Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

Duniani hakuna fair but usimsomeshe mwanamke hata siku moja. Ukisomesha mwanamke na kumpatia mtaji unajichimbia kaburi . Kumsomesha ndio kitu kibaya zaidi
Wanabodi,nimepewa story na mtu wa karibu na marehemu kuwa huenda kilichosababisha jamaa kujiua ni pamoja na misukosuko ya ndoa yake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Cha contribution Kama mumeoana.Mama hata Kama ni Mama wa nyumbani mnagawana sawa yeye anafanya kazi za nyumbani wewe kazini wote mnafanya kazi.Mgao nusu kwa nusu
Pamoja na hayo hii ni miongoni mwa Sheria mbovu kabisa za mirathi kwasababu. Hizi Sheria zimekwenda kuharibu ndoa za watu wengi Sana. Wanawake wamenengewa kiburi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote nasema.
Oa rafiki yako
Oa mtu wa kwenu
Oa mwanamke msiyepishana umri sana
Mila na desturi zizingatiwe
Usioe ukoo au jamii yenye malaya wengi
Usioe mwanamke mpumbavu
Usioe ili umalize matatizo yako ya pesa

Kwa ushauri zaidi njoo pm
Ushauri mzuri Sana but ili uweze kutimiza hayo yote Kwa miaka hii inakuwa ngumu Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo funzo ni usisomeshe MTU ambaye hujamzalisha. Mchumba hasomeshwi
 
Mama wa nyumbani kwenye talaka huwa treated Kama mfanyakazi wa ndani hivyo wewe kama unafanya kazi naye yeye anatambuliwa hivyo

Ukikutana na jaji mbabe anakubania hapo mtagawana Mali nusu kwa nusu
Acha kukariri mambo wewe ficha ujinga wako, huwezi kuoa mwana mke amekukuta umejenga nyumba imekamilika kwa 80% afu end of the day mgawane 50% kwa 50% hapo ujue mtagawana 20% na hiyo 80% itabaki kwa mume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana mnakwama sana. Jenga nyumba zako kabla hujaoa andikisha vyote unavyomiliki kabla hujaoa viweke kisheria uone kama mwanamke atakusumbua mahakamani. Yeye mwache anunue masufuria tu na vikombe. Ukishindwa hivyo onesha ushirikiano na mkeo ila tafuta hata kiwanja sehemu jenga kiapartment cha kinyamwezi bila huyo laana mkeo kujua. Siku akitibua unaenda kujipangisha huko.
 
Hakuna Cha contribution Kama mumeoana.Mama hata Kama ni Mama wa nyumbani mnagawana sawa yeye anafanya kazi za nyumbani wewe kazini wote mnafanya kazi.Mgao nusu kwa nusu
Ada ya shule alilipa nani?
Huo muda anakwenda shule majukumu ya nyumbani yalifanywa kwa gharama za nani?
Usiichukulie Sheria juu juu bila kuhoji haki haiwezi kutendeka. Ndio maana kuna watu maalumu wa kuendesha mashtaka.

Sent from my PIC-LX9 using JamiiForums mobile app
 
Hakika uislam ni mfumo Bora kabisa wa maisha
 
Ndo tatizo la kutokuwa na michepuko hilo ,jamaa angekuwa na michepuko wala asingewaza chochote angamtema kiroho safi na kuendelea na maisha
Si kila mtu anataka kuwa na michepuko. Wengine huwa wanataka utulivu wa ndoa na wao wafocus na maisha katika utafutaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kila mtu anataka kuwa na michepuko. Wengine huwa wanataka utulivu wa ndoa na wao wafocus na maisha katika utafutaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli lakn kwa wanaojua au waliowah kutendwa kwenye mapenzi watanielewa vizur sanaaaa,unaweza mwamini mtoto wa MTU akafanya ufe kwa stress
 
Ubosi mwingine mzuri sana. Yaani unakuwa boss mpaka kwa mke wa mtu! Unless kama ni tetesi, ila kama ni ukweli, huyo mtembea na wake za watu kwa ajira aliyopewa na Serikali, lazima atapoteza kazi yake muda siyo mrefu. Natamani ningekuwa na simu ya....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…