Ameen. Haleluya!Jana asubuhi, Alexandra, Mtumishi wa Mungu katika jiji la Kiev, Ukraine, alinusurika kuuawa kwa bomu lililodondoshwa na drone ya Urusi, juu ya nyumba aliyokuwa amelala. Mlipuko wa bomu hilo uliiteketeza nyumba hiyo kwa sekunde chache tu.
Kwa njia inayoonekana wazi kabisa kuwa ni muujiza wa Mungu, Alexandra alirushwa nje ya nyumba hiyo pamoja na godoro alilokuwa amelalia!
Walioshuhudia tukio hilo wanakiri kuwa Alexandra amenusurika kuuawa kwa muujiza wa Mungu. Muujiza huo unathibitisha uwepo wa Mungu na ukweli wa ahadi yake ya kuwalinda na kuwaepusha na mabaya, wote wanaomwamini na kumtumaini. Ahadi hiyo imeandikwa katika:
Zab 121:7-8:
"Mwenyezi Mungu atakukinga na baya lolote; atayalinda salama maisha yako. Mwenyezi Mungu atakulinda katika shughuli zako zote tangu sasa na hata milele."
Na wote tuseme: "Amina"
Ameeen🙏Jana asubuhi, Alexandra, Mtumishi wa Mungu katika jiji la Kiev, Ukraine, alinusurika kuuawa kwa bomu lililodondoshwa na drone ya Urusi, juu ya nyumba aliyokuwa amelala. Mlipuko wa bomu hilo uliiteketeza nyumba hiyo kwa sekunde chache tu.
Kwa njia inayoonekana wazi kabisa kuwa ni muujiza wa Mungu, Alexandra alirushwa nje ya nyumba hiyo pamoja na godoro alilokuwa amelalia!
Walioshuhudia tukio hilo wanakiri kuwa Alexandra amenusurika kuuawa kwa muujiza wa Mungu. Muujiza huo unathibitisha uwepo wa Mungu na ukweli wa ahadi yake ya kuwalinda na kuwaepusha na mabaya, wote wanaomwamini na kumtumaini. Ahadi hiyo imeandikwa katika:
Zab 121:7-8:
"Mwenyezi Mungu atakukinga na baya lolote; atayalinda salama maisha yako. Mwenyezi Mungu atakulinda katika shughuli zako zote tangu sasa na hata milele."
Na wote tuseme: "Amina"
Kobaz wengi wako gest saivi baada ya kushiba chamtume.Ngoja kobazi wamalize kula ubwabwa waje kutoa povu
Kama hakuna aliekufa basi naweza kusema labda ni kweli usemacho, la sivyo he was just fortunate, ni suala la laws of physics zilisababisha aka save, maana Mungu hana ubaguzi, na huwapenda watu wote, haokoi mmoja na kuacha wengine wafeJana asubuhi, Alexandra, Mtumishi wa Mungu katika jiji la Kiev, Ukraine, alinusurika kuuawa kwa bomu lililodondoshwa na drone ya Urusi, juu ya nyumba aliyokuwa amelala. Mlipuko wa bomu hilo uliiteketeza nyumba hiyo kwa sekunde chache tu.
Kwa njia inayoonekana wazi kabisa kuwa ni muujiza wa Mungu, Alexandra alirushwa nje ya nyumba hiyo pamoja na godoro alilokuwa amelalia!
Walioshuhudia tukio hilo wanakiri kuwa Alexandra amenusurika kuuawa kwa muujiza wa Mungu. Muujiza huo unathibitisha uwepo wa Mungu na ukweli wa ahadi yake ya kuwalinda na kuwaepusha na mabaya, wote wanaomwamini na kumtumaini. Ahadi hiyo imeandikwa katika:
Zab 121:7-8:
"Mwenyezi Mungu atakukinga na baya lolote; atayalinda salama maisha yako. Mwenyezi Mungu atakulinda katika shughuli zako zote tangu sasa na hata milele."
Na wote tuseme: "Amina"
Kwa Nini alilengwa yeye???, juu ya nyumba aliyokuwa amelala.
Mwezi mchangaAmeen. Haleluya!
Tushukuru bomu la warusi halikumgawanyisha vipande vipande maana lilitua mbaliMshukuru Mungu kwa kumuongezea Alexandra siku za kuishi
1 Wathesalonike 5:18
Shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.