PreGE2025 Mtumishi wa Mungu afichua Mpango wa CCM kuwaengua Wabunge wa Kanda ya Ziwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kanda ya ziwa watu wake ni wazalendo sana alafu ndio wamejaa jeshini
 
Huyu msukuma alikuwa dalali wa kuuzwa kwa bandari zetu kwa waarabu atolewe tu km ni msukuma
 
Nabii huwa sauti ya Mungu kwa wanadamu

Huyo nabii kageuka kuwa sauti ya wabunge waliopo kwa wananchi na CCM

Hopeless unabii gani huo? Ujinga mtupu

Hakuna nabii hapo utapeli mtupu
 
Hiki ni nini? Wezi wa kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…