KERO Mtumishi kuhamishwa bila kuhama na mshahara ni kero kubwa. TAMISEMI tatueni hili haraka

KERO Mtumishi kuhamishwa bila kuhama na mshahara ni kero kubwa. TAMISEMI tatueni hili haraka

  • Thread starter Thread starter Anonymous (ea43)
  • Start date Start date
  • Tags Tags
    all
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kero kubwa iko Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI kitengo cha UHAMISHO wa Watumishi UNAPEWA BARUA YA UHAMISHO LAKIN MSHAHARA HAUHAMI.

Hili JIPU linahitaji KUTUMBULIWA maana inasababusha mtumishi kukosa stahiki nyingi za kiutumishi!
 
Kazi Za vijijini wananchi wakikupenda hawataki uhame kwenda popote , wapo tayari wakupe chochote kile unataka ili usiondoke .

Dogo rasi mmoja alipewa Ng’ombe 56 na mashamba 8 ili asiondoke .

Tamisemi raha bwana . 🙌🏼
 
Back
Top Bottom