuki asicheze ili asijekuumizwa.
 
Mpaka sasa kumedoda
Mpira Ni burudani, mpira sio ugomvi, dhana ya mpira Ni kutuweka pamoja

Hivyo wewe usiye mdau wa yanga SC tia neno moja la nguvu kwa mtani wako wa nguvu

Happy Mwananchi day
Kila la kheri Tate Mkuu katika siku yako ya kujidai, nategemea umepiga uzi wako safi umejisogeza pale estadio de lupaso kusherehekea siku yako muhimu.

KWENYE MATCH VS VIPERS

Kila la kheri Vipers, kila la kheri Cesar Manzoki nategemea hutoniangusha kwa kutemea venom machoni mwa wananchi.
 
Namtumia salamu byuti byuti Shadeeya sambamba na byuti aka walimbwende wenzie kina Tate Mkuu @Joverest
Huu siyo muda wa pongezi! Jezi mpya za msimu huu zinaanza lini kuuzwa? Wewe najua umeajiriwa na Moo! Kama vipi mwambie mashabiki wamechafukwa. Imebakia siku ya kesho tu!!!!

Haiwezekani mashabiki kuvaa jezi zenye nembo ya mdhamini wa zamani, huku kukiwa na bilioni 26 za mdhamini mpya Mbet!!!

Kama vipi hiyo keshokutwa mniajiri kuja kuwabandikia nembo ya mdhamini moya pale lango kuu, wakati wa kuingia uwanjani kwa gharama nafuu kabisa.
 
Mpira Ni burudani, mpira sio ugomvi, dhana ya mpira Ni kutuweka pamoja

Hivyo wewe usiye mdau wa yanga SC tia neno moja la nguvu kwa mtani wako wa nguvu

Happy Mwananchi day
Kila la kheri Tate Mkuu katika siku yako ya kujidai, nategemea umepiga uzi wako safi umejisogeza pale estadio de lupaso kusherehekea siku yako muhimu.

KWENYE MATCH VS VIPERS

Kila la kheri Vipers, kila la kheri Cesar Manzoki nategemea hutoniangusha kwa kutemea venom machoni mwa wananchi.
0519DD2C-71C6-4C52-A169-4870AE7F47BF.jpeg
 
Aisee uwanja umetapika! Wale waliosema zimenunuliwa tiketi 27,000 pekee, wajitokeze hapa tuwaone.
 
Ngapi ngapi huko bwana Tate Mkuu ?
Huu ni muda wa kugawa zawadi na utambulisho wa hapa na pale. Mtanange wenye ni jioni.

Taarifa mbaya kwenu; Tetesi zinasema Manzoki ameongeza mkataba na timu yake mpaka 2025! Sasa sijui mashabiki mnaipokeaje hii taarifa!!
 
Kitu usichokijua, Manzoki Ni mnyama kitambo Sana, yeye mwenyewe analijua hlo

Pia, pole Sana kwa venom ya vipers uliyoipokea leo, naomba upitie maziwa kwa mama naniiiiii pale nakuja faster kulipa note
 
Back
Top Bottom