Mtumishi wa BWANA: Setfree umepotelea wapi? nimekumiss!

alikuja kwa kasi sana, sijui kapotelea wapi
 
Yupo chuo Cha biblia uko kaskazini anamalizia kozi ya mwisho aje Tena ,atusimulie hadhithi za kina simioni na yohanaa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…