Nina Akili Ndogo Sana
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 865
- 1,125
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Usimdhihaki, Usimchukie, usimtukane wala kumdhuru Mtumishi wa chombo chochote cha Usalama (Police, Military) kama hajawahi kukutendea ubaya au kukuonea. Some few of them are very good people.
Poleni sana askari Polisi wa Tanga. Ni jambo jema kuwa hakuna aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa.
====
Nyumba za askari polisi katika Mtaa wa Mapinduzi A, Msambweni (Kata ya Ngamiani Kusini, Tanga) zimeshika moto na kuteketeza mali kadhaa. Chanzo cha moto huo pamoja na thamani ya hasara iliyosababishwa bado havijajulikana. Moto huo ulizimwa kwa ushirikiano wa Wananchi, Jeshi la Polisi, na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kabla haujaleta madhara zaidi.